Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ni kweli lkn nyie hampigwi nyie sare ndio zinawaghalimu.

Na ukiingalia Utd jinsi ilivyo kwa sasa baba Mou january anatakiwa aingie sokoni kununua Ata wachezaji watatu hivi ktk nafasi tatu hivi. Back line, middle na ushambuliaji.
Ntunzu hali ya timu inayotafuta matokeo inaonekana mapema game ya kwanza liver alitupiga 4 lakini game iliisha 4-3 man walituongoza 1 but dakika ya 89 ilikua 1-1

Nikizungumzia liver hawako nyuma toka kwa viongozi man city pia

Chelsea waliongozwa goli na man city ila uliisha 3-1

Kuna hali ya kutaka matokeo ambayo sijaona hiyo kitu kwa mourinho yeye poa tu yote sawa

Sasa kwa hli hiyo ni sawa we unafikiri nani atakubali kwenda man u kuarbu cV?
 
Hapo ndio tunapo pishana na wewe, kila kinacho endelea now, kocha lazima aingie kwenye lawama, anaweza asiwe kocha pekee
Ila namba 1, ni yeye.

Mnamkubali wap, mmefukuza mara 2 , mbona hamkukaa naye mwaka jana!!. Au mnamkubali kwa anacho fanya now
Hebu nikuombe unitajie ni kwa namna gani kocha anaingia ktk lawama? Hebu nitajie sbbu kadhaa Wa kadhaa.

Kufukuzwa Chelsea kuna sbbu nyingi sn lkn si kwamba alifukuzwa kwamba hawezi Bali alitolewa angalau kuinusuru timu ktk hali zote maana ilikua wazi tatizo la Chelsea kuharibu ni ule uwepo wake na si kwamba alikua kocha mbovu. Sijui unanielewa?

Karibu Iceman 3D
 
According to statistics tatizo kubwa la United msimu huu ni kushindwa kufunga magoli compared na nafasi wanazotengeneza but kwenye maeneo mengine timu imeimprove ukilinganisha enzi za Moyes na LVG
Belo timu yenu iko vzr na kocha mnae sahihi dirisha dogo najua ataingia sokoni kutafuta wachezaji anaowahitaji kwa kz maalumu ambao kwa sasa hana. Kwa mfano ktk sehemu inayomsumbua sn Mou nu Ma DM hapo kwa Utd ukimtoa Carrick na uzee wake wengine bado hawajafika ktk kiwango akitakacho Mou. Hilo ndio tatizo LA Utd. Alafu unakuja huko kwenye kutupia ndio kuko poor.
 
1.Ukiondoa Conte unaweza ukaleta statistics za hao makocha walichofanya baada ya miezi 3 ukilinganisha na makocha waliowa-replace ?

2.Again ukiondoa Conte je kuna kocha aliikuta timu kwenye hali mbaya kama Jose alivyoikuta United ?

3.Yes Mourinho aliiacha Chelsea kwenye hali mbaya but kumbuka
second spell Mourinho kafundisha misimu 2 na nusu
Msimu wa 1-Alishika no 3
Msimu wa 2-Bingwa EPL &Carling
Msimu wa 3-Alifukuzwa katikati ya msimu,hiyo misimu 2 ya mwanzo hutaki kabisa kuizungumzia

1.Sasa mkuu data za hao si u google tuu, hata wikipedia utaziona mi nimesema walifanya vyema kama hawakufanya vema wewe ndio kazi yako kuleta data ili uni prove wrong.
2. Tuchel aliikuta timu kwejye hali mbaya kuliko Mou, Zidane alikuta morali iko chini sanaa, ancelotti pia alikuta kuna hali mbaya ki morali. hilo tusiende mbali LVG ali ikuta timu ina hali mbayaaaa, ila alijitutumua.
Hivi mourinho amekuta timu ina hali mbaya kias gani mpaka ana ishusha kutoka alipo ikuta!?

3. Kumbuka tume mpokea Mou aliye acha timu ina karibia kushuka daraja, my concern is that, ubingwa alio chukua sina shida nao kabisa na nakubali kuwa alibeba. Ila namna aliyo ishia chelsea ndio namna hiyo hiyo alo anzia utd

Nawish Mou angefanya vzuri, lakini sioni kama ana fanya vizuri, sioni kabisa kama ata fanya vizuri hapo baadaye (japo inawezekana akabadilika).
 
