Wenger alipewa kadi nyekundu at OT kwa kufanya hivyo... Unavyosema ubovu wa refa umesaidia kwa namna moja ku-keep 11 v 11 hadi sasa, au sio? Kama Rojo angepewa RED na Barry angepewa YELLOW kuna uwezekano Barry asingepata YELLOW aliyopata sasa hivi au unaonaje? Huwezi kusema/kulalamika kuwa refa amefanya maamuzi mabovu dhidi ya United kwa kutompa Red Rojo na kutompa Yellow Barry. Ni ajabu unavyosema ni maamuzi mabovu wakati yamewasaidia United from any angle you are looking at.
Fellaini ni fa.la
Wachezaji wamepambana sana kulinda ushindi lakini Mou ameuharibu!Zlatan,pogba,martial wamepoteza mipira sana!mikhitaryan kwangu ndo mchezaji pekee aliekua anaonesha uhai mbele,na ndo huyohuyo mou anaenda kumtoa!
Hivi huna habari Wenger ni professor ..... .... ...... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee walimwomba msamaha kwa sababu walikosea khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeWenger alipewa red card lakini hakufungiwa na baadae boss wa marefa alimuomba msamaha
Mkuu hizi kauli za kujipanga kwa next mech tusha zisema sana hapa.Heri saresare kuliko kupoteza hawa everton wanatukomaliaga sana nakumbuka kuna msimu walitunyima kombe tukiwa kwenye harakati za kubeba kombe tukatoa nao draw ya nne nne.
Bahati bado haijasimama tu kwetu hata ukicheck goli lenyewe ndo vile herera naye anagonga mwamba.
Ila Pogba inabd akaze kuna mipira mingne anapoteza kwa kukosa umakini.
Tujipange kwa next game hope timu itarudi kwenye mstari tuu
Kwa alichofanya Fellaini, ni vigumu kumtetea tena..
Pole na maumivu wengine wote Manure walie tu. Hama timu chacha njoo Gunners ... ... .Ding ... Dong
Asante ila huko kwenu Hapana kabisa bora nishabikie Sunderland
Pole na maumivu wengine wote Manure walie tu. Hama timu chacha njoo Gunners ... ... .Ding ... Dong
