Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ntuzu nini kilichomtokea mourinho chelsea mpaka timu ikataka kushuka daraja? Kama tatizo ni wachezaji nini kiliwafanya wachezaji haohao waliompa ubingwa msimu uliopita wamsaliti tena?
Kama tatizo ni mourinho huoni tatizo alilofanya chese amelihamishia man u
Ntuzu ebu nipe first eleven ya man u kwa sasa according to mourinho
,So far 80% ya first eleven yake inafahamika sema majeruhi ndio yanafanya huwezi iona kama wachezaji wote wakiwa fit hao bolded wataanza
1.De Gea
2.Valencia
3.Shaw/
Darmian
4.Bailly/Jones
5.Smalling/Rojo
6.Herrera/Carrick
7.Martial/Lingard
8.Pogba
9.Ibrahimovic

10.Mata/Rooney
11.Rashford
 
Ninachoamini nikwamba, unapoamua kuwa shabiki wa timu fulani ni lazima uwe tayari kuyapokea matokeo ya timu yako kulingana na yanavyokuja. (we win together, we lose together, we draw together). Hatukatai kwamba muda mwingine kocha anaweza akafanya maamuzi ambayo yanaweza kui-cost timu kupata matokeo chanya (afterall football involves risk taking and gambling with decisions).
Ila nina wasiwasi kuwa mkuu Iceman 3D humpendi na hupendi coaching philosophy ya Jose Mourinho (sio kwa accusations unazozitoa humu jukwaani, unless you got personal issues with Jose). Hicho kilio unachokitoa humu angekitoa shabiki wa kike kama everlenk au sister hata nisingeshangaa coz ningeelewa kuwa ndo tabia za hawa ndugu zetu wenye jinsia hiyo. But a fully grown *ss man! duh, sipati picha the way unavyopanick familia yako ikikabiliwa na changamoto hizi za kidunia.
Unataka kocha ambaye his coaching prowess has been proved in more than four major European Leagues afukuzwe hata kabla ya kufikisha nusu msimu! A coach whose carreer has been awash with trophies and accolades! Really!? C'mon man
umenichekesha sana, ndugu yangu Hata Mimi Najua kuivumilia ndoa aiseee nadundwa but saaahiyo hiyo nasema come over baby I love you !!!!!....
 
Ile hali ya Ku struggle kwa timu zote ya msimu uliopita ndio hiyo hiyo iko ktk msimu huu.

Ukiiondoa Chelsea pekee ambayo inaonekana kufanya vzr timu zingine zooote zinafanya vibaya. Na zinapata matokeo kwa shida sn....

So Utd Ku bounce back na Ku cover hizo points ni rahisi sn hasa ukizingatia kwa sasa ligi bado haijafika Ata nusu. Na Jose ktk dirisha dogo lazima anunue wachezaji ktk kuimarisha kikosi chake maana tatizo kubwa LA Utd ni kukosekana wachezaji wazuri ili kufanya timu kua imara. Tatizo wala si kocha.

Km wewe ni shabiki Wa Utd kweli unaweza kuniambia ktk back line yako kuna mabeki waliofikisha kiwango cha Nemanja Vidic na REO au Evra? Ukimtoa huyu Valencia anaejitahidi hao wengine wamefika hicho kiwango cha hao wakongwe?

Tuje ktk middle ukimuacha Carrick, hawa wengine wameweza kufuka uwezo Wa kina Schols na Kean au Daren Fletcha? Huko mbele ndio usiseme.

Timu hii ilivurugwa sn na Moyes na LvG na kwa kifupi ktk Utd tatizo sio kocha tatizo ni kwamba hamna wachezaji wazuri kuweza kushinda na ili kutwaa kombe. Mkimpa muda Mourinho kujenga timu akaweka wachezaji anaowataka yeye soon tu mtaona mafanikio.

Mourinho kakuta timu ni mbovu kila kitu. Na Ata hizo usajiri alizofanya zinaonekana kufail kwasababu timu ni mbovu. Amenunua CB mmoja ambae sasaivi ni majeruhi lkn back line haiwezi kua imara km middle ziko hovyo.

Leo hii vipigo vinavyo iandama Leicester city wengine wanasema ni kwasababu ya kuondoka Kante. Na hiyo ndio sbbu Ata ya timu ya Chelsea kufunga goli 22 ktk mechi 8 na wao kufungwa goli 2 tu.

Alichofanya Mourinho ni kujaribu kuwatumia wachezaji hao hao ktk msimu huu, lkn kwa kifupi Mourinho alitakiwa aifumue upya hiyo timu km alivyopata nafasi ya kuifumua LvG. Na taratibu ataifumua. Ndio maana mpk sasa hana first eleven na hana wachezaji maalumu ktk nafasi Fulani Fulani.

Lkn Ata kwa hii hii timu iliyo haina wachezaji wazuri bado Mourinho ana uwezo Wa kufika ktk top four na kufanya vzr kwasababu Ata timu zingine km LFC na city nazo zinavurunda.

Naomba ni kuulize, kinacho kufanya useme utd ita baunse back ni nini!!? Chelsea ana cheza vizuri lakini kama aliye mpita point 3 unasema ana struggle ni jambo la kushangaza. Yaan timu inayo fanya vibaya imepitwa point 4 na anaye fanya vizuri!! Haiwezekani. So timu nyingine ziko vizuri, na hata kama haziko vzuri si kama United ambayo haionekani kuwa sawa.

Hao hao mabeki unao wasema LvG alicheza nao na akaingia top four, akawa wa tano na akawa bingwa wa FA, na ukumbuke LVG hakuweza kuwanunua watu kama Mikhi, Pogba na Zlatan. LvG akiwahi kuwa na beki ya Rojo, fosu mensah, Love na Blind itwas worse than this, Rekodi ya LVG si mbaya kias useme Mou ali ikuta timu iko kwenye dimbwi la kufeli. Unajua Arsenal ili ipita point ngapi man utd ya LvG? Point 5, unajua tot iliipta point ngap man utd 4. Man city ilitupita magoli, liverpoool tulimpita point 10,
Sasa kama timu hizo zote zina struggle now masuala ya kupitwa point 6-10 yana ashiria nini zaidi ya sisi kushuka? Mou alikuwa na kaz ndogo tu ya kuichukua timu toka ilipo kuwa na kuifanya ipambane zaid. Na si ishuke zaid alipo tuacha LvG yeye karudi nyuma hatua 5.

Mourinho alijua atakuwa kocha toka mwezi wa 4 mi namfaham Mou angejua timu yote mbovu angenunua hata wachezaj sita, kwa sasa hana la kujitetea kwa kuwa ali ridhia usajili alo fanya ambao hau work, na aka tuaminisha kuwa tutapigania ubingwa.

Mourinho mara ya mwisho kufanya sub iliyoleta impact kwenye timu ni mwezi wa 8 against Hull, ila baada ya hapo sub zake ni za hovyo, na si wachezaji wabaya ila hajui nani aingie wakat gani. Ana chezesha wachezaji sehem hawastahili kama juzi pogba, ana mchezesha Darmian left wakat Blind yupo. Tatizo kubwa haliko kwenye beki liko kwenye kushambulia, utapigaje shots 37 halafu hata goli moja hufungi, utapigaje shots 12 unafunga goli moja!!, this means tatizo lipo lakini kocha kashibdwa kulifanyia ufumbuzi.

Wachezaj walaumiwe? Yes hawakosi kwenye lawama ila namba 1 kocha.

Kocha najua atapewa muda, apewe na pesa asajili tena tuone kitatokea nin.
 
Uko sahihi mkuu.

Kinachoendelea kwa Utd tatizo sio kocha. Kweli kuna shida kadhaa Wa kadhaa lkn tatizo sio kocha.

Kuna vimaswali nataka kumuuliza huyu Iceman 3D nione hayo mawazo Yake mapya anayoyasimamia maana kila timu ina struggle na haziko vzr zote.

Ngoja akirudi online nitamuuliza hivyo vimaswali.

Unajua wengine tukiona Baba Yetu Jose anashambuliwa bila sbbu ya msingi tunaumia sn..... Yani Jose kule kwetu darajani ni mfalme. Popote akienda na sisi Tupo. Sasa kumshambulia tu bila sbbu ya msingi sitokubali.

Niko hapa nataka Leo nipewe fact moja baada ya nyingine toka kwa huyu ndugu.
Eeeeeeehhh mbona hukuniiita...
 
Sizani km kwa huo usajili Wa wachezaji wanne km the rest ya wachezaji hawako vzr kunaweza kuleta tija.

Jose kamnunua huyo CB mmoja na amekua majeruhi sasa kwa muda lkn back line ya Utd yote imeonekana kua mbovu kasoro Valencia tu. Wamekua wakifanya makosa ya ajabu na kufungwa hovyo. Unaweza kurejea goli LA kwanza LA Pedro pale darajani utaona ni upuuzi Wa wachezaji au viwango vibovu vya mabeki hasa CBs ndio wanaleta shida. Ingawa wakati mwingine uimara Wa mabeki hujengwa na middle fields players hapa ndio kuna shida kubwa. Maana hawa kina Fellaini, Herrera na ata hizi wings bado hawajafikia uwezo Wa kina Hagreves, Schols, Kean na Daren Fletcha na ata Carrick. Ndio maana Mourinho ana hustle amuweke nani hapo? Utaona Mara Herrera kesho Big Fella Mara paired ya Carrick na Herrera au Pogba na Herrera. Kuna shida hapo. Na hiyo ndio roho ya timu au ndio injini ya timu. Unaweza kuona Ata kule kwetu, Chelsea imefungwa goli chache kwa uimara Wa middle. Kante na Matic na wengine wanafanya kz to the maximum. Sasa hii hali kwa Utd hakuna. Hakuna injini au roho ya timu hapo kati. Na kumbuka ukiwa huna roho ya timu hapo kati lazima ufail kote. Utafungwa sn wewe, na utakua na poor scoring.

Mik ameshuka kiwango japo Mou ndio aliemsajili tena alivyo chizi huyu Mik etia akampiga bit Mourinho kua hataki kukaa benchi. Yani hapo ndio akawa anajiharibia kabisa.

Pogba na Kadabra wanaangushwa na ubovu Wa injini ya timu au roho ya timu. Lkn hawa bado wako vzr na km kukiimarika ktk sehemu hizo zenye shida mtawaona hawa jamaa wako juu ktk viwango vyao.

Kwa haya machache nasema Utd tatizo ni wachezaji na si kocha.

Hata Bailly alipo kuwepo hatukupata matokeo mazuri.

Morinho alivo sajili hao wa 4 yeye ndio alisema inatosha, sasa wewe unaifaham midifeld ya westbrom!!? Pamoja na ubovu wetu wote haiwezekani tuwe tunafukuzana na kina Igalo wa watford na kina kanu wa westbrom. Mourinho hapo hana la kujitetea, tena ukitaka kuangalia Midfielders wamejitahidi kuliko kipande kongine chochote pale man utd.
Umesema Miki ameshuka kiwango, wa vipi, wakati ndio MOTM kwenye mechi mbilo za mwisho man utd.

Makosa yetu ni yale yale
Tunafungwa mwanzoni
Tunafungwa mwishoni
Katikati hapo tunacheza hatu convert magoli. Na nimekosa yaliyo jirudia kwenye mechi 11 mfululizo huku kocha akiwa ana sinzia tuu.
 
