Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unaweza kuwa ni mapema mno kusema! Lakini Mou have to go, ameharibu timu kabisa, mbinu zake za kizee za kulinda goli na sub ya Fellaini mcheza foul mkubwa zimetukosesha ushindi. Sitaki Mou, aende zake.
Enough is enough, