nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,988
- 5,652
No, Leicester kesho anafufuka kama alivyofufuka kwa mdogo wenu WA mjini(man city)Unatest zari..
No, Leicester kesho anafufuka kama alivyofufuka kwa mdogo wenu WA mjini(man city)Unatest zari..
Hahaaa! Rudi kwenye uzi wenu mkuu [emoji23][emoji23]Man utd kesho mnapigwa.
Kwanza nijuze, kilicho chenu ni kipi????Muda wetu pekee wa kudhihirisha nia yetu ya kukitafuta na kukichukua kilicho chetu ni kesho.
Wapinzani wetu wawili pale juu mpaka sasa wamelizwa ile mbaya.
Hapana, kumuacha mgonjwa peke yake sio jambo jema sana, ngoja tuendelee kuwepo humu kwanza!Hahaaa! Rudi kwenye uzi wenu mkuu [emoji23][emoji23]
Mimi na wewe nani mgonjwa?Hapana, kumuacha mgonjwa peke yake sio jambo jema sana, ngoja tuendelee kuwepo humu kwanza!
Dalili ya mvua mawingu alikaaa first leg na this second anakalishwa vile vile sisi siyo watu wa sport sport japo sita hatutoki!![emoji2] [emoji2] ila amini amini nakuambia kesho ni mwisho kukaa sita next week unanipisha paleeeee !!!!No, Leicester kesho anafufuka kama alivyofufuka kwa mdogo wenu WA mjini(man city)
Liverpool na Arsenal wamefungwa, na nyie kesho mnaweza shangaa mkadrooDalili ya mvua mawingu alikaaa first leg na this second anakalishwa vile vile sisi siyo watu wa sport sport japo sita hatutoki!![emoji2] [emoji2] ila amini amini nakuambia kesho ni mwisho kukaa sita next week unanipisha paleeeee !!!!
Shindwa na ulegee moja kwa moja mpka kesho mechi iishe.....mmmmmhhh!!! roho mbaya tu sasa uwivu wa nini nikifungwa wakati mapoint umenizidi....embu niombee heri japokuwa yakuuma,nitakie heri tu hamna namna!!![emoji23]Liverpool na Arsenal wamefungwa, na nyie kesho mnaweza shangaa mkadroo
Fyuuuuuu Chelsea tumpishe Mr six??? Hata mumsajili malaika na shetani-ibilisi mwenyewe, Chelsea is gone!Dalili ya mvua mawingu alikaaa first leg na this second anakalishwa vile vile sisi siyo watu wa sport sport japo sita hatutoki!![emoji2] [emoji2] ila amini amini nakuambia kesho ni mwisho kukaa sita next week unanipisha paleeeee !!!!
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kumbe wewe Chelsea sasa chuki za nini!!! Nilisahau bana nilijua wewe kitoto cha Wenger hahahahahaha!!! Mxiuuuuuwwwwwww!!!Fyuuuuuu Chelsea tumpishe Mr six??? Hata mumsajili malaika na shetani-ibilisi mwenyewe, Chelsea is gone!
I concur, si vyema kumuacha mgonjwa peke yake.Hapana, kumuacha mgonjwa peke yake sio jambo jema sana, ngoja tuendelee kuwepo humu kwanza!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unataka nilegee unifanye nini mie. Usijali wewe unamaliza top 4, wala usijali kabisa. Naamini hivyo, maana Mourinho tofauti na Klopp na Wenger sanaShindwa na ulegee moja kwa moja mpka kesho mechi iishe.....mmmmmhhh!!! roho mbaya tu sasa uwivu wa nini nikifungwa wakati mapoint umenizidi....embu niombee heri japokuwa yakuuma,nitakie heri tu hamna namna!!![emoji23]
Hazard kafunga magoli mengi unazungumzia lipi?? Au la Leo alivyookokota Kijiji chote cha washika manati???Mimi na wewe nani mgonjwa?
Unakumbuka goli la hazard lakini?
Kwani uongo !!!! Hamlali hamli mawazo yenu yote United, embu mtupisheeeeeeeeeeeeeeee!!!!!I concur, si vyema kumuacha mgonjwa peke yake.
Yani huyu mgonjwa wetu wa akili anafurahisha. Yani anaona watu wanakuja kumsabahi asubuhi, mchana na jioni anahisi amekuwa famous kumbe twaja kumjulia hali.
Kesho tena ana dozi...hope itampa ahueni!
La leo ! [emoji23][emoji23][emoji23] si ndo kakiharibia mood ya arsenal wenzakeHazard kafunga magoli mengi unazungumzia lipi?? Au la Leo alivyookokota Kijiji chote cha washika manati???
Ushawqhi kuuguza lakini mrs. Mcharo??! Ni ngumu kupata usingizi mgonjwa wako yuko mahututi miezi miwili hali yake ni ile ile. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeKwani uongo !!!! Hamlali hamli mawazo yenu yote United, embu mtupisheeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
Eeeehhhhh ntajua mwenyewe nikufanye nini!!! .....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Eeeeehhh namna hiyo nipe nipe matumaini miye aaaaahhhh!!! Siyo kila siku makavu afterall sikuaffect kwa lolote!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unataka nilegee unifanye nini mie. Usijali wewe unamaliza top 4, wala usijali kabisa. Naamini hivyo, maana Mourinho tofauti na Klopp na Wenger sana
Tatizo kauli mbofu mbofu za babu yenuu ndio zinasababisha yote hayaaaaaaaasaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kumbe wewe Chelsea sasa chuki za nini!!! Nilisahau bana nilijua wewe kitoto cha Wenger hahahahahaha!!! Mxiuuuuuwwwwwww!!!
Hahahhahaha kama mimi niliweza kukuuguza mwaka jana naomba nami uniuguze tu! ila mgonjwa mie mzima ujue utanihesabiaga tu siku za kufa lakini sikufi ng'ooooo na kwanza maendeleo nafanya hahahhahaha mgonjwa huyu balaa!!!Ushawqhi kuuguza lakini mrs. Mcharo??! Ni ngumu kupata usingizi mgonjwa wako yuko mahututi miezi miwili hali yake ni ile ile. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeee
Kabsa mkuu, utakuwa sio ubinadamu kabsa huo kumuacha mgonjwa mahututi bila uangalizi WA karibu, tukisubiri muda tu ufike tuweke matanga!I concur, si vyema kumuacha mgonjwa peke yake.
Yani huyu mgonjwa wetu wa akili anafurahisha. Yani anaona watu wanakuja kumsabahi asubuhi, mchana na jioni anahisi amekuwa famous kumbe twaja kumjulia hali.
Kesho tena ana dozi...hope itampa ahueni!