,So far 80% ya first eleven yake inafahamika sema majeruhi ndio yanafanya huwezi iona kama wachezaji wote wakiwa fit hao bolded wataanza
1.De Gea
2.Valencia
3.Shaw/
Darmian
4.Bailly/Jones
5.Smalling/Rojo
6.Herrera/Carrick
7.Martial/Lingard
8.Pogba
9.Ibrahimovic

10.Mata/Rooney
11.Rashford
Ki ufupi tu ni hatuna kikosi cha kwanza.
Na mechi karibu zoteee watu wana badilika
 
Naomba ni kuulize, kinacho kufanya useme utd ita baunse back ni nini!!? Chelsea ana cheza vizuri lakini kama aliye mpita point 3 unasema ana struggle ni jambo la kushangaza. Yaan timu inayo fanya vibaya imepitwa point 4 na anaye fanya vizuri!! Haiwezekani. So timu nyingine ziko vizuri, na hata kama haziko vzuri si kama United ambayo haionekani kuwa sawa.

Hao hao mabeki unao wasema LvG alicheza nao na akaingia top four, akawa wa tano na akawa bingwa wa FA, na ukumbuke LVG hakuweza kuwanunua watu kama Mikhi, Pogba na Zlatan. LvG akiwahi kuwa na beki ya Rojo, fosu mensah, Love na Blind itwas worse than this, Rekodi ya LVG si mbaya kias useme Mou ali ikuta timu iko kwenye dimbwi la kufeli. Unajua Arsenal ili ipita point ngapi man utd ya LvG? Point 5, unajua tot iliipta point ngap man utd 4. Man city ilitupita magoli, liverpoool tulimpita point 10,
Sasa kama timu hizo zote zina struggle now masuala ya kupitwa point 6-10 yana ashiria nini zaidi ya sisi kushuka? Mou alikuwa na kaz ndogo tu ya kuichukua timu toka ilipo kuwa na kuifanya ipambane zaid. Na si ishuke zaid alipo tuacha LvG yeye karudi nyuma hatua 5.

Mourinho alijua atakuwa kocha toka mwezi wa 4 mi namfaham Mou angejua timu yote mbovu angenunua hata wachezaj sita, kwa sasa hana la kujitetea kwa kuwa ali ridhia usajili alo fanya ambao hau work, na aka tuaminisha kuwa tutapigania ubingwa.

Mourinho mara ya mwisho kufanya sub iliyoleta impact kwenye timu ni mwezi wa 8 against Hull, ila baada ya hapo sub zake ni za hovyo, na si wachezaji wabaya ila hajui nani aingie wakat gani. Ana chezesha wachezaji sehem hawastahili kama juzi pogba, ana mchezesha Darmian left wakat Blind yupo. Tatizo kubwa haliko kwenye beki liko kwenye kushambulia, utapigaje shots 37 halafu hata goli moja hufungi, utapigaje shots 12 unafunga goli moja!!, this means tatizo lipo lakini kocha kashibdwa kulifanyia ufumbuzi.

Wachezaj walaumiwe? Yes hawakosi kwenye lawama ila namba 1 kocha.

Kocha najua atapewa muda, apewe na pesa asajili tena tuone kitatokea nin.
Nilichogundua ni kwamba kumbe hapa hatuongelei uhalisia wa hali ilivyo.

Point yangu kubwa kwa Chelsea kufanya vzr ni sbbu km zifuatazo.

LFC na Gunners hawa wote waliifunga Chelsea na wakachukua points zote 3 kwa tatu kwanini Leo hii Chelsea yuko juu yao kwa kuwazidi alama 3 kwa 4? Ukishapata jibu utaelewa kile ninachoongelea.

Chelsea tangu kafungwa hovyo Na Gunners Na LFC walikataa kupoteza michezo hovyo tena unaweza kuona ni michezo mingapi iliyofata wameshinda yote?

Na kwanini timu km LFC na city ktk michezo hiyo zimefanya vibaya? Angalau kidogo Gunners wako serious wakiifuata Chelsea. Ukipata jibu ktk hili ndio utaelewa kua timu zote zina struggle km Utd.

