radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Mtaumia sna wenzio wanaoujua mpira wanachungulia tu hapa na kusepa kenge huwaga hasikii had damu zitoke masikion2020/21. Ila sio msimu huu
Mtaumia sna wenzio wanaoujua mpira wanachungulia tu hapa na kusepa kenge huwaga hasikii had damu zitoke masikion2020/21. Ila sio msimu huu
Zlatan majibu yake yanafurahisha sana yani anapenda kuwa mtu flani hivi wakuogofya. Nadhani anawish angekua god flani hivi. Angekua bongo ningempa kabila maana sio kwa sifa zake.You have to love Ibra's arrogance!
"Sky Sports reporter: "Do you sense something special is happening here (at Man Utd)"
Zlatan: "I came, that's special."
Halafu timu lenu kwa migomo kama wanafunz wa vyuo wakat watu wameweka pesa zao lipo tayar lishuke daraja kisa ka mtu kamoja kana ugomv na kocha angalia tofaut ya timu kubwa na tudogo kwa jins mourinho alivyoanza program zake na wachezaji wa manchester united kama ingekuwa timu lako kuna limoja lingeandaa mgomo kisa mchezaj mmoja hachez lakin manchester united lazima uone aibu kwanza unaoneshwa picha za ronardo,bekham,dennis law,cantona,giggs,sir bobby chalton wanamalizia na sir alex ferguson lazima uone aibu hao wote sio wa mchezo mchezo huko utaoneshwa picha ya lampad na terry tu2020/21. Ila sio msimu huu
Zlatan majibu yake yanafurahisha sana yani anapenda kuwa mtu flani hivi wakuogofya. Nadhani anawish angekua god flani hivi. Angekua bongo ningempa kabila maana sio kwa sifa zake.
Naona umeamua kufukua makaburiKweli mkuu timu yako Soton haikuweza kukuangusha kabisa leo
Come on you saints
... hongereni asee sasa mchukue na uefa ndogo
View attachment 185859Klabu ya mpira wa miguu ya Manchester United ni klabu ya mpira wa miguu ya Kiingereza ya mjini TRAFFORD, Greater Manchester.
Old Trafford
View attachment 185855
Manchester United Trophy Cabinet
View attachment 185856
Theatre of Dreams
Klabu ilianzishwa mwaka 1878 kama Newton Heath L & YR FC, na kucheza mechi yao ya kwanza ya ushindani Oktoba 1886, wakati ambao waliingia Duru ya Kwanza ya Kombe la FA 1886-87.
IMETWAA MAKOMBE YAFUATAYO:-
Cups
- FA Cup: 11
- 1908&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];09, 1947&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];48, 1962&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];63, 1976&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];77, 1982&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];83, 1984&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];85, 1989&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];90, 1993&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];94, 1995&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];96, 1998&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];99, 2003&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];04: 2016
- League Cup: 4
- 1991&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];92, 2005&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];06, 2008&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];09, 2009&[HASHTAG]#8211[/HASHTAG];10
- FA Charity/Community Shield: 20 (16 outright, 4 shared)
- 1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965*, 1967*, 1977*, 1983, 1990*, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013 (* joint holders)
Leo nme amini kweli hii timu in a mashabiki dunian....But not today!... Bolton had your number today...🙂
Jamaa ni muhuyaZlatan majibu yake yanafurahisha sana yani anapenda kuwa mtu flani hivi wakuogofya. Nadhani anawish angekua god flani hivi. Angekua bongo ningempa kabila maana sio kwa sifa zake.

Dogo anataka kujenga mahusiano mazuri na uwanja huuMR WEMBLEY
Upo???? GGMAsante sana my dear am so happy kwakweli,thanks so much for your support hata tulio mbali tumefaidi.