Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hasira zako hazitabadilisha matokeo uwanja mtaendelea kustrugle mpaka mpungue huko man u
Usijali nalijua hilo, bas at least niache niwe na hasira, maana matokeo nikose na hasira nisiwe nazo!!
 
Hao nilio waongelea kwa sasa wanafanya vzuri kuliko Mourinho.

Wape benefit of doubt, na ikitokea wakafanya vibaya wataondoka pia, untill tutapata mtu sahihi tu.
Ila hii hali ya sasa si nzuri

Kwako wewe unataka kocha akae muda gani hadi aoneshe kuwa anafaa?
 
Siyo chuki binafsi, ila sija furahishwa na anacho kifanya, na matokeo sote tunayaona.
Na hakuna sehemu nimesema uongo kuhusu Mourinho hapa ndugu.
Kuna mwenzako mmoja shabiki wa arsenal anaitwa rubaman nayeye haamini maamuzi ya benchi la ufundi la timu yake kama wewe humu. Wailing and wailing like babies. Grow up mister!
 
Kwako wewe unataka kocha akae muda gani hadi aoneshe kuwa anafaa?
Nionavo mimi katika modern football, Kufaa kwa kocha hakutokani na muda, kuna tokana na matokeo tunayo yapata kwanza. Huhitaji miezi 6 kujua kocha hafai, mechi 8-12 tuu zinatosha ku mjaji.
 
Mi nakushauri hama timu.
Hamia Madrid au Barcelona au Bayern Munich.
Utaishia kutupigia kelele humu..
Hata u-glory hunter haupo hivyo.
 
Kwenye modern football ni ngumu kuleta impact ndani ya miezi 2 au 3 ,

Emery,Ancelotti,Mourinho hawa wote now wanastrugle now

Pep alistrugle Bayern,Allegri alistrugle Juve,Klopp alistrugle Liverpool first season

For last 3 years nitajie angalau makocha 5 walioleta impact kwenye timu ndani ya huo muda, na timu nyingi zilizofukuza makocha ndani ya miezi 2/3 waliendelea
 
Kuna mwenzako mmoja shabiki wa arsenal anaitwa rubaman nayeye haamini maamuzi ya benchi la ufundi la timu yake kama wewe humu. Wailing and wailing like babies. Grow up mister!
Haaa! Thats non sense, watu wanapingana na maamuzi ya Zidane ambaye hajafungwa sembuse Wenger!!
Ndio ana haki ya kusema anacho hisi, wewe inakusumbua nini?
Ukiona mtu kama huyo ana kukera you are an idiot.
Acheni watu watoe maoni yao, mpira hauna mainstream kila mtu ana u channel anavo ona.
Unaniambia ni grow up i dont think kama wewe pia ume grow up, so grow up.
Imefika stage sasa mnakera kama Mourinho mwenyewe.
 
Naona kuna mjadala mkubwa sn na wenye mvutano mkubwa sn.....

Mimi nimeona ukidai kia wewe ni shabiki Wa Man Utd Mwenye uchungu mkubwa.

Sasa Nina vi maswali hapa kidogo nitapenda nikuulize kamoja baada ya kingine. Maana nataka kujua hayo mawazo mapya toka kwako.

Ktk msimu uliopita ni sbbu ipi kubwa ilipelekea Leicester city kuchukua ubingwa Wa EPL?

Karibu Iceman 3D
 
Haaa! Thats non sense, watu wanapingana na maamuzi ya Zidane ambaye hajafungwa sembuse Wenger!!
Ndio ana haki ya kusema anacho hisi, wewe inakusumbua nini?
Ukiona mtu kama huyo ana kukera you are an idiot.
Acheni watu watoe maoni yao, mpira hauna mainstream kila mtu ana u channel anavo ona.
Unaniambia ni grow up i dont think kama wewe pia ume grow up, so grow up.
Imefika stage sasa mnakera kama Mourinho mwenyewe.
Ninachoamini nikwamba, unapoamua kuwa shabiki wa timu fulani ni lazima uwe tayari kuyapokea matokeo ya timu yako kulingana na yanavyokuja. (we win together, we lose together, we draw together). Hatukatai kwamba muda mwingine kocha anaweza akafanya maamuzi ambayo yanaweza kui-cost timu kupata matokeo chanya (afterall football involves risk taking and gambling with decisions).
Ila nina wasiwasi kuwa mkuu Iceman 3D humpendi na hupendi coaching philosophy ya Jose Mourinho (sio kwa accusations unazozitoa humu jukwaani, unless you got personal issues with Jose). Hicho kilio unachokitoa humu angekitoa shabiki wa kike kama everlenk au sister hata nisingeshangaa coz ningeelewa kuwa ndo tabia za hawa ndugu zetu wenye jinsia hiyo. But a fully grown *ss man! duh, sipati picha the way unavyopanick familia yako ikikabiliwa na changamoto hizi za kidunia.
Unataka kocha ambaye his coaching prowess has been proved in more than four major European Leagues afukuzwe hata kabla ya kufikisha nusu msimu! A coach whose carreer has been awash with trophies and accolades! Really!? C'mon man
 
Kwenye modern football ni ngumu kuleta impact ndani ya miezi 2 au 3 ,

Emery,Ancelotti,Mourinho hawa wote now wanastrugle now

Pep alistrugle Bayern,Allegri alistrugle Juve,Klopp alistrugle Liverpool first season

For last 3 years nitajie angalau makocha 5 walioleta impact kwenye timu ndani ya huo muda, na timu nyingi zilizofukuza makocha ndani ya miezi 2/3 waliendelea

1. Tuchel (Dortmund)
2. Zidane (Madid)
3. Conte (Chelsea)
4. Ancelotti (madrid)
5. Blanc (PSG)
Nimekutajia wa tano hao hapo.

Mtu kama Ancelotti, ni wa pili kwenye ligi huyu ana struggle reasonably, kina Allegri wali strugle for about a month, baada ya hapo ana hit the road. Makocha hao hawakuwa wa 6 kwenye ligi zao, yet tulisema wana struggle, huwezi kumfananisha Mou na hao, at least Emery nilihis ata shindwa. Klopp nilieleza kuwa alikuja liva wakati msimu usha anza na aliwakuta kwenye hali mbayaa.
Sidhani kama ni reasonable kuwafananisha hao, na kumbuka Mourinho hata alikotoka Chelsea ali iacha ikiwa hali mbaya, mara ya pili hii tunarudia hili jambo mkuu.
Its cleary Mou yuko kwenye deep struggle zaidi.
 
Ninachoamini nikwamba, unapoamua kuwa shabiki wa timu fulani ni lazima uwe tayari kuyapokea matokeo ya timu yako kulingana na yanavyokuja. (we win together, we lose together, we draw together). Hatukatai kwamba muda mwingine kocha anaweza akafanya maamuzi ambayo yanaweza kui-cost timu kupata matokeo chanya (afterall football involves risk taking and gambling with decisions).
Ila nina wasiwasi kuwa mkuu Iceman 3D humpendi na hupendi coaching philosophy ya Jose Mourinho (sio kwa accusations unazozitoa humu jukwaani, unless you got personal issues with Jose). Hicho kilio unachokitoa humu angekitoa shabiki wa kike kama everlenk au sister hata nisingeshangaa coz ningeelewa kuwa ndo tabia za hawa ndugu zetu wenye jinsia hiyo. But a fully grown *ss man! duh, sipati picha the way unavyopanick familia yako ikikabiliwa na changamoto hizi za kidunia.
Unataka kocha ambaye his coaching prowess has been proven in more than four major European Leagues afukuzwe hata kabla ya kufikisha nusu msimu! A coach whose carreer has been awash with trophies and accolades! Really!? C'mon man
Uko sahihi mkuu.

Kinachoendelea kwa Utd tatizo sio kocha. Kweli kuna shida kadhaa Wa kadhaa lkn tatizo sio kocha.

Kuna vimaswali nataka kumuuliza huyu Iceman 3D nione hayo mawazo Yake mapya anayoyasimamia maana kila timu ina struggle na haziko vzr zote.

Ngoja akirudi online nitamuuliza hivyo vimaswali.

Unajua wengine tukiona Baba Yetu Jose anashambuliwa bila sbbu ya msingi tunaumia sn..... Yani Jose kule kwetu darajani ni mfalme. Popote akienda na sisi Tupo. Sasa kumshambulia tu bila sbbu ya msingi sitokubali.

Niko hapa nataka Leo nipewe fact moja baada ya nyingine toka kwa huyu ndugu.
 
Ninachoamini nikwamba, unapoamua kuwa shabiki wa timu fulani ni lazima uwe tayari kuyapokea matokeo ya timu yako kulingana na yanavyokuja. (we win together, we lose together, we draw together). Hatukatai kwamba muda mwingine kocha anaweza akafanya maamuzi ambayo yanaweza kui-cost timu kupata matokeo chanya (afterall football involves risk taking and gambling with decisions).
Ila nina wasiwasi kuwa mkuu Iceman 3D humpendi na hupendi coaching philosophy ya Jose Mourinho (sio kwa accusations unazozitoa humu jukwaani, unless you got personal issues with Jose). Hicho kilio unachokitoa humu angekitoa shabiki wa kike kama everlenk au sister hata nisingeshangaa coz ningeelewa kuwa ndo tabia za hawa ndugu zetu wenye jinsia hiyo. But a fully grown *ss man! duh, sipati picha the way unavyopanick familia yako ikikabiliwa na changamoto hizi za kidunia.
Unataka kocha ambaye his coaching prowess has been proved in more than four major European Leagues afukuzwe hata kabla ya kufikisha nusu msimu! A coach whose carreer has been awash with trophies and accolades! Really!? C'mon man
mie nimekuwa kama shabiki wa kiume siwezi kulialia hvyo.
 
1. Tuchel (Dortmund)
2. Zidane (Madid)
3. Conte (Chelsea)
4. Ancelotti (madrid)
5. Blanc (PSG)
Nimekutajia wa tano hao hapo.

Mtu kama Ancelotti, ni wa pili kwenye ligi huyu ana struggle reasonably, kina Allegri wali strugle for about a month, baada ya hapo ana hit the road. Makocha hao hawakuwa wa 6 kwenye ligi zao, yet tulisema wana struggle, huwezi kumfananisha Mou na hao, at least Emery nilihis ata shindwa. Klopp nilieleza kuwa alikuja liva wakati msimu usha anza na aliwakuta kwenye hali mbayaa.
Sidhani kama ni reasonable kuwafananisha hao, na kumbuka Mourinho hata alikotoka Chelsea ali iacha ikiwa hali mbaya, mara ya pili hii tunarudia hili jambo mkuu.
Its cleary Mou yuko kwenye deep struggle zaidi.

1.Ukiondoa Conte unaweza ukaleta statistics za hao makocha walichofanya baada ya miezi 3 ukilinganisha na makocha waliowa-replace ?

2.Again ukiondoa Conte je kuna kocha aliikuta timu kwenye hali mbaya kama Jose alivyoikuta United ?

3.Yes Mourinho aliiacha Chelsea kwenye hali mbaya but kumbuka
second spell Mourinho kafundisha misimu 2 na nusu
Msimu wa 1-Alishika no 3
Msimu wa 2-Bingwa EPL &Carling
Msimu wa 3-Alifukuzwa katikati ya msimu,hiyo misimu 2 ya mwanzo hutaki kabisa kuizungumzia
 
Mi nakushauri hama timu.
Hamia Madrid au Barcelona au Bayern Munich.
Utaishia kutupigia kelele humu..
Hata u-glory hunter haupo hivyo.

Nimefurahi umeziongelea hizo timu, ndio modern football inaendeshwa kama ziendeshwavyo hizo timu, ila timu kama real madrid naipenda pia.

Ofcoz kama unahisi nakupigia kelele ziba masikio, au ukiona msg zangu kausha, otherwise utakuwa ni ujinga kujifanya unaninyamazisha.
 
Back
Top Bottom