marongota
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 321
- 269
Ni kwa sababu Mfumo alokuwa nao S AF hakuna kocha ambaye ataweza kuumud kwa kipind hk kifupY united inawapa shida sana hata makocha nguli???
Itachukua mda sana man u kuja kurud kwenye form
Kocha kukaa na tm zaid ya miaka 20 akija kuondoka ni lazm iwe tatizo kwa kwel