Isingekua rahisi Mourinho kuifumua timu yote kwa ujumla Na kuanza Na wachezaji wapya. Lkn bado naamini LvG angeweza kufanya vzr kwasababu huyu aliifumua timu yote Na kuanza kuweka mfumo autakao hapo OT lkn kwasababu ya uongozi Wa Utd kuona Jose yuko huru wanapenda kufanya nae kz. Lkn tayari wachezaji Na timu chini ya LvG ilikuta imeanza kuimarika.

Naweza kukubaliana Na wewe kua tatizo ni ufungaji lkn km injini ya timu iko hoi Basi ufungaji utakua butu Na uzuiaji utakua butu pia.

Kwa kifupi matatizo ya Utd wachezaji hawajitumi Na viwango vyao haviongozeki au kukua mpk kufikia squad ya SAF. Hakuna. Hii Utd kila nikiitazama sioni kabisa ule uwezo Wa wachezaji km waliokua nao enzi za SAF.

Tuongee kwa uhalisia mkuu Na si kukosoa tu kwasababu labda hatumpendi kocha.

Utd matatizo yao ni wachezaji kwanza then kocha badae.
 
Sawa Ntunzu wewe unamuelewa mourinho lakini sio kwa ligi ile emb apewe vilago atafute pakutulia pale England pamesha mshinda
Seriouslyyyy!!!!! ...... aiseee nadhani ungefurahi zaidi kubaki ili tuzidi kushindwa basi kama ni hivyo Mou anasomething positive ambayo ninyi wanaepl hamtaki awepo, siyo fan wa Mou but as our boss I support him....
 
Ki ufupi tu ni hatuna kikosi cha kwanza.
Na mechi karibu zoteee watu wana badilika
Nimeandika hapo kabla almost 80% ya kikosi cha kwanza cha Mourinho inajulikana (DDG,Valencia,Shaw,Bailly,Smalling,Herrera,Pogba,Martial,Ibrahimovic) siku ambazo wamekosa game ni kadi,majeruhi au aina ya mshindano ) ,huwezi kuona sababu ya majeruhi defence karibu yote ilipata majeruhi (Valencia,Shaw,Smalling,Jones,Bailly ) wote wameshapata majeruhi msimu huu.Then kubadilisha kikosi sio tatizo kocha anapanga kikosi kutokana na opponent ,majeruhi ,competition na kadi even SAF moja ya sifa yake kubwa ni kupanga lineup kutokana na opponent kama tungeshinda hizo game hakuna mtu angelalamika hatuna kikosi cha kwanza
 
Nilichogundua ni kwamba kumbe hapa hatuongelei uhalisia wa hali ilivyo.

Point yangu kubwa kwa Chelsea kufanya vzr ni sbbu km zifuatazo.

LFC na Gunners hawa wote waliifunga Chelsea na wakachukua points zote 3 kwa tatu kwanini Leo hii Chelsea yuko juu yao kwa kuwazidi alama 3 kwa 4? Ukishapata jibu utaelewa kile ninachoongelea.

Chelsea tangu kafungwa hovyo Na Gunners Na LFC walikataa kupoteza michezo hovyo tena unaweza kuona ni michezo mingapi iliyofata wameshinda yote?

Na kwanini timu km LFC na city ktk michezo hiyo zimefanya vibaya? Angalau kidogo Gunners wako serious wakiifuata Chelsea. Ukipata jibu ktk hili ndio utaelewa kua timu zote zina struggle km Utd.

Isingekua rahisi Mourinho kuifumua timu yote kwa ujumla Na kuanza Na wachezaji wapya. Lkn bado naamini LvG angeweza kufanya vzr kwasababu huyu aliifumua timu yote Na kuanza kuweka mfumo autakao hapo OT lkn kwasababu ya uongozi Wa Utd kuona Jose yuko huru wanapenda kufanya nae kz. Lkn tayari wachezaji Na timu chini ya LvG ilikuta imeanza kuimarika.

