everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Looooohhhh!!!! Nilishakwambia kuja Arsenal bora niendeleee na simba yetu ya bongo yaaaani niruke mikojo nikanyage kinyesi kweliii!!!!!Na usiache kuja goonerz I suwea stress zitapungua
Looooohhhh!!!! Nilishakwambia kuja Arsenal bora niendeleee na simba yetu ya bongo yaaaani niruke mikojo nikanyage kinyesi kweliii!!!!!Na usiache kuja goonerz I suwea stress zitapungua
Kwanini usijibu maswali unayoulizwa badala ya kutoa maelezo huku maswali ukiyatulilia mbali?Sasa na wewe unajichanganya
.hao hao LvG alicheza nao, ooh alijitahid
Hao hao Mou ana cheza nao wana feli, hawafai sjui wabovu, nambie kwenye ligi kuu saa hii nani ana ukuta uwezo wa Scholes!?
Ndio kiungo yetu si kama ya zamani lakini , si ya kupata matokeo sawa na westbrom, everton na watford. Yaan pamoja na ubovu wetu hatustahili kuwa sawa kipoint na hao jamaa. Hili ni kocha la organization la kocha tu. Na ni kocha huyu huyu ametoka chelsea mwaka jana kwa kushindwa ku organize timu ipate matokeo japo alikuwa na talent za kutosha.
Yaan sioni Mourinho ana tolewaje kwenye lawama hapo.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wanataka nikose haki yangu........![]()
![]()
![]()
![]()
Yani Mourinho ni baba yangu kweli angalia avatar yangu hapo juu inaongea....
aiseee !!!! Kweli una mapenzi ya dhati nilifikiri alivyotoka kwenu ungekacha kumbe ndo umezidisha ongea na best Mou wa Juve akuachie Hili jina....... ila mbona Mimi hunipendi hivyooo