Belo timu yenu iko vzr na kocha mnae sahihi dirisha dogo najua ataingia sokoni kutafuta wachezaji anaowahitaji kwa kz maalumu ambao kwa sasa hana. Kwa mfano ktk sehemu inayomsumbua sn Mou nu Ma DM hapo kwa Utd ukimtoa Carrick na uzee wake wengine bado hawajafika ktk kiwango akitakacho Mou. Hilo ndio tatizo LA Utd. Alafu unakuja huko kwenye kutupia ndio kuko poor.
Jamaa unajua kupulizia hahaha
 
Tuchel kapewa timu msimu uliopita, unajua saiz ni wangapi?
Alimaliza wa pili mwaka jana, hata ndio kashuka but hafanyi vibaya kama Mou.
Na ukizingatia ni kocha wa Calibre ya kawaida kabisa, he is good.
 
Ntunzu hali ya timu inayotafuta matokeo inaonekana mapema game ya kwanza liver alitupiga 4 lakini game iliisha 4-3 man walituongoza 1 but dakika ya 89 ilikua 1-1

Nikizungumzia liver hawako nyuma toka kwa viongozi man city pia

Chelsea waliongozwa goli na man city ila uliisha 3-1

Kuna hali ya kutaka matokeo ambayo sijaona hiyo kitu kwa mourinho yeye poa tu yote sawa

Sasa kwa hli hiyo ni sawa we unafikiri nani atakubali kwenda man u kuarbu cV?
Sio sahihi mkuu. Utd inapambana sn... Tena Mourinho na wachezaji wake hawataki kabisa kupoteza au kupata matokeo mabaya. Unaweza kuzisoma Ata nyuso zao. Sometimes jaribuni kua Ata wataalam Wa body examine.... All Utd team and technical bench they are not happy with the results which they have been going through.
 
Huyu anachuki binafsi na mou, huwezi kufananisha timu aliyoachiwa mou na madrid aliyoachiwa Zidane, au bayern aliyoachiwa ancellot,

Anasema tuchel anafanya vzr bvb, hapa napo napata tatzo kidgo kwamba huyu mkuu huwa anafuatilia kweli kinachoendelea au anaendeshwa na chuki binafsi

Basi na wewe huwezi kufananisha ubovu alio achiwa van gaal na ubovu alo achiwa mourinho.

Niliulizwa kocha gani alofanya vizuri ndani ya miez mitatu, sasa ndio nikajibu hao, na sijadanganya.

Zidane aliachiwa timu ya tatu, mou kaachiwa timu ya tano.
Zidane kasogea 1,
Mou karudi 6.

Sasa sijajua namuoneaje Mou
 
Km ana chuki na Baba Mou tutajua tu. Maana anadai kuleta mawazo mapya na Mimi nakubali kupokea mawazo hayo mapya tena kwa nguvu zoooote. Sasa km atapenda anijibu maswali yangu ambayo nimepanga kumuuliza nikimuongeza na Hili jingine.

Gunners na LFC wote wawili walichukua points tatu kwa tatu kwa Chelsea. Na baada Swansea City ikatoka sare na Chelsea. Yaani Chelsea ikapoteza points 8.

Lkn kwanini Leo hii Chelsea iko juu ya LFC kwa tofauti ya points 4 na Gunners kwa tofauti ya points 3? Maana km Chelsea ilipoteza hizo points maana Yake ilipaswa iwe chini ya hawa? Sasa nini kimetokea mpk kimekua kinyume?

Karibu mchambuzi Iceman 3D

Sijaelewa swali kaka
 
Sio sahihi mkuu. Utd inapambana sn... Tena Mourinho na wachezaji wake hawataki kabisa kupoteza au kupata matokeo mabaya. Unaweza kuzisoma Ata nyuso zao. Sometimes jaribuni kua Ata wataalam Wa body examine.... All Utd team and technical bench they are not happy with the results which they have been going through.
Sawa Ntunzu wewe unamuelewa mourinho lakini sio kwa ligi ile emb apewe vilago atafute pakutulia pale England pamesha mshinda
 
Jamaa unajua kupulizia hahaha
Sio kujua kupuriza Utd hawana ma DM hiyo ndio shida kubwa. Viungo wote wameshindwa kuleta ufanisi anaoutaka Mourinho ndio maana back line inaonekana legelege na huko mbele kunasuasua.
 
