Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu wa Manure leo mna mkosi, mna bahati sana naangalia Golf bana Tiger Woods ndio kwanza anaanza kucheza see you later ... ... ... .. .Ding ... Dong.
 
Rojo alitakiwa aondoke(Nakupa heko kwa hilo) lakini nashangaa kwa nini unalalamika kwaa Barry kutopewa Yellow? Hii ni perfect example ya Everything balanced itself out at some stage. Anyway, Barry kashapewa Yellow sekunde chache ago.
Umenielewa kweli nilichokisema? Makosa ya Michael Oliver ya kutompa kadi Barry, ndiyo yalipelekea Rojo asipewe kadi nyekundu...hivyo ninachokilalamikia ni ubovu wa refa katika kufanya maamuzi dhidi ya United..

Jana niliweka picha ya Luiz akimkanyaga Fellaini (raised foot tackle), lakini hata kadi hakupata...jana Luiz katimbwa na Kun, Kun kapata nyekundu...Wenger, Klapp na Conte wakipiga chupa za maji kwa frustrations, wanasemwa kwamba they are passionate about football. Josè kufanya hivyo, kadi na faini juu...
[HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]
 
Mkuu Mpira kama ilivyo siasa, bila unafiki haiendi, especially uwe ukawa au Man utd team lazima utakuwa victim most of the time.
 
Umenielewa kweli nilichokisema? Makosa ya Michael Oliver ya kutompa kadi Barry, ndiyo yalipelekea Rojo asipewe kadi nyekundu...hivyo ninachokilalamikia ni ubovu wa refa katika kufanya maamuzi dhidi ya United..

Jana niliweka picha ya Luiz akimkanyaga Fellaini (raised foot tackle), lakini hata kadi hakupata...jana Luiz katimbwa na Kun, Kun kapata nyekundu...Wenger, Klapp na Conte wakipiga chupa za maji kwa frustrations, wanasemwa kwamba they are passionate about football. Josè kufanya hivyo, kadi na faini juu...
[HASHTAG]#justsaying[/HASHTAG]

Wenger alipewa kadi nyekundu at OT kwa kufanya hivyo... Unavyosema ubovu wa refa umesaidia kwa namna moja ku-keep 11 v 11 hadi sasa, au sio? Kama Rojo angepewa RED na Barry angepewa YELLOW kuna uwezekano Barry asingepata YELLOW aliyopata sasa hivi au unaonaje? Huwezi kusema/kulalamika kuwa refa amefanya maamuzi mabovu dhidi ya United kwa kutompa Red Rojo na kutompa Yellow Barry. Ni ajabu unavyosema ni maamuzi mabovu wakati yamewasaidia United from any angle you are looking at.
 
rubaman naona unafuatilia timu yako ya moyoni lol

Timu yangu ya Moyoni ni Any defeat to United hahahaha. Ila Everton wamekuwa magarasa kuliko walivyokuwa Enzi za Moyes. Nilitegemea Koeman kuwanyanyua lakini sioni lolote. Muda si mrefu tutamuona Koeman anahamia kwenu maana anasema anataka timu kubwa inayoweza kumwaga pesa.
 
Guys mtoto mmoja si mtoto we need another baby

Nafasi ya Bailiy kwa Rojo, Mata kwa Mikh na Rushford kwa Martial...

Haraka sana iwezekanavyo
 
Hivi wachezaji wa United kukokota mipira keep ni tatizo ukiondoa Valencia
 
Back
Top Bottom