sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
jibu hoja za wadau hapo juu.Semeni tena Arsenal katupia bao 2
jibu hoja za wadau hapo juu.Semeni tena Arsenal katupia bao 2
dah sie wangesema tunabebwa asa wao sijui wamekumbatiwa.
dah sie wangesema tunabebwa asa wao sijui wamekumbatiwa.
hautawaona wakiongelea hilo. mana mkuki kwa nguruwe.Haya wale wanafiki mliokuwa mnalialia humu man utd kuongezewa 5minutes mje muendelee kubwabwaja, mmeongezewa 7mins na kupewa penati wakati huyo mchezaji yuko offside!
Pana msemo unasema chongo kwa mtwana kwa bwana kengezaI wonder what will Arsenal fans say when they got a penalty from offside position. When United got goal from offside, they like pointing it. Now, what will you say? LOL
Toka mbele hiyo goli la mik ilikuwa shida
Kweli jamaa kama wameamka toka usingizini kuanzia ile game yetu ya OT game itakuwa tough JM inabidi aichukulie serious sana kuliko ya WiganDooh nawaangalia hawa Hull city wanavyocheza na Chelsea nahisi mechi yetu ya marudiano kule kwao itakuwa ngumu sana
Tuna rekodi pia ya kutopoteza mechi ngapi sijuiduh hizi rekodi nyingine ni kama kua na mtoto wa kiume alafu SHOGA.
Mkuu westham walitukamia sana hadi tukatoka nao draw OT lakini walivyokutana na Arsenal walipigwa tano bila.Dooh nawaangalia hawa Hull city wanavyocheza na Chelsea nahisi mechi yetu ya marudiano kule kwao itakuwa ngumu sana
Kwahiyo hiki ndicho mnachojisifia nacho sasa hivi?Best Premier League pass accuracy so far this season:
Man Utd (85.1%)
Man City (84.8%)
Chelsea (84.3%)
Arsenal (84%)
Liverpool (83.1%)
DN
www.manutdupdates.com

...at the end of the day 3 points tumeondoka nazoHaya wale wanafiki mliokuwa mnalialia humu man utd kuongezewa 5minutes mje muendelee kubwabwaja, mmeongezewa 7mins na kupewa penati wakati huyo mchezaji yuko offside!

Kwahiyo hiki ndicho mnachojisifia nacho sasa hivi?
![]()
![]()
![]()
![]()
Washabiki wa bongo bana. Eti kavunja offside. Haya tueleze kavunja vipi offside.Hakuna makosa hapo alivunja ofsaidi
Hii weekend marefa wamechemsha sana aisee..hope something will be done about itWashabiki wa bongo bana. Eti kavunja offside. Haya tueleze kavunja vipi offside.
Hii weekend marefa wamechemsha sana aisee..hope something will be done about it
Tena sanaa jiandae leo kuona soka safi
...at the end of the day 3 points tumeondoka nazo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii weekend marefa wamechemsha sana aisee..hope something will be done about it
HongeraMentor pamoja na marefa kuvulunda nashukuru kiuchumi nimepiga pesa ndefu tu lak tatu na 40 na chelsea akiwemo safiView attachment 462898