Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Eeeehhhhh ntajua mwenyewe nikufanye nini!!! ..... Eeeeehhh namna hiyo nipe nipe matumaini miye aaaaahhhh!!! Siyo kila siku makavu afterall sikuaffect kwa lolote!!!
Kiukweli naamini hivyo, unamaliza ndani ya top 4. Japo now mmelipia kodi ya miezi kadhaa namba sita

Halafu hii timu toka kipindi cha sir Alex siipendi
 
Kiukweli naamini hivyo, unamaliza ndani ya top 4. Japo now mmelipia kodi ya miezi kadhaa namba sita

Halafu hii timu toka kipindi cha sir Alex siipendi
Hahahhaha weka tu chuki pembeni najua kwanini hutupendi tuliwatesa sana!!
 
Hahahaah tumsamehe utabiri anashindwa TB J yeye ni nani bana!!! Hahhahahaha
Yule mzee yule sijui alikuwa na nini na dk zake za mwisho mwisho zile za ajabu ajabu.

Mara kipa goal, yaan mlikuwa najifuna sana. Acha mpate changamoto kidogo. Usiumie sana UEFA mnaenda.
 
Kiukweli naamini hivyo, unamaliza ndani ya top 4. Japo now mmelipia kodi ya miezi kadhaa namba sita

Halafu hii timu toka kipindi cha sir Alex siipendi

Unafaa kumfariji mgonjwa mkuu!

Inabidi tukuteue wewe ubaki na mgonjwa. nkuwi na mimi tunajiondoa. Unajua kutoa maneno ya kufariji kabisa mkuu!

Huyu mgonjwa wetu wa akili wewe unamuweza vizuri. Endelea kumfariji kujiona yeye ndo celebrity...kama nyani wa circus!
 
16427444_1860715934150493_7502638387981536964_n.png
 
jamani leo mourinho asifanye mchezo maiti anaweza kutung'ang'ania wana point 21 wapo nafas ya 16 sanderland wa mwisho ana point 19 hatar sana.

namshaur amzuie pogba asiende kulemba nywele kila akilemba ni droo akiziacha nyeus tunashinda vizur sana
 
f909a90827659fb7d579fc51890eabbb.jpg

Waogope MATAPELI eneo hili HALIUZWI.
Hatubanduki....

I wish I could advice Liverpool management to consider organising a small Bilateral training program b/n Arsene Wenger n Jurgen Klopp.
Wenger teaches Klopp how to beat smaller teams but not watford then Klopp teaches Wenger how to beat bigger teams.
What do u think ?
 
...at the end of the day 3 points tumeondoka nazo

pole niffah jana hamkupata hata nafas ya kusogeza mpira kwa mkono luiz na cahil sio watu wazur mtafufukia kwa hull city
 
jamani leo mourinho asifanye mchezo maiti anaweza kutung'ang'ania wana point 21 wapo nafas ya 16 sanderland wa mwisho ana point 19 hatar sana.

namshaur amzuie pogba asiende kulemba nywele kila akilemba ni droo akiziacha nyeus tunashinda vizur sana
Mkuu, timu zinzoshuka daraja ni majanga. Hii game yenu ngumu tena ukizingatia Sunderland na Hully city wameshinda.
 
Mkuu, timu zinzoshuka daraja ni majanga. Hii game yenu ngumu tena ukizingatia Sunderland na Hully city wameshinda.

mkuu game ngumu sana hii foxes sijui kama watakubali kufungwa kirahis watacheza kama fainali angalia matokeo ya jana sunderland kamtia mtu nne kwake
 
Back
Top Bottom