taylor9119
JF-Expert Member
- Nov 4, 2012
- 301
- 489
Mkuu hiyo picha ipeleke kule kwao ili wampokee vizuri Mane wao...
Sawa kabisa Mkuu.
Ulishazimwa ilikuwa ni alfajiri ya Leo na hakuna majeruhiBad news...moto umezuka katika uwaja wetu..old Trafford
Source jamiiforum Instagram
Sijasema United mkuu angalia @PRONDO alivoulizaBraza, wewe ulisema kwamba United ni timu pekee EPL yenye mchezaji aliyebeba WC na bado anacheza. Mimi nikakuuliza kwamba, je Cesc na Pedro hawakuwepo kwenye WC ya 2010 ambapo Spain ilishinda.
Sasa kukurupuka kwangu kuko wapi?
Mkuu Inzi Kuna timu imetajwa hapo?Timu pekee katika ligi ya Uingereza yenye mchezaji aliyewahi nyanyua World Cup na bado anacheza mpira...
Timu pekee katika ligi ya Uingereza yenye mchezaji aliyewahi nyanyua World Cup na bado anacheza mpira...

si mchezo naona walikuwa wanaombea watolewe ili arudi kwa wakati.hahaha![]()
Okay, kweli bana! I was caught up with Bastian's MOTM performance; ikanipelekea kufikiri umemtaja yeye. Ebu fafanua sasa lengo na maana yako.Mkuu Inzi Kuna timu imetajwa hapo?
Nilikuwa nataka kupima wale vichaa wanaovamia page yetu...Okay, kweli bana! I was caught up with Bastian's MOTM performance; ikanipelekea kufikiri umemtaja yeye. Ebu fafanua sasa lengo na maana yako.
AiseeeeeChelsea vs Totenham
Naona ulivyoona tottenham moyo umeenda mbio kweli haaaaaaaaaaChelsea vs Totenham