hawa vibonde wafungeni hata kumi lakini
ligi mnafungwa na chelsea na watachukua kombe lao na Barca wanawadunda najua zina kutana timu zinazobebwa..
Huenda`wachezaji watatu ndio watacheza`game ya fainali, Van de Sar,Rafael/Oshea na NANI![]()
the champs
hawa vibonde wafungeni hata kumi lakini
ligi mnafungwa na chelsea na watachukua kombe lao na Barca wanawadunda najua zina kutana timu zinazobebwa..
utajua jpili..
Mlianza kusema kuwa hatupiti, haya leo tuko kwenye finals... Kuna watu wengi tu walifikiria Schalke 04 watatufunga leo...!!hawa vibonde wafungeni hata kumi lakini
ligi mnafungwa na chelsea na watachukua kombe lao na Barca wanawadunda najua zina kutana timu zinazobebwa..
Ng'waza Madaso njoo utoe pongezi maana uliamini leo tunatolewa hehehe alafu tumechezesha fringe players, talking about winning with style.Kwa jinsi nionavyo baada ya siku sita mtakuwa out ya makombe yote mawili.