Sasa na wewe unajichanganya
.hao hao LvG alicheza nao, ooh alijitahid
Hao hao Mou ana cheza nao wana feli, hawafai sjui wabovu, nambie kwenye ligi kuu saa hii nani ana ukuta uwezo wa Scholes!?
Ndio kiungo yetu si kama ya zamani lakini , si ya kupata matokeo sawa na westbrom, everton na watford. Yaan pamoja na ubovu wetu hatustahili kuwa sawa kipoint na hao jamaa. Hili ni kocha la organization la kocha tu. Na ni kocha huyu huyu ametoka chelsea mwaka jana kwa kushindwa ku organize timu ipate matokeo japo alikuwa na talent za kutosha.
Yaan sioni Mourinho ana tolewaje kwenye lawama hapo.
Simba saf ila hilo la kinyesi ilo hapana nisamehe kwetu pazuri sio kama hukuLooooohhhh!!!! Nilishakwambia kuja Arsenal bora niendeleee na simba yetu ya bongo yaaaani niruke mikojo nikanyage kinyesi kweliii!!!!!
Maswali yako majibu unayajuaKwanini usijibu maswali unayoulizwa badala ya kutoa maelezo huku maswali ukiyatulilia mbali?
Maana wewe huyo huyo unadai kua mid za Utd zimefanya vzr na kujitahidi sn.... Na Mimi nakuuliza hapo hapo ni wachezaji gani ktk hizo mid wana viwango vya hao wachezaji niliokutajia?
Jibu maswali bhana ili kufanya mjadala wenye afya.
Matatizo ya Mou akiwa Chelsea ni mengi mno Na nimeshaeleza sn na kuna mdau mmoja kasema wazi kua Mou ana kitu ambacho watu Wa EPL hawataki akipate
Jibu maswali bhana
Chelsea wana ukuta Wa uwezo Wa Schols.Sasa na wewe unajichanganya
.hao hao LvG alicheza nao, ooh alijitahid
Hao hao Mou ana cheza nao wana feli, hawafai sjui wabovu, nambie kwenye ligi kuu saa hii nani ana ukuta uwezo wa Scholes!?
Ndio kiungo yetu si kama ya zamani lakini , si ya kupata matokeo sawa na westbrom, everton na watford. Yaan pamoja na ubovu wetu hatustahili kuwa sawa kipoint na hao jamaa. Hili ni kocha la organization la kocha tu. Na ni kocha huyu huyu ametoka chelsea mwaka jana kwa kushindwa ku organize timu ipate matokeo japo alikuwa na talent za kutosha.
Yaan sioni Mourinho ana tolewaje kwenye lawama hapo.
Hahahaha kwenu pazuri eeeehhhh hayaSimba saf ila hilo la kinyesi ilo hapana nisamehe kwetu pazuri sio kama huku
hivi kwanini unataka tumtimue kocha wetu wakati wako umemvumilia miaka yote na still believing atafanya vizuri?kashengo bana naona unacheka kweli tunayoyapitia ......ni kipindi tu!!!...... unauliza tena Ntuzu kuwa pro Mou Kwani hujui anafata nini huku Kwani Wewe mgeni na majukwaa Haya eeeeee mnataka mwenzenu akose haki yake kila siku hahahahaha just a joke jamani!!!!![]()
![]()
...... Ntuzu ana mababa ya dhati na Mou .......
Hapa jukwaani kila mtu anaheshimika na ana haki sawa ya kuongea...... no mapovu at all kwa kila aneyeijua hali ya Timu kwasasa...... you know what kila jambo na wakati wake kuna nyakati unakaa kimya na kuangalia game laenda vipi,kuna nyakati utaprovoke sana,kuna nyakati utalia ,kuna nyakati za kucheka ,kuna nyakati za kudance,kuna nyakati za kupanda kwa machozi,kuna nyakati za kuvuna kwa shangwe .....ooooohhhh God ninachokuomba ufupishe tu machungu yetu yasifike kama ya Arsenal wala Liverpool..........Ameeen....... Najua unataka tufikie kwenu hatufiki ngo'......![]()
![]()
cool brother!!
Najua unaipenda Arsenal, kule hakuna hofukashengo bana naona unacheka kweli tunayoyapitia ......ni kipindi tu!!!...... unauliza tena Ntuzu kuwa pro Mou Kwani hujui anafata nini huku Kwani Wewe mgeni na majukwaa Haya eeeeee mnataka mwenzenu akose haki yake kila siku hahahahaha just a joke jamani!!!!![]()
![]()
...... Ntuzu ana mababa ya dhati na Mou .......
Hapa jukwaani kila mtu anaheshimika na ana haki sawa ya kuongea...... no mapovu at all kwa kila aneyeijua hali ya Timu kwasasa...... you know what kila jambo na wakati wake kuna nyakati unakaa kimya na kuangalia game laenda vipi,kuna nyakati utaprovoke sana,kuna nyakati utalia ,kuna nyakati za kucheka ,kuna nyakati za kudance,kuna nyakati za kupanda kwa machozi,kuna nyakati za kuvuna kwa shangwe .....ooooohhhh God ninachokuomba ufupishe tu machungu yetu yasifike kama ya Arsenal wala Liverpool..........Ameeen....... Najua unataka tufikie kwenu hatufiki ngo'......![]()
![]()
cool brother!!
na Mungu fundi kweli

Aisee usichague tuvipoint tu dogo ktk post yangu kisha ukatusimamia huto huto huto.
Km unadai hizi injini mid zimejitahidi unaweza kuniambia ni nani wako ktk kiwango cha Paul Schols, Kean Na Carrick Na Daren wakati Wa SAF?
Unafanya mijadala kua mirefu kwa kusimamia vi hoja vidogo huku point kubwa ukiziacha hewani.
Ukijibu hilo swali langu hapo juu utaona middle yenu ndio shida ya back line yenu forward yenu.
Ubishi hauji kwa tu bure bure lazima uwe Na sbbu za msingi.Mkuu, naona umeongea mengi yenye tija, tukubali au tukatae lawama nyingi ni za kocha.....timu aliyoiacha mou pale Chelsea na hii ya Conte ina tofauti gani. Tatizo la Mou na LVG wote ni wabishi " it's his way or no way attitude" timu kama Man Utd sio ya kukaa kumpa muda kocha huwezi pisha mbona Conte alionekana wild card na ana perform vizuri wapo makocha wengi tu wanataka kufundisha Man Utd.
Mou ana muda wa kubadilika na kupata matokeo ila inabidi akubali kuwapa game wachezaji kutokana na michuano na opponents kama alivyokuwa anafanya SAF au makocha wengi, kila siku watu tunasema Fellain sio mchezaji wa kucheza Man utd ila tunazidi kuona. Wacha watu wacheze position zao then hawaperform piga benchi.
Kisingizio cha muda kimepitwa na wakati......Kocha ana omba muda kufundisha Sunderland and Co ila Man Utd tuna resources za kutosha .
Chelsea wana ukuta Wa uwezo Wa Schols.
Kante Na Matic wamethibitisha hilo ndio maana Chelsea imecheza games 8 Na kufunga goli 22 Na kufungwa goli 2 tu. Na Sasa kipa wetu kazi Yake ni kulala tu.....
![]()
![]()
![]()
aiseee !!!! Kweli una mapenzi ya dhati nilifikiri alivyotoka kwenu ungekacha kumbe ndo umezidisha ongea na best Mou wa Juve akuachie Hili jina....... ila mbona Mimi hunipendi hivyooo
![]()
![]()
![]()
![]()