Naweza kukubaliana Na wewe kua tatizo ni ufungaji lkn km injini ya timu iko hoi Basi ufungaji utakua butu Na uzuiaji utakua butu pia.

Kwa kifupi matatizo ya Utd wachezaji hawajitumi Na viwango vyao haviongozeki au kukua mpk kufikia squad ya SAF. Hakuna. Hii Utd kila nikiitazama sioni kabisa ule uwezo Wa wachezaji km waliokua nao enzi za SAF.

Tuongee kwa uhalisia mkuu Na si kukosoa tu kwasababu labda hatumpendi kocha.

Utd matatizo yao ni wachezaji kwanza then kocha badae.

Maswali yako haya toi picha unayo ionesha, ligi ndio ilivo ukimfunga mtu hau gurantee kumpita kwa jumla, mbona tottnham kamfunga city lakin kapitwa 3!! Jibu ni kwamba it happens, na it doesnt mean anything, tuangalie kwa ujumla kuwa Chelsea wanaongoza point 3, wakati wao walifungwa na arsenal na liva, wao wame mfunga united ambaye hakufungwa na wote, wakati wao wakimshinda tottenham, liva na Arsenal wali mshindwa, ukija kuangalia unakuta exatly gap ya point 4, Arsenal ameqeza ku pull moja zaid hivo gap lake ni point 3. Nnacho ona ni kawaoda kwenye ligi. Na vyooote hivi tunavo viongea havija isaodoa wala haivihusi man utd , man utd wana matatizo yao ya pekee kabsa.

Nimekubali kuwa umeelewa kuhusu LvG.

Ukiona wachezaji hawajitumi pia ndio tatizo la kocha, angalia Mourinho alipo iacha chelsea , conte ka pick , wachezaj wana jituma, unamuona Zidane anacho fanya Madrid, wachezaji wanajituma kwa ajili yake. Kwa hiyo wachezaj kuto jituma ni lawama inayo anzia kwa anaye takiwa awafanye wajitume. Si wao.

Na kama hajui kuwapa morali wachezaj atasajili mpaka akome na hata pata matokeo.
 
Hata Bailly alipo kuwepo hatukupata matokeo mazuri.

Morinho alivo sajili hao wa 4 yeye ndio alisema inatosha, sasa wewe unaifaham midifeld ya westbrom!!? Pamoja na ubovu wetu wote haiwezekani tuwe tunafukuzana na kina Igalo wa watford na kina kanu wa westbrom. Mourinho hapo hana la kujitetea, tena ukitaka kuangalia Midfielders wamejitahidi kuliko kipande kongine chochote pale man utd.
Umesema Miki ameshuka kiwango, wa vipi, wakati ndio MOTM kwenye mechi mbilo za mwisho man utd.

Makosa yetu ni yale yale
Tunafungwa mwanzoni
Tunafungwa mwishoni
Katikati hapo tunacheza hatu convert magoli. Na nimekosa yaliyo jirudia kwenye mechi 11 mfululizo huku kocha akiwa ana sinzia tuu.
Aisee usichague tuvipoint tu dogo ktk post yangu kisha ukatusimamia huto huto huto.

Km unadai hizi injini mid zimejitahidi unaweza kuniambia ni nani wako ktk kiwango cha Paul Schols, Kean Na Carrick Na Daren wakati Wa SAF?

Unafanya mijadala kua mirefu kwa kusimamia vi hoja vidogo huku point kubwa ukiziacha hewani.

Ukijibu hilo swali langu hapo juu utaona middle yenu ndio shida ya back line yenu forward yenu.
 
