Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Jamie Vardy is yet to score in 2017, as are his team, Leicester City. Photograph: Rachel Holborn/CameraSport via Getty Images
Kwenye ligi kafunga magoli 4Pogba kafunga magoli mangapi?
Kwenye ligi kafunga magoli 4
www.sokaglobe.co.tzwakuu, naombeni link ya kustream game ya Leiceister na Man U
Sijui maajabu ya timu za mkiani yataendelea na leo?Vardy sijui atafufukia hapa???
Utajua maana ya hii mechi next week arsenal watakapofungwa na HullHakuna mechi meaningless kama hii kwa man utd..hahahahaha
Yani mshinde, mnabaki wa 6.
Mfungwe mnabaki wa 6.
No motivation kabisa aisee.