Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

barcelona_man_utd_cl.jpg

Congratulations Red Devils, ...BJ,Manda, Eqlypz, Papizo, Mfarisayo, Belo, Idimi, RR, et al
...I can't wait for the final May 21st ndani ya Wembley, he he he...!!!...

Thank man..Awaiting the Grand Finale!!...
 
hawa vibonde wafungeni hata kumi lakini
ligi mnafungwa na chelsea na watachukua kombe lao na Barca wanawadunda najua zina kutana timu zinazobebwa..
Wakati wanawafunga inter na Valencia hamkuwaita vibonde leo kisa wamefungwa na second team ya man it'd wamekuwa vibonde?
 
barcelona_man_utd_cl.jpg

Congratulations Red
Devils, ...BJ,Manda, Eqlypz, Papizo, Mfarisayo, Belo,
Idimi, RR
, et al

...I can't wait for the final May 21st ndani ya Wembley, he he
he
...!!!...
Mkuu ahsante, ila final ni tarehe 28.
 
:evil:

Each day huyu babu SAF bring me some new surprises.....hiki kikosi cha leo kilinishtua sana kidogo nipande kitandani.....

Hey men, pamoja sana Sir Matty Bursby Street J2, hatoki nyau
 
...is it? damn....sijui kwanini may 21st imenikaa kichwani...aaarrgghh!

Ushapokea pensheni mkuu?
Naona bado una tarehe 21 Mei 2008 ile ya Moscow.....
 
I've looked at the passing statistics and Busquets has the ball more than any other Barcelona player, even more than Xavi and Iniesta

THEREFORE

United must follow Arsenal's example and play a high defensive line, keep compact, deny space and attempt to hit Barcelona on the quick transition
_52538441_rooney_busquets.jpg
 
I've looked at the passing statistics and Busquets has the ball more than any other Barcelona player, even more than Xavi and Iniesta

THEREFORE

United must follow Arsenal's example and play a high defensive line, keep compact, deny space and attempt to hit Barcelona on the quick transition
View attachment 29325

kwa mtindo huu Man u tutashinda mechi hiyo,hakuna ubishim hapo
 
Am confident Man U will win the trophy against spanish side Barca, nimewatazama kwa miaka mitatu barca wakutanapo na english clubs huwa wanapata tabu jinsi ya kushinda., ila nawasi siku hiyo Evre anaweza kupewa kadi za njano 2 na kupelekea a red card achezapo na D. Villa. Man U wakicheza mchezo wao wa kasi...watashinda taji, I speak out these words japo si mshabiki wa Man-U.
 
Kitaeleweka tu ndani ya Wembley cha msingi ni kuepukana na Majeruhi katika mechi za kuelekea mwishoni mwa ligi..
 
Man lazima waumizwe tu, hata wakimchukua Profesa Maji Marefu, Sheikh Yahya Hussein, Manyaunyau na Matunge waingie uwanjani na zana zao za kazi.
 
Man lazima waumizwe tu, hata wakimchukua Profesa Maji Marefu, Sheikh Yahya Hussein, Manyaunyau na Matunge waingie uwanjani na zana zao za kazi.

Mkuu,
I strongly belive man U watashinda, nimezifatilia kwa ukaribu sana timu hizi. Barcelona hawawezi kabisa kucheza mchezo wa kasi uchezwao uingereza, ni two different syles za mchezo. Atakaecheza mchezo wa kasi ndie mshindi wa mechi hiyo, TAKE MY WORDS.
 
I've looked at the passing statistics and Busquets has the ball more than any other Barcelona player, even more than Xavi and Iniesta

THEREFORE

United must follow Arsenal's example and play a high defensive line, keep compact, deny space and attempt to hit Barcelona on the quick transition
View attachment 29325

It's always good for one to give oneself hope. Fair enough.

But in reality, there is currently no English team which has got that quality to stop even Real Madrid, let alone the Barca specialits.
The gap in quality between the top teams in the two leagues is just too massive!

Below are my Wembley predo and stats:

Final score: Barca 4 Manure 1
A spectacular brace from Messi
Barca to concede own goal
Manure hardly 2 goal attempts to Barca's >20
Ball possession: Barca >75%, Manure <25%
Vidic, Rafael, Scholes to be sent off

Manures, brace yourself up for one hell of a beating guys!!
 
...is it? damn....sijui kwanini may 21st imenikaa kichwani...aaarrgghh!

Sio kosa lako kijana, ila tu ni TIMU unayoshabikia..haijazoe kucheza katika LEVEL hiyo TEREHE hizo...

Hongereni wakuu , sasa msubiri mchaka mchaka wa Messi lol.

Asante mtani.....na wao wasubiri VIATU vya Scholes na Rafael.

BTW U guys dont tell me mmehamia Barca tayari.
 
Man U waombee miujiza ya midfield maestro ya FC Barca isiwe kamili..otherwise tikitaka mtachezeshwa na goli mtapigwa kama kawa. lol
 
Back
Top Bottom