Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hata city na Arsenal na Liva wana viashiria hivo, ofcoz liva kidogo ana mapungufu ya viashiria. Chelsea wako vizuri ila tuta watenga at least wakiongoza kwa point 5.

Man utd naombea iwe top 4,, japo najua kwa inavo cheza hivi haiwezi kuwa top 4 na matokeo ni shahidi wa nnacho kiongea.
Arsenal kidogo ndio wana viashiria hivyo lkn sio LFC au city hao wako hovyo kabisa.

Ata kwa point moja tutawatenga Chelsea iweje kwa Chelsea useme mpk points 5 ndio tuwatenge wakati huo huo kwa Utd points 9 to be wrapped unaona kua ni nyingi?

Mbona unapingana mwenyewe au unacheza na maneno yako mwenyewe?
 
Mkuu mi nimeishia hapa, hii battle haina mshindi, kila mtu ana maoni yake na msimamo wake, to me jose is the right one for us na atatupeleka tulipozoea,

Acha hii battle waendeleze wengine
To me he isnt, lakin naombea afanikiwe kwani akifanikiwa yeye ndio na sie tuna furahi.
Japo si mtu sahihi, akishinda ntafurahi tuu.
Mi naheshim bwana Herrera huwa tuna pishana mawazo bila mikwaruzano, and that is the spirit inayo takiwa tuwe nayo. Naamini wewe unapenda man utd ifanikiwe kama mimi, ila tatizo ni kwa namna gani ndio tuna pishana.

We are all utd fans.
 
Tunajadili mimi na wewe, hii tabia yenu ya kuwaita kina Nzi, mmejizoesha vibaya, hao ni watu kama sisi tu wanauwezo wa kuwa wrong. Tena kwa sasa wako dead wrong hata siwasikilizi.Duuh!!

Twende wewe kama si kweli kwa nini ni uwongo hapo!?
Aisee Mimi nimewaita kutaka maoni yao mbadala kutokana na haya madai yako na wala si kosa kufanya hivyo.

Sasa km wewe unaona kua hilo ni tatizo utakua na shida.
 
To me he isnt, lakin naombea afanikiwe kwani akifanikiwa yeye ndio na sie tuna furahi.
Japo si mtu sahihi, akishinda ntafurahi tuu.
Mi naheshim bwana Herrera huwa tuna pishana mawazo bila mikwaruzano, and that is the spirit inayo takiwa tuwe nayo. Naamini wewe unapenda man utd ifanikiwe kama mimi, ila tatizo ni kwa namna gani ndio tuna pishana.

We are all utd fans.
Poa mkuu tukutane mwisho wa msimu kufanya evaluation ya nini kakifanya mou compared na watangulizi wake..
[HASHTAG]#cheers[/HASHTAG]
 
Alafu mkuu nimeona una mu-attack sana Nzi toka mwanzo kwamba anajiona ndio yeye, mkuu hili jukwaa tuna heshimu michango ya kila mmoja wetu pia huwa tunatambua uwepo wa wakongwe/malegend wa hili jukwaa. Nzi, Belo, RRONDO, dada everlenk, Mfarisayo ni baadhi ya wakongwe wa hili jukwaa tunatambua uwepo wao na tunaheshimu michango yao pia, pale ambapo hukubaliani na hoja yake unapinga kwa hoja mwisho wa siku kila mtu atabaki na msimamo wake na kile anachokiamini, sidhani kama kuna mtu alishatangaza kuwa yeye ni kiranja au kiongozi wa hili jukwaa, ila ni ile kuutambua uwepo wa wakongwe wetu ila hii haizuii kupingana na hoja zao kama unahoja tofauti.

Embu tuwekeni personal issue pembeni n tujadili mpira
Kwanza Yeye tulisha malizana na tuka kubaliana kila mtu afanye yake hapa jukwaani.
Pili, alianza kunishambulia tena toka natoa comment za mwanzo, aka anza kuingiza personality yangu hasa akidai nna miaka mingapi!!, yeah alitangulia kufika i cant take away that fact, lakini alinichokoza. So na mimi sikuona haja ya kuendelea kumheshim, niwe mkweli. Pia kufika jf si kujua yote naweza kuwa nimechelwa ila nikawa muelewa zaid ya mlokuwa wakongwe.
Ntamkubali kama shabiki wa man utd lakini akizingua nta mzingua vile vile.
Toa heshima upewe heshima. Mbona simple tu.
*Nawakubali woote hapa jukwaani.
 
Arsenal kidogo ndio wana viashiria hivyo lkn sio LFC au city hao wako hovyo kabisa.

Ata kwa point moja tutawatenga Chelsea iweje kwa Chelsea useme mpk points 5 ndio tuwatenge wakati huo huo kwa Utd points 9 to be wrapped unaona kua ni nyingi?

Mbona unapingana mwenyewe au unacheza na maneno yako mwenyewe?

Point 5, na 9 ni namba tofaut hizo kaka. Tungukumbuje kuwa nimezitumia point 5 kama kigezo cha kumtenganisha mtu mwenye material tofaut na mwenzie, lakini nimetumia point 9 kuonesha united ia finished, kitu ambacho bado nacheza mule mule, ninge sema chelsea ana hitaji point 11,hapo ndio sasa ningekuwa double standard

Kwa hiyo niko sahihi.
 
Aisee Mimi nimewaita kutaka maoni yao mbadala kutokana na haya madai yako na wala si kosa kufanya hivyo.

Sasa km wewe unaona kua hilo ni tatizo utakua na shida.
Shida yangu ni kuwa wewe si mtu wa kwanza hapa tuna jadili halafu ana waita hao, huwa napenda kujadili na muhusika.
Lakin its okey nimekuelewa, ni utamaduni mlio nao hapa
 
Point 5, na 9 ni namba tofaut hizo kaka. Tungukumbuje kuwa nimezitumia point 5 kama kigezo cha kumtenganisha mtu mwenye material tofaut na mwenzie, lakini nimetumia point 9 kuonesha united ia finished, kitu ambacho bado nacheza mule mule, ninge sema chelsea ana hitaji point 11,hapo ndio sasa ningekuwa double standard

Kwa hiyo niko sahihi.
Hauko sahihi mkuu Ata kidogo.
 
Shida yangu ni kuwa wewe si mtu wa kwanza hapa tuna jadili halafu ana waita hao, huwa napenda kujadili na muhusika.
Lakin its okey nimekuelewa, ni utamaduni mlio nao hapa
Kuwaita watu ni jambo LA kawaida ktk mjadala na kupata mawazo mbali mbali na wala haina maana kua labda hao ni watu maalumu sn kwasababu tuko hapa kutoa maoni mbali mbali na pia kuna watu ambao hawakatiki ktk baadhi ya majukwaa yao hivyo ni rahisi kuwaita na kupata yao.
 
Anhaa
Sawa nimesha kuelewa, nime waelewa maisha yenu hapa yakoje pia.
 
Hapo sasa utakuwa una nibishia tu, mi nimekupa na vigezo vya ki historia, yes u can beat history lakin ni kazi sanaaa.
History na records zinavunjwa

Majuzi tu Chelsea kavunja record ya city msimu huu ya kutokufungwa Etihad sasa huoni km unacheza na maneno yako tu?

Bado naamini Utd chini ya Mou inaweza kufanya vzr tu na kuwashangaza wengi maana Ata timu zingine ukiiondoa Chelsea nazo zinavurunda.

Rejea swali langu LA kwanza kua ni sbbu IPI ilipelekea Leicester kuchukua ubingwa last season na ukajibu sahihi kabisa kua timu gomania ubingwa hazikufanya vzr ndio ikapelekea Leicester kua bingwa. Ata Leo Utd chini ya Mourinho unaiona mbovu na kocha hafai lkn LFC na city na wao wako hovyo ndio maana huoni gape ya points kuongezeka Zaidi.
 
Nimefurahi umeziongelea hizo timu, ndio modern football inaendeshwa kama ziendeshwavyo hizo timu, ila timu kama real madrid naipenda pia.

Ofcoz kama unahisi nakupigia kelele ziba masikio, au ukiona msg zangu kausha, otherwise utakuwa ni ujinga kujifanya unaninyamazisha.
Wewe ni glory hunter.
 
Welcome to DRAW FC.
Man Utd 1-1 Stoke.
Liverpool 0-0 Man Utd.
Man Utd 0-0 Burnley.
Man Utd 1-1 Arsenal.
Man Utd 1-1 West Ham.
Everton 1-1 Man Utd.
The way Man Utd are DRAWING are DRAWING better than HB PENCIL 
 
Guys kinachoendelea kwenye page za manchester social network ni balaa. Mana big fella anashambuliwa vibaya mno.
 
Back
Top Bottom