Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Wayne Rooney hiyo kubebeshwa kombe
Bado fa na Europafinally tumebeba ndoo shame on haters [HASHTAG]#ggmu[/HASHTAG]
martial leo kazingua mno hakuwa vizuriMourhnio amenuna nadhani pamoja na ushindi kiwango cha baadhi ya wachezaji kinampa changamoto
True kiongozi.Hongereni pia na mashabiki wa united ambao mmemaliza dk 90 zote. Mimi walipoanza kosakosa kwa kweli nilishindwa kuvumilia maana nilikuwa nahisi kama kuna mtu ndani anakatakata maini na kila kitu.
Msimu ujao ligi kuu tunabeba.
Hakika unachosema ni sahihi. Hana raha sana, then kanifurahisha alivyobeba kwa mkono mmoja tu kikombe....Mourhnio amenuna nadhani pamoja na ushindi kiwango cha baadhi ya wachezaji kinampa changamoto
Changamoto za mtandao hizo.Mpira umeshaisha