Kikombe cha kwanza hicho, count in..Sijajua Hull wana mechi gani this weekend ila Evandro na Abel wangeanza ingekuwa another story.
However, sifa kwenu esp de Gea...
Leicester next...labda watafufukia kwenu!
Sijui waliichukulia poa ama vipi?.....Mimi kikosi cha leo hakikunibariki kabisa ndo maana sikukoment chochote,tunashukuru Mungu tumepita .....Wembley kwa mara nyingine [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] all the best Man U.Sijajua tatizo nn Leo yani wote Leo wamecheza km hawataki vile
Daah naona mmeponea kwenye tundu la sindano [emoji41] [emoji41] [emoji12] [emoji12]Looooh!!! Kwendraaa!! Dua la Eddy halimpati everlenk.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Asante mtani..... mpka hapa umeshaangushwa tu kwa mara nyingine nakamata kombe mnaliita la ng'ombe eeehhhh? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Daah naona mmeponea kwenye tundu la sindano [emoji41] [emoji41] [emoji12] [emoji12]
Hongereni kwa kwenda Wembley lakini timu yangu Soton haiwezi kuniangusha kabisa
Wanacheza tena na vibonde wao man United kwa hiyo wataendelea kubaki pale pale nafasi ya 6 [emoji41] [emoji41]Sijajua Hull wana mechi gani this weekend ila Evandro na Abel wangeanza ingekuwa another story.
However, sifa kwenu esp de Gea...
Leicester next...labda watafufukia kwenu!
Ukiambiwa utuze maneno yako uwe unafanyaTimu ni zile zile.
Na nyie nawafahamu vyema....
Good thing is kesho nitakuwa live kuangalia Hull akiwafundisha mpira. Pamoja na Mason kuumia lakini hamna uwezo wa kumfunga keshi hata refa akiwabeba na offside goals zenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo mbaya maana tumeshinda ... usithubutu kuchukua hilo kombe maana lina laana kuliko ngao ya hisaniAsante mtani..... mpka hapa umeshaangushwa tu kwa mara nyingine nakamata kombe mnaliita la ng'ombe eeehhhh? [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Soma maneno yangu mkuu. Kufungwa was given. you had the advantage of a win in the first leg.Ukiambiwa utuze maneno yako uwe unafanya
Hahahhaha limekuwa la laana tena??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siyo mbaya maana tumeshinda ... usithubutu kuchukua hilo kombe maana lina laana kuliko ngao ya hisani