Maswali yako haya toi picha unayo ionesha, ligi ndio ilivo ukimfunga mtu hau gurantee kumpita kwa jumla, mbona tottnham kamfunga city lakin kapitwa 3!! Jibu ni kwamba it happens, na it doesnt mean anything, tuangalie kwa ujumla kuwa Chelsea wanaongoza point 3, wakati wao walifungwa na arsenal na liva, wao wame mfunga united ambaye hakufungwa na wote, wakati wao wakimshinda tottenham, liva na Arsenal wali mshindwa, ukija kuangalia unakuta exatly gap ya point 4, Arsenal ameqeza ku pull moja zaid hivo gap lake ni point 3. Nnacho ona ni kawaoda kwenye ligi. Na vyooote hivi tunavo viongea havija isaodoa wala haivihusi man utd , man utd wana matatizo yao ya pekee kabsa.

Nimekubali kuwa umeelewa kuhusu LvG.

Ukiona wachezaji hawajitumi pia ndio tatizo la kocha, angalia Mourinho alipo iacha chelsea , conte ka pick , wachezaj wana jituma, unamuona Zidane anacho fanya Madrid, wachezaji wanajituma kwa ajili yake. Kwa hiyo wachezaj kuto jituma ni lawama inayo anzia kwa anaye takiwa awafanye wajitume. Si wao.

Na kama hajui kuwapa morali wachezaj atasajili mpaka akome na hata pata matokeo.
Km unaona hayo maswali hayana maana Basi futa majibu Na sbbu zako ulizozitoa ktk swali langu LA kwanza nililokuuliza kua ni kipi kilipelekea Leicester kua bingwa msimu uliopita. Na km zile uliona ni sbbu za msingi Basi haya maswali niliyokuuliza yana maana sn ktk kupata picha halisi ya timu zinavyoenda.
 
Nimeandika hapo kabla almost 80% ya kikosi cha kwanza cha Mourinho inajulikana (DDG,Valencia,Shaw,Bailly,Smalling,Herrera,Pogba,Martial,Ibrahimovic) siku ambazo wamekosa game ni kadi,majeruhi au aina ya mshindano ) ,huwezi kuona sababu ya majeruhi defence karibu yote ilipata majeruhi (Valencia,Shaw,Smalling,Jones,Bailly ) wote wameshapata majeruhi msimu huu.Then kubadilisha kikosi sio tatizo kocha anapanga kikosi kutokana na opponent ,majeruhi ,competition na kadi even SAF moja ya sifa yake kubwa ni kupanga lineup kutokana na opponent kama tungeshinda hizo game hakuna mtu angelalamika hatuna kikosi cha kwanza

Hapana mourinho ana wachezaj asilimia chini ya 50 ambao ana wapanga consistently, hata timu yake ya chelsea iliyo kuwa bingwa ilikuwa ina first eleven, mwaka jana leceister walikuwa wana julikana, mwaka huu chelsea kabla hata sja enda kwenye mechi napanga kikosi.
Sasa yeye mabadiliko anayo yafanya yana msaidia nn!!?, ndio maana tunao mpinga tuko pragmatic kuwa anafanya madiliko, matokeo yanakuwa mabaya , this means ana kosea mabadiliko yake.
Nakubaliana na wewe kuwa tukishinda sita lalamika kwa sababu atakuwa amechukua maamuzi sahihi. Ila tukifungwa ndio tuna expose anacho kosea ni nn, moja ya kosa ni hana kikosi cha kwanza, hivo ana kosa consistency na team spirit.
 
Haki spurs wakipindua meli OT (ikiwa itatokea) jambo ambalo ni 50% ku happen

Hili jukwaa litakuwa na MAPOVU balaa

Daaah.....maana

tusubiri na kuona....!! maana kuna Battle ya khatari sana hili jukwaa

ICE MAN hata hivyo unalichangamsha Jukwaa....Stand for what you believe

Misimamo haifanani....!!!

