The Bodmas
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 405
- 403
Nawachunguliaaaaa tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] the championnnnnnnnnnn nnnnnnnnnnnnnnnnn.
Vikombe vya kuku sio vipaumbele vyetu
Haha poleh ila kuna kushinda aina mbili ila tutaongelea aina moja tu Leo Southampton wamefanikiwa kushinda njaa Leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleh mkuuHii game Southampton walistahili kabisa kushinda...Man U hamna kitu
Haha uoni aibu ebu nenda ukakojoe ulale ukoMan u inabebwa mpaka nahisi ni ukweli. Timu mbovuuu
Ile krosi ya herrera imenikosha sana...