Ningekua mshauri wa mourinho,ningemshauri fella asiingie kwenye penalty box yetu,hata kama tunashambuliwa,asubirie mipira inayoyoka nje ya box ndo aicheze. Hii si coincidence kila mara niyeye tu
Ntamjaji kidogo kidogo mpaka msimu unaisha, mpaka sasa kitu positive sijakiona ndio maana nasema hivo. Niki kiona ntasema.
Utetezi wangu kwa LvG ni kuwa hakuwa mbaya kuliko Mou na ukumbuke alikuwa na less talent kuliko Mourinho. Mpaka sasa data zinaonesha LvG alikuwa na afadhali katika kipindi kama hiki kiliko Mou, heck even Moyes anaonekana ana data zenye na matokeo mazuri kuliko Mou.
Women lie, men lie but numbers dont lie. Angalia hapa
- 9 points from 4th place in the P.L..
- 13 points from 1st place in the P.L..
- 9 points above relegation in the P.L..
There is almost no hope
Umewaza mbali sana. Jin.ga lile huenda makusudi au anauza mechi.
Msaga sumu.The great footballer ever
![]()
![]()
Tatizo la Man U sio fellaini tatizo mourinho mwenyewe, mbona game kibao hajacheza na timu inacheza hovyo tu? Watandika mikeka jana niliwaonya kwa man u haiwezi kushinda mechi 2 mfululizoSiku Mourinho akiachana na Fellaini timu itapiga hatua. Huyu mtu hajui mpira. Akiingia kazi yake ni kucheza rafu zisizo na maana hata kidogo.
Mechi za karibuni ikiwemo jana timu inacheza vizuri. Bila stupid mistake ya Fellaini saa hizi tungekuwa tunaongea mengine. Hata mechi na Arsenal tulicheza vizuri ila tatizo lingine Mourinho akifikiria tu kulinda goli kuna mtu anafanya stupid individual mistake ambayo huwezi kumlaumu Mou labda asifanye mabadiliko. Goli la Arsenal ni kosa la utoto wa Rashford.Tatizo la Man U sio fellaini tatizo mourinho mwenyewe, mbona game kibao hajacheza na timu inacheza hovyo tu? Watandika mikeka jana niliwaonya kwa man u haiwezi kushinda mechi 2 mfululizo
Tatizo la Man U sio fellaini tatizo mourinho mwenyewe, mbona game kibao hajacheza na timu inacheza hovyo tu? Watandika mikeka jana niliwaonya kwa man u haiwezi kushinda mechi 2 mfululizo
...hata hivyo, poleni sana.Siku Mourinho akiachana na Fellaini timu itapiga hatua. Huyu mtu hajui mpira. Akiingia kazi yake ni kucheza rafu zisizo na maana hata kidogo.
Haha here I amKaribu tena jukwaani baada ya kutoka kwenye handaki .....
Mkuu Mpira kama ilivyo siasa, bila unafiki haiendi, especially uwe ukawa au Man utd team lazima utakuwa victim most of the time.
