Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hapo kwenye RED ni uongo

same group of players waliopo sasa ukimrejesha SAF anatoboa

SAF alikuwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza timu za ushindi hata wachezaji wa viwango vya KAWAIDA

tunaofutailia mpira tuna recognize uwezo wa SAF

waweza argue kuwa 2008 na 2009 ndo Manure kwa miaka ya karibuni walikuwa na full of superstars na powerhouse

ila 2010-2013 vikosi vya SAF vilikuwa vya kuunga unga ila anapata matokeo

SIAMINI kabisa matatizo ya manure ni WACHEZAJI maana hawa hawa ni wachezaji wazuri tu kuna kitu lazima kitoke kwa MWALIMU na HAKIPO
Tehe tehe tehe najua antiMourinho wengi mtaongea mtakavyo lkn km kocha akipewa nafasi ya kuongea utaona namna atavyowashambulia hao wachezaji.
 
Chelsea wana ukuta Wa uwezo Wa Schols.

Kante Na Matic wamethibitisha hilo ndio maana Chelsea imecheza games 8 Na kufunga goli 22 Na kufungwa goli 2 tu. Na Sasa kipa wetu kazi Yake ni kulala tu.....
Ntunzu seriously kuna vitu vya kuongea kisport sio hiyo comparison
 
Kwanini mkuu?

Ndani ya Kante namuona Claudio Makelele. Ndani ya hawa watu wawili yani Kante Na Matic naona wanatengeneza ngome ngumu km ya Utd chini ya Scholes iliyokua ikilindwa Na kua salama muda wote.

Au ndani ya hii pair ya Kante Na Matic naona ni ile ngome ngumu ya Gunners iliyokua chini ya Gilibeto Silva
 
Ubishi hauji kwa tu bure bure lazima uwe Na sbbu za msingi.

Conte pia japokua ameshinda michezo kadhaa lkn timu Yake haiko imara vzr kuna makosaengi pia kwa Conte Na Chelsea. Unaweza kurejea game ya Chelsea na Spurs pale darajani spurs walikua bora kuliko sisi Ni uzembe wao tu vinginevyo walipaswa kukill game first half tu. Unaweza kusema ni uwezo binafsi au bahati tu tukawafunga lkn spurs they were better than us.

Tukija kwa city hapo Etihad ndio usiseme. Kuna mengi tunapaswa kuyafanyia kz Na kuinprove kila baada ya game. Hasa hizi big game maana huwezi kua bingwa bila kuwapiga washindani wako hawa top four.

Kaka hapo ndio kuna tatizo, kama unakumbuka Utd ya SAF wapinzani walikua wanasema kwamba tunabebwa au tuna bahati ila kumbuka wahenga wa kizungu wanasema "Fortune favours the brave". sijasema kama Chelsea haina makosa au hakuna timu isiyofanya makosa ila technique za Mou hazifanyi kazi pale Man Utd kama tactics za Conte zinavyofanya kazi pale Chelsea.
 
It's your time enjoy !!!! Saga sumu kweli kweli maana ikifika mytime sikuonei huruma kabisa!!

basi hujui tu mi nina mercy sana, kwanza shabiki wenzio wakipitia stress hamna raha unayopata

kimsingi nyie manure ndo mmesababisha fans wa timu zingine wawanange maana mmekuwa na maika ya glories mkawa mnawatania na kuwanyima raha......hehehe sasa kama ni PAYBACK TIME....ooh revenge ofcoz

ila wacha muone wenzenu walichokuwa wana experience na BADOOOO!!! (siko serious sana msi maind)
 
Tehe tehe tehe najua antiMourinho wengi mtaongea mtakavyo lkn km kocha akipewa nafasi ya kuongea utaona namna atavyowashambulia hao wachezaji.

Wewe unadhani na wachezaji wakipewa nafasi ya kuongea itakuaje ......halafu mou akizingua UTD inabidi aangalie ustarabu China,Marekani au Mid tables timu.
 
Ubishi hauji kwa tu bure bure lazima uwe Na sbbu za msingi.