Ntuzu we ni Pro mourinho comment zako ukizitazama zina Bias ya mapenzi na mahaba binafsi ya Mou

ila Mou ndo alikufanya Uipende Chelsea 2004 naskia kabla ya Hapo ulikuwaga Liverpool

Poor You ukute umehama nae OT

am Outta Here
kashengo bana naona unacheka kweli tunayoyapitia ......ni kipindi tu!!!...... unauliza tena Ntuzu kuwa pro Mou Kwani hujui anafata nini huku Kwani Wewe mgeni na majukwaa Haya eeeeee mnataka mwenzenu akose haki yake kila siku hahahahaha just a joke jamani!!!! ...... Ntuzu ana mababa ya dhati na Mou .......

Hapa jukwaani kila mtu anaheshimika na ana haki sawa ya kuongea...... no mapovu at all kwa kila aneyeijua hali ya Timu kwasasa...... you know what kila jambo na wakati wake kuna nyakati unakaa kimya na kuangalia game laenda vipi,kuna nyakati utaprovoke sana,kuna nyakati utalia ,kuna nyakati za kucheka ,kuna nyakati za kudance,kuna nyakati za kupanda kwa machozi,kuna nyakati za kuvuna kwa shangwe .....ooooohhhh God ninachokuomba ufupishe tu machungu yetu yasifike kama ya Arsenal wala Liverpool..........Ameeen....... Najua unataka tufikie kwenu hatufiki ngo'...... cool brother!!
 
Aisee usichague tuvipoint tu dogo ktk post yangu kisha ukatusimamia huto huto huto.

Km unadai hizi injini mid zimejitahidi unaweza kuniambia ni nani wako ktk kiwango cha Paul Schols, Kean Na Carrick Na Daren wakati Wa SAF?

Unafanya mijadala kua mirefu kwa kusimamia vi hoja vidogo huku point kubwa ukiziacha hewani.

Ukijibu hilo swali langu hapo juu utaona middle yenu ndio shida ya back line yenu forward yenu.

Sasa na wewe unajichanganya
.hao hao LvG alicheza nao, ooh alijitahid

Hao hao Mou ana cheza nao wana feli, hawafai sjui wabovu, nambie kwenye ligi kuu saa hii nani ana ukuta uwezo wa Scholes!?

Ndio kiungo yetu si kama ya zamani lakini , si ya kupata matokeo sawa na westbrom, everton na watford. Yaan pamoja na ubovu wetu hatustahili kuwa sawa kipoint na hao jamaa. Hili ni kocha la organization la kocha tu. Na ni kocha huyu huyu ametoka chelsea mwaka jana kwa kushindwa ku organize timu ipate matokeo japo alikuwa na talent za kutosha.
Yaan sioni Mourinho ana tolewaje kwenye lawama hapo.
 
kashengo bana naona unacheka kweli tunayoyapitia ......ni kipindi tu!!!...... unauliza tena Ntuzu kuwa pro Mou Kwani hujui anafata nini huku Kwani Wewe mgeni na majukwaa Haya eeeeee mnataka mwenzenu akose haki yake kila siku hahahahaha just a joke jamani!!!! ...... Ntuzu ana mababa ya dhati na Mou .......

Hapa jukwaani kila mtu anaheshimika na ana haki sawa ya kuongea...... no mapovu at all kwa kila aneyeijua hali ya Timu kwasasa...... you know what kila jambo na wakati wake kuna nyakati unakaa kimya na kuangalia game laenda vipi,kuna nyakati utaprovoke sana,kuna nyakati utalia ,kuna nyakati za kucheka ,kuna nyakati za kudance,kuna nyakati za kupanda kwa machozi,kuna nyakati za kuvuna kwa shangwe .....ooooohhhh God ninachokuomba ufupishe tu machungu yetu yasifike kama ya Arsenal wala Liverpool..........Ameeen....... Najua unataka tufikie kwenu hatufiki ngo'...... cool brother!!

Wanataka nikose haki yangu........

Yani Mourinho ni baba yangu kweli angalia avatar yangu hapo juu inaongea....
 
Back
Top Bottom