Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu Sikosoi Mawazo Yako Lakini Kabla Ya Kuanglia Mafanikio Ya Kocha, Ni Busara Pia Kuangalia Aina Ya Timu na Wachezaji Alionao!!!

Mtazame Gurdiola Mafanikio Aliyoyapata Kwa Barca na Bayan Je Kwa Man City hile Anaweza Kuyapata? Katu......

Kwahiyo na Hata Klopp Kutokea Dortmund na Liverpool Hawezi Kuwa na Mafanikio Sawa na Morinho aliyekuwa na Chelsea Ya 2004 mpaka 2007, Au Real au Inter (Ya Wakati Huo) na Hata Porto Ya Wakati Huo Ya Kina Deco......


epl tatu 2014/15 pia angalia kila nchi alizotia maguu msimu wa kwanza au pili lazina kuna kombe kitu ambacho klop kachemka had sasa mou yupo fainali ya culling cup now mungu akisaidia ndoo ya pili baada ya ngao ya jamii klop ni mdogo sana kwa mou ktk miaka 16 ya ukocha vikombe havizid vi 5 pima mwenyewe anafaa?
 
mi nachopendaga zaidi tu ni

1. Man utd kubaki midomon na akilini mwa watu haijalishi ni washabiki wa Man U au si washabiki wa Man U

2. Watu kukimbia threads za timu zao na kuja kujibanza huku kwenye Thread ya United


Sipati picha ingekuwa sisi wa United tunafanya ivo sijui ingekuwaje! Inashangaza sana kwmb yawezekana hata washabiki wa Man U wasiwe hata interested kupitia threads sijui za Arsenal, Chelsea au Liverpool lakini wanazi wa timu hizo wamejazana hapa jamvini kila cku mapovu kuwatoka

GGMU!!


na ktk thread iliyo na viewers wengi ni hii na inakimbia balaa hii ndo thread inayotembelewa na watu kwa wingi hapo ni kwamba ndo ukubwa wenyewe huo.

waache waje kwa wingi tunakaribisha ndo kipind chao cha kutoa dukuduku zao zilizopo moyoni wamepigwa sana.
 
Ok that's gud, relegation battle Manchester endapo kesho itashinda itakua point moja nyuma ya tittle contender looserfool
 
Tukishinda kesho tutakua point 1 nyuma wa wazee wa next year, 2 points nyuma ya arsenal

Tuna watford na Bournemouth nyumbani wakati huo huo loserfool watakutana na Mr bean
 
Wakuu za mida?

Pls kokote Wenger atakapo onekana anatakiwa kuripoti kituo cha kati bila kukosa

Cc: [HASHTAG]#PaulMakonda[/HASHTAG] [HASHTAG]#KamandaSirro[/HASHTAG]

72aebdaae9507941919ae6ccc234ae6b.jpg


21ef2a6b8774e277b76d7f6a94b64ba6.jpg
 
Back
Top Bottom