Conte pia japokua ameshinda michezo kadhaa lkn timu Yake haiko imara vzr kuna makosaengi pia kwa Conte Na Chelsea. Unaweza kurejea game ya Chelsea na Spurs pale darajani spurs walikua bora kuliko sisi Ni uzembe wao tu vinginevyo walipaswa kukill game first half tu. Unaweza kusema ni uwezo binafsi au bahati tu tukawafunga lkn spurs they were better than us.

Tukija kwa city hapo Etihad ndio usiseme. Kuna mengi tunapaswa kuyafanyia kz Na kuinprove kila baada ya game. Hasa hizi big game maana huwezi kua bingwa bila kuwapiga washindani wako hawa top four.
Kuwa bingwa hauhitaji uwe perfect unahitaji uwe excellent tu katika kukusanya point, na ndio kazi mnayo ifanya
I wouldnt care kama tuna kaa nyuma tu ila tuna beba points na ndio bingwa anavo patikana.
Conte hiyo kazi ana ifanya, labda ashindwe baadaye
 
Kaka hapo ndio kuna tatizo, kama unakumbuka Utd ya SAF wapinzani walikua wanasema kwamba tunabebwa au tuna bahati ila kumbuka wahenga wa kizungu wanasema "Fortune favours the brave". sijasema kama Chelsea haina makosa au hakuna timu isiyofanya makosa ila technique za Mou hazifanyi kazi pale Man Utd kama tactics za Conte zinavyofanya kazi pale Chelsea.
Kuna mambo mengi Mourinho anapaswa kuyafanya ktk hiyo timu na kuanza kumpima sasaivi eti kashindwa hasa ukiangalia kua ana muda gani hapo itakua ni makosa sn. Timu iko na falsafa Yake Na itikadi zao Na Sera zao pia Na kocha pia ana mambo Yake pia. Yote haya yanahitaji muda kuyafanyia kz ili yaweze kuleta matunda ktk timu. Lkn kwa Mourinho na huu muda mdogo Na usajili alioufanya bado sn kushambuli.

Conte ni kocha pekee ktk EPL ambae tactics zake zinaonekana kuwork out lkn Klopp ana misimu miwili ktk LFC bado ana fail. Guardiola huko Etihad bado Na yeye ana fail.... Kwahiyo utaona ni Conte, Wenger Na Pochetinho Wa Spurs ndio wana nafuu kidogo. Hapa ndio nakuja ktk point yangu kua Mourinho na muda wake mdogo huu ana hangaika wengine pia wanahangaika.

Mourinho anapaswa kuijenga Utd kwa kununua wachezaji km alovyoijenga Chelsea.
 
Wewe unadhani na wachezaji wakipewa nafasi ya kuongea itakuaje ......halafu mou akizingua UTD inabidi aangalie ustarabu China,Marekani au Mid tables timu.
Yani huyo Mourinho mkimtimua Utd timu kibao zitamuhitaji....

CV Yake Na uwezo wake ni mkubwa sn.... Boss wake LvG alikua apigwe chini kabla ata ya ligi kuisha lkn jamaa hakupenda iwe hivyo...

Mourinho ni lulu inayong'aa ktk Giza Na wenye EPL wanajua hilo ndio maana hawataki a shine
 
Natoa lakini wewe huyataki

Tatizo kocha
Tatizo ni wachezaji.
Kuwa bingwa hauhitaji uwe perfect unahitaji uwe excellent tu katika kukusanya point, na ndio kazi mnayo ifanya
I wouldnt care kama tuna kaa nyuma tu ila tuna beba points na ndio bingwa anavo patikana.
Conte hiyo kazi ana ifanya, labda ashindwe baadaye
 
Kuna mambo mengi Mourinho anapaswa kuyafanya ktk hiyo timu na kuanza kumpima sasaivi eti kashindwa hasa ukiangalia kua ana muda gani hapo itakua ni makosa sn. Timu iko na falsafa Yake Na itikadi zao Na Sera zao pia Na kocha pia ana mambo Yake pia. Yote haya yanahitaji muda kuyafanyia kz ili yaweze kuleta matunda ktk timu. Lkn kwa Mourinho na huu muda mdogo Na usajili alioufanya bado sn kushambuli.

Conte ni kocha pekee ktk EPL ambae tactics zake zinaonekana kuwork out lkn Klopp ana misimu miwili ktk LFC bado ana fail. Guardiola huko Etihad bado Na yeye ana fail.... Kwahiyo utaona ni Conte, Wenger Na Pochetinho Wa Spurs ndio wana nafuu kidogo. Hapa ndio nakuja ktk point yangu kua Mourinho na muda wake mdogo huu ana hangaika wengine pia wanahangaika.

Mourinho anapaswa kuijenga Utd kwa kununua wachezaji km alovyoijenga Chelsea.

Hapo kwa Conte upo sahihi, ila kwa mtu kama Pep sidhani kama ana faili ila anaendelea kufanya kazi na timu na unaona timu yake sio mbovu hata matokeo sio mabaya sana. Ukiangalia Liverpool unaona kabisa timu inafanya vizuri sema hana wachezaji wengi ni below per ila kwa tactics wapo vizuri sana ila wachezaji wengi hawana experience. Ukienda kwa Arsenal pale mie hata sitaki kumjudge kwa sababu Arsene ni uwezo wake umeishia pale hakuna kipya atafanya kwa Arsenal hana mbinu tena za kuchukua ubingwa na huu utakuwa msimu wake wa mwisho, ila kutokana anamaliza top four na team inashiriki michuano mbalimbali anafaa kwa bodi ili kuingiza hela.....bodi ya arsenal inashindwa fanya maamuzi kwa kuhofia nani atamrithi.
Pochettino bado anajifunza na pia player wake wengi wabovu na amelalamika kwa bodi anahitaji player wa ukweli.
 
Kuna mambo mengi Mourinho anapaswa kuyafanya ktk hiyo timu na kuanza kumpima sasaivi eti kashindwa hasa ukiangalia kua ana muda gani hapo itakua ni makosa sn. Timu iko na falsafa Yake Na itikadi zao Na Sera zao pia Na kocha pia ana mambo Yake pia. Yote haya yanahitaji muda kuyafanyia kz ili yaweze kuleta matunda ktk timu. Lkn kwa Mourinho na huu muda mdogo Na usajili alioufanya bado sn kushambuli.

Conte ni kocha pekee ktk EPL ambae tactics zake zinaonekana kuwork out lkn Klopp ana misimu miwili ktk LFC bado ana fail. Guardiola huko Etihad bado Na yeye ana fail.... Kwahiyo utaona ni Conte, Wenger Na Pochetinho Wa Spurs ndio wana nafuu kidogo. Hapa ndio nakuja ktk point yangu kua Mourinho na muda wake mdogo huu ana hangaika wengine pia wanahangaika.

Mourinho anapaswa kuijenga Utd kwa kununua wachezaji km alovyoijenga Chelsea.

Suppose kashindwa hata kutoboa so called TOP FOUR unadhani hawa matajiri walivyo RUTHLESS watamwaga mapesa mengine ili atengeneze timu anayotaka?

kutengeneza timu ni issue COMPLEX wakati mwingine ukiwa na matajiri VIBURI na RUTHLESS na rahisi pia wakati mwingine kama matajiri ni patient

sema siku hizi ni hire and fire watu wamewekeza pesa nyingi sana kwenye mpira wana demand payback ya pesa na makombe.....get one of them or wanakuonyesha EXIT DOOR

imagine mou ni mtu wa kutimuliwa kama Mbwa na Abramovich? baada ya kubeba ndoo miezi 12 nyuma yake?

Issue ya kujenga timu pia kueleweka kwa FANS ni shida maana kujenga kunapitia MAUMIVU makali sturugle za hatari mpaka matunda yaive
 
Hapana mourinho ana wachezaj asilimia chini ya 50 ambao ana wapanga consistently, hata timu yake ya chelsea iliyo kuwa bingwa ilikuwa ina first eleven, mwaka jana leceister walikuwa wana julikana, mwaka huu chelsea kabla hata sja enda kwenye mechi napanga kikosi.
Sasa yeye mabadiliko anayo yafanya yana msaidia nn!!?, ndio maana tunao mpinga tuko pragmatic kuwa anafanya madiliko, matokeo yanakuwa mabaya , this means ana kosea mabadiliko yake.
Nakubaliana na wewe kuwa tukishinda sita lalamika kwa sababu atakuwa amechukua maamuzi sahihi. Ila tukifungwa ndio tuna expose anacho kosea ni nn, moja ya kosa ni hana kikosi cha kwanza, hivo ana kosa consistency na team spirit.

Sidhani kama unamfahamu Mourinho vizuri mfumo anaotumia na wachezaji anaowapenda

1.Huwa anapenda kuwa na one powerfull striker (Drogba,Etoo,Benzema,Costa -Zlatan) na anapenda CB wenye umbo kubwa (JT-Carvalho,Lucio-Samuel-Materazi,Pepe-Ramos-Carvalho,JT-Cahill-Zouma)

3.Siku zote fullback(Marcelo-Arbeloa,Maicon-Zanetti,Ivanovic-Azpi) na winger ambao wanakaba(Duff-Roben-Cole-,Zanetti-Muntari,Di Maria,Wilian-Hazard) ndio inakuwa silaha yake kwenye ushambuliaji.Mata na Martial wameweza ku-adapt kucheza anavyotaka

4.Jose alivyotua Chelsea mara ya pili tayari alirudi kwenye timu anayoijua na baadhi ya wachezaji anawajua/wanamjua so yeye kutengeneza first eleven ilikuwa rahisi.Chelsea aliwakuta Cech-Ivanovic-Cole-Cahill-Zouma-JT-Azpi-Ramirez-Lampard-Hazard-Oscar-Mikel-Ba akawasajili Cesc,Matic,Costa na hawa wote waliingia kikosi cha kwanza na walikuwa among key players Chelsea ilivyochukua ubingwa

Mourinho -Manchester United
Most players aliowakuta wengi hawafit kwenye mfumo wake ingawa sio wachezaji wabaya nafikiri umeona Depay,Bastian Darmian,Morgan,Rojo,baadhi wameweza ku-adapt mfumo wake (Valencia,Herrera,Mata na Martial kama umemuona last 3 games).Cha kwanza alisajili wachezaji ambao wanafit kwenye mfumo wake Ibra,Pogba,Mikhi na Bailly

Hakuna alisema Mourinho hakuna anachokosea ,Nini Mourinho anakosea-anapaswa kufanyia kazi haya

1.Ametengeneza mfumo unaomfanya Ibra tu ndio afunge magoli so akikabwa/asipocheza United wanastrugle kufunga magoli,timu inapaswa kutengeneza nafasi kwa wachezaji wengi mmoja akibanwa mwingine anafunga.Liverpool/Arsenal wanafaidika sana kwenye hilo,anaweza kujaribu kutumia 4-4-2 wacheze Ibra-Rashford au 4-3-3 Ambao itabidi winger wawe wanamsaidia Ibra hata game ya Everton second half Ibra alikuwa isolated peke yake mbele sometimes akawa anarudi katikati kutafuta mpira

2.Fullback ni silaha kubwa kwenye mfumo wake kwenye kushambulia last season Ivanovic alikuwa chini ya kiwango Chelsea ilipata tabu sana.United inamtegemea Valencia tu/upande wa kulia kwenye kushambulia so akibanwa nae timu inastrugle Timu inashindwa kabisa kushambulia upande wa kushoto Darmian ni liabilty kushambulia.Blind/Young ni option nzuri kwenye kushambulia kuliko Darmian

3.Moja ya kosa analofanya ni kumchezesha Rashford winga,akicheza pembeni anakuwa liability kwenye timu sababu muda mwingi anatakiwa arudi kumsaidia fullback na hiyo kazi hawezi.Mata/Martial/Mikhi,Lingard na Rooney hawa ndio awachezeshe pembeni
 
basi hujui tu mi nina mercy sana, kwanza shabiki wenzio wakipitia stress hamna raha unayopata

kimsingi nyie manure ndo mmesababisha fans wa timu zingine wawanange maana mmekuwa na maika ya glories mkawa mnawatania na kuwanyima raha......hehehe sasa kama ni PAYBACK TIME....ooh revenge ofcoz

ila wacha muone wenzenu walichokuwa wana experience na BADOOOO!!! (siko serious sana msi maind)
Hahahaha Haya kaka. ........ soka bila fitina halinogi!!!
 
Tatizo ni wachezaji.

we conclude hivi toka SAF aondoke lazima manure walikuwa wapitie TRANSITION

sie tuliwambia hapa baada ya kustaafu...!! kuvaa viatu vyake ni issue tena sio ya kitoto

kocha anabeba lawama matokeo yakikosa sio players MJOMBA...unless unaongea kwa bias

umeulizwa juu pale

WACHEZAJI WALIODAIWA KUMZINGUA MOU PALE CHELSEA MBONA WANAKIMBIZA KWA CONTE?

Mlifikia nyie chelsea kusema Hazard auzwe, coutouis auzwe, hakuna aliyetaka kumuona Matic

formula ganimewafanya msimu huu waperfome? husinambie wali msubotage Mou...unless unipe EVIDENCE sio theory
 
Sidhani kama unamfahamu Mourinho vizuri mfumo anaotumia na wachezaji anaowapenda

1.Huwa anapenda kuwa na one powerfull striker (Drogba,Etoo,Benzema,Costa -Zlatan) na anapenda CB wenye umbo kubwa (JT-Carvalho,Lucio-Samuel-Materazi,Pepe-Ramos-Carvalho,JT-Cahill-Zouma)

3.Siku zote fullback(Marcelo-Arbeloa,Maicon-Zanetti,Ivanovic-Azpi) na winger ambao wanakaba(Duff-Roben-Cole-,Zanetti-Muntari,Di Maria,Wilian-Hazard) ndio inakuwa silaha yake kwenye ushambuliaji.Mata na Martial wameweza ku-adapt kucheza anavyotaka

4.Jose alivyotua Chelsea mara ya pili tayari alirudi kwenye timu anayoijua na baadhi ya wachezaji anawajua/wanamjua so yeye kutengeneza first eleven ilikuwa rahisi.Chelsea aliwakuta Cech-Ivanovic-Cole-Cahill-Zouma-JT-Azpi-Ramirez-Lampard-Hazard-Oscar-Mikel-Ba akawasajili Cesc,Matic,Costa na hawa wote waliingia kikosi cha kwanza na walikuwa among key players Chelsea ilivyochukua ubingwa

Mourinho -Manchester United
Most players aliowakuta wengi hawafit kwenye mfumo wake ingawa sio wachezaji wabaya nafikiri umeona Depay,Bastian Darmian,Morgan,Rojo,baadhi wameweza ku-adapt mfumo wake (Valencia,Herrera,Mata na Martial kama umemuona last 3 games).Cha kwanza alisajili wachezaji ambao wanafit kwenye mfumo wake Ibra,Pogba,Mikhi na Bailly

Hakuna alisema Mourinho hakuna anachokosea ,Nini Mourinho anakosea-anapaswa kufanyia kazi haya

1.Ametengeneza mfumo unaomfanya Ibra tu ndio afunge magoli so akikabwa/asipocheza United wanastrugle kufunga magoli,timu inapaswa kutengeneza nafasi kwa wachezaji wengi mmoja akibanwa mwingine anafunga.Liverpool/Arsenal wanafaidika sana kwenye hilo,anaweza kujaribu kutumia 4-4-2 wacheze Ibra-Rashford au 4-3-3 Ambao itabidi winger wawe wanamsaidia Ibra hata game ya Everton second half Ibra alikuwa isolated peke yake mbele sometimes akawa anarudi katikati kutafuta mpira

2.Fullback ni silaha kubwa kwenye mfumo wake kwenye kushambulia last season Ivanovic alikuwa chini ya kiwango Chelsea ilipata tabu sana.United inamtegemea Valencia tu/upande wa kulia kwenye kushambulia so akibanwa nae timu inastrugle Timu inashindwa kabisa kushambulia upande wa kushoto Darmian ni liabilty kushambulia.Blind/Young ni option nzuri kwenye kushambulia kuliko Darmian

3.Moja ya kosa analofanya ni kumchezesha Rashford winga,akicheza pembeni anakuwa liability kwenye timu sababu muda mwingi anatakiwa arudi kumsaidia fullback na hiyo kazi hawezi.Mata/Martial/Mikhi,Lingard na Rooney hawa ndio awachezeshe pembeni

Umeelezea vizuri sana, tabu ya Mou ni hii kuchezesha watu out of position halafu wakizigua ananuna....
 
Back
Top Bottom