Basi na wewe huwezi kufananisha ubovu alio achiwa van gaal na ubovu alo achiwa mourinho.

Niliulizwa kocha gani alofanya vizuri ndani ya miez mitatu, sasa ndio nikajibu hao, na sijadanganya.

Zidane aliachiwa timu ya tatu, mou kaachiwa timu ya tano.
Zidane kasogea 1,
Mou karudi 6.

Sasa sijajua namuoneaje Mou

Tatizo kubwa Mourinho unamfanyia assessment baada ya mechi 14 hao wengine unawafanyia assement baada ya msimu mmoja.Nimekuomba ulete statistics za hao makocha walichofanya ndani ya miezi 3 unaniambia ni-google
 
Vzr sn na asante sn kwa majibu yako.

Ktk hiyo sbbu yako ya pili. Je huoni hiyo hali na msimu huu bado inazikumba timu zote maana ukiitoa Chelsea ambayo imeshinda michezo 8 hivi zilizobaki zooote zina struggle tena kwa nguvu na wakati mwingine waweza sema ni heri ya Utd kwasababu yeye hapotezi michezo Bali ni sare tu ndio zina muandama mpk amekua anasuasua.

Karibu Iceman 3D
Khaaa!!
Alo kwambia nani kuwa zina strugle!?
Chelsea ana 34
Arsenal 31
Liva 30
Man city 30.

Sasa hilo gap mbona la kawaida na la ligi kabisa.

Man utd.... 21- hiii sasa ndio ina struggle

Kutoa sare siyo kugain point moja ni kupoteza point mbili, na man utd hawawez wakajiteta et kwa kuwa wana toka sare.
 
Alimaliza wa pili mwaka jana, hata ndio kashuka but hafanyi vibaya kama Mou.
Na ukizingatia ni kocha wa Calibre ya kawaida kabisa, he is good.

Mbona hawa makocha wengine wakishuka unasema ni sawa but Mourinho sio sawa ?
 
1.Sasa mkuu data za hao si u google tuu, hata wikipedia utaziona mi nimesema walifanya vyema kama hawakufanya vema wewe ndio kazi yako kuleta data ili uni prove wrong.
2. Tuchel aliikuta timu kwejye hali mbaya kuliko Mou, Zidane alikuta morali iko chini sanaa, ancelotti pia alikuta kuna hali mbaya ki morali. hilo tusiende mbali LVG ali ikuta timu ina hali mbayaaaa, ila alijitutumua.
Hivi mourinho amekuta timu ina hali mbaya kias gani mpaka ana ishusha kutoka alipo ikuta!?

3. Kumbuka tume mpokea Mou aliye acha timu ina karibia kushuka daraja, my concern is that, ubingwa alio chukua sina shida nao kabisa na nakubali kuwa alibeba. Ila namna aliyo ishia chelsea ndio namna hiyo hiyo alo anzia utd

Nawish Mou angefanya vzuri, lakini sioni kama ana fanya vizuri, sioni kabisa kama ata fanya vizuri hapo baadaye (japo inawezekana akabadilika).
Matatizo yaliyokua kwa Chelsea yalikua sio kocha Bali ni wachezaji na mtandao Wa hujuma Wa waingereza dhidi ya Mourinho maana mpira hauna ushindani uwanjani tu Ata huko nje kuna ushindani na interest za watu kibao tu. Ukilijua hilo halitokusumbua. Hii hali ilimkumba sn Mourinho akiwa Chelsea lkn kwa sasa akiwa Utd imeanza kupoa kidogo.
 
Sio sahihi mkuu. Utd inapambana sn... Tena Mourinho na wachezaji wake hawataki kabisa kupoteza au kupata matokeo mabaya. Unaweza kuzisoma Ata nyuso zao. Sometimes jaribuni kua Ata wataalam Wa body examine.... All Utd team and technical bench they are not happy with the results which they have been going through.
Khaaa!!!
Nimeangalia mechi za Swansea city na Hull city huwa wanafungwa na wana sikitika kweli, kigezo cha wachezaji kusikitika hakiwezo kutuambia kuwa hii timu iko vizuro kaka.
 
Back
Top Bottom