radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Ranieli anaenda kubeba ndo ya uefa mr bean bado anamsubilia mwokoz iwob akue mana takuma sijui imekuwajeUkimzungumzi mou hamkuti liver kwa champion legue which is history
Ranieli anaenda kubeba ndo ya uefa mr bean bado anamsubilia mwokoz iwob akue mana takuma sijui imekuwajeUkimzungumzi mou hamkuti liver kwa champion legue which is history
Lakini tangia aanze hajawahi shuka formAliwakuta wakali wakina prof j na sugu
Lakini tangia aanze hajawahi shuka form
Hujaona kupewa bendera na Nape kwenda AFCON?anacheza namba ngapi na timu ya taifa amewah kuitwa?
Hujaona kupewa bendera na Nape kwenda AFCON?
Waziri wako wa Michezonape ndo nani na afcon ndo nini?
Kwangu hana inshuWaziri wako wa Michezo
Ferguson brought Rooney to Old Trafford in a £27m deal in 2004, making the then 18-year-old the most expensive teenager in Premier League football at the time.
toka kitambo sana pesa ipo ya kutumia



In wema sepetu Voice"![]()
Waogope MATAPELI eneo hili HALIUZWI.
Hatubanduki....![]()
Naona kombe la kwanza linakuja man utd .EFL....tukutane Wembley. Kufa beki kufa kipa kombe old Trafford
Na iwe hivyoHamna namna na wapigwe tuu kama alivyosema Mh Pinda
Leo tunaenda kumalizia tulipoishia na Hull City baada ya hapo tarehe 26/2 ndani ya Wembley Wayne Rooney atanyanyua kombe letu la kwanza kwa msimu huu
Mngekutana na Liver final wangewafunga wacha kelele mingi.jogoo limekimbia,wana bahati sana tungechukua ubingwa mbele yao.![]()
Kunatofauti ya EPL na EFL usikariri ....angekufa vibaya mnoMngekutana na Liver final wangewafunga wacha kelele mingi.