Tehe teheMaswali yako majibu unayajua
Yaani wewe unauliza Scholes, kulikuwa na Scholes mmoja tuu.
Nakujibu ila hufuatiliii majibu yangi, nakwambia ubovu tulionao kwenye midefield
Kwanza siyo tatizo linalo isumbua man u
Pili, siyo sababu ya kutufanya tushindanie u 6 na west brom. Hata kama tuko wabovu kiaje.
Sasa ukiongelea vitu nje ya footbal mi nazichukulia kama fununu tuu. Ila nnacho jua alifeli ku organize timu yake, kama anavo feli now.
wape moyo sio vibaya kuwafariji kipindi hiki kigumu
akufaaye kwenye DHIKI..............!!!!

Nilichogundua ni kwamba kumbe hapa hatuongelei uhalisia wa hali ilivyo.
Point yangu kubwa kwa Chelsea kufanya vzr ni sbbu km zifuatazo.
LFC na Gunners hawa wote waliifunga Chelsea na wakachukua points zote 3 kwa tatu kwanini Leo hii Chelsea yuko juu yao kwa kuwazidi alama 3 kwa 4? Ukishapata jibu utaelewa kile ninachoongelea.
Chelsea tangu kafungwa hovyo Na Gunners Na LFC walikataa kupoteza michezo hovyo tena unaweza kuona ni michezo mingapi iliyofata wameshinda yote?
Na kwanini timu km LFC na city ktk michezo hiyo zimefanya vibaya? Angalau kidogo Gunners wako serious wakiifuata Chelsea. Ukipata jibu ktk hili ndio utaelewa kua timu zote zina struggle km Utd.
Isingekua rahisi Mourinho kuifumua timu yote kwa ujumla Na kuanza Na wachezaji wapya. Lkn bado naamini LvG angeweza kufanya vzr kwasababu huyu aliifumua timu yote Na kuanza kuweka mfumo autakao hapo OT lkn kwasababu ya uongozi Wa Utd kuona Jose yuko huru wanapenda kufanya nae kz. Lkn tayari wachezaji Na timu chini ya LvG ilikuta imeanza kuimarika.
Naweza kukubaliana Na wewe kua tatizo ni ufungaji lkn km injini ya timu iko hoi Basi ufungaji utakua butu Na uzuiaji utakua butu pia.
Kwa kifupi matatizo ya Utd wachezaji hawajitumi Na viwango vyao haviongozeki au kukua mpk kufikia squad ya SAF. Hakuna. Hii Utd kila nikiitazama sioni kabisa ule uwezo Wa wachezaji km waliokua nao enzi za SAF.
Tuongee kwa uhalisia mkuu Na si kukosoa tu kwasababu labda hatumpendi kocha.
Utd matatizo yao ni wachezaji kwanza then kocha badae.
It's your time enjoy !!!! Saga sumu kweli kweli maana ikifika mytime sikuonei huruma kabisa!!kwenye RED hapo Povu lazima mtoe hehehehehe
hamna namna....!!!! kipindi hiki mmekuwa wadogoooo

Matic Na Kante ni viungo wenye uwezo mkubwa km kina Claudio makelele Na Scholes. Km hukubari huo ni mtazamo wako.Kipa wenu anafanya kazi sana, uzuri ni kuwa mechi zenu huwa sikosi ili usinidanganye, huyo Matic hamfikii Scholes kwa lolote, timu yenu kocha ana teknik, halafu wachezaj wana morali. Ndio mna kiungo bora kuliko man utd.
Ila man utd haina kiungo kobovu kias kwamba tufeli hivi