Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Liverpool are no longer most successful club in England
5d204681b044403558a6effa9f33faaa.jpg
 
Duhhh!!! Sasa nishuke kwenye huu mti nisijevunjika mguu bureee!! Maana niliko network ni hovyo balaa, Jamani ninawamiss ile mbaya mashabiki wenzangu wa humu, yaani namiss amsha amsha za humu,yaani napitwajeeee!!! Sijakimbia jukwaa nipo tele mishe za maisha tu zimebana mbaya maana mara nyingi nakuwa sehemu hamna network,ila big up kwenu ninyi wote mnawakilisha jukwaa vyema,love you all ....ila Man United nailavu nyang'anyang'a.
 
One Love...GGMU
 
Man u inabebwa mpaka nahisi ni ukweli. Timu mbovuuu

Pole mlikuwa mnasema ni namba Sita ya kudumu leo mnabadili gear angani.Baba yenu karudi kwenye vikombe yake kaeni kimya.Kuanzia wiki kesho tunamsaka chelsea.Manu bingwa PFL usipoamini wewe mchawi
 
Mpira ulifata mkono ..au hujui?!
Kujadiliana na mshabik wa leicester city ni kazi sana we subir juma pili had juma pili uangalie mechi yako ukichukua ubingwa unamaliza wa 10 hazard anamaliza msimu akiwa na goli tatu et mpira umafuata mkono kwako unaweza kutafsir sheria sio ukiweza kunyoosha kidole hakikisha ni msafi timu yenyewe ya 2004 halafu unatoa machoz na mtu alikuzid kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom