Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Karibuni sana wembley watani.. najua siku hiyo wote mtakua catalans!!
Kama nyinyi mechi yetu mlivyokua Catalans au sio? lool Nitakuwepo mkuu nione mnavyokimbizwa.
Karibuni sana wembley watani.. najua siku hiyo wote mtakua catalans!!
Wewe ulivyokuwa unawashangilia wakati wanacheza na sisi ulikua umehamia Barca?Sio kosa lako kijana, ila tu ni TIMU unayoshabikia..haijazoe kucheza katika LEVEL hiyo TEREHE hizo...
Asante mtani.....na wao wasubiri VIATU vya Scholes na Rafael.
BTW U guys dont tell me mmehamia Barca tayari.
DelusionalDua la Kuku.........
Msimu wa EPL unaisha 22nd May nadhani ndio maana.Ushapokea pensheni mkuu?
Naona bado una tarehe 21 Mei 2008 ile ya Moscow.....Sio kosa lako kijana, ila tu ni TIMU unayoshabikia..haijazoe kucheza katika LEVEL hiyo TEREHE hizo...
Hongereni wakuu,tunasubiri kwa hamu hiyo FINAL,naona ka vile mzee kaanza kuwaogopa Barca.Ng'waza Madaso njoo utoe pongezi maana uliamini leo tunatolewa hehehe alafu tumechezesha fringe players, talking about winning with style.
Kocha yoyote mwenye akili lazima atamtafuta counterpart wake kumuomba tactics zilizotumika kuifunga timu pinzani, sintoshangaa kama ameongea na wenger vile vile jinsi ya kukabiliana na barca.Hongereni wakuu,tunasubiri kwa hamu hiyo FINAL,naona ka vile mzee kaanza kuwaogopa Barca.
Wqlivyowafunga Valencia, Lyon na Inter Milan mlikuwa mnawasifia na hamkuwaita mdondo wamefungwa na Man Utd wamekuwa mdondo?Poleni wakuu nasikia jana mlipata mdondo! Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yaani nyie na Barca hamchekani kama sio bahasha basi ni upendeleo wa kiwazi wazi kutoka kwa waamuzi kama wale watoto wanao-support Unicef, lakini kwa sababu dugu yenu Mourinho naye yumo basi atafungiwa, mmeanza kulialia kama Chiriku khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Kwa hiyo ndo unataka Mourinho amuelekeze tactics za kuwachezea rafu za ajabu ajabu Barca ili kuwapunguza makali?Mzee anamtafutia Mourinho ulaji hapo Old Trafold na nina imani kuwa ndo atakuwa Mrithi wake.Kocha yoyote mwenye akili lazima atamtafuta counterpart wake kumuomba tactics zilizotumika kuifunga timu pinzani, sintoshangaa kama ameongea na wenger vile vile jinsi ya kukabiliana na barca.
Yani wewe kwa akili zako zote unategemea Ferguson anaweza kumpigia simu Mourinho kumuomba ushauri wa jinsi ya kucheza rafu? This is way below you ata kama ni ushabiki kha!! Ina maana Arsenal wanavyocheza rafu za kipuuzi siku hizi walifundishwa na Mourinho?Kwa hiyo ndo unataka Mourinho amuelekeze tactics za kuwachezea rafu za ajabu ajabu Barca ili kuwapunguza makali?Mzee anamtafutia Mourinho ulaji hapo Old Trafold na nina imani kuwa ndo atakuwa Mrithi wake.
Kampigia simu ya nini au ndo kutojiamini?.Yani wewe kwa akili zako zote unategemea Ferguson anaweza kumpigia simu Mourinho kumuomba ushauri wa jinsi ya kucheza rafu? This is way below you ata kama ni ushabiki kha!! Ina maana Arsenal wanavyocheza rafu za kipuuzi siku hizi walifundishwa na Mourinho?
Kampigia simu ya nini au ndo kutojiamini?.
Ferguson said that he would be keen to hear Mourinho's perspective after the Portuguese coach's Real Madrid were knocked out of the Champions League in the other semi-final.
"I speak to (Mourinho) quite a lot and I spoke to him last week," Ferguson said.
"Real Madrid are a different team from us.
"I think we'll depend on our own knowledge of Barcelona - it's not as if we've never seen them before.
"But the experience that Real Madrid have, and from Jose's angle - you always take information from that because he's very helpful that way."
Under the moon we have got Rooney
Wqlivyowafunga Valencia, Lyon na Inter Milan mlikuwa mnawasifia na hamkuwaita mdondo wamefungwa na Man Utd wamekuwa mdondo?
Yani wewe kwa akili zako zote unategemea Ferguson anaweza kumpigia simu Mourinho kumuomba ushauri wa jinsi ya kucheza rafu? This is way below you ata kama ni ushabiki kha!! Ina maana Arsenal wanavyocheza rafu za kipuuzi siku hizi walifundishwa na Mourinho?
Nenda ukamsaidie Mr Bean kutengeneza na umshawishi kununua wachezaji wazuri. Man City hao na Liverpool wanarudi msipoangalia next season mtagombea nafasi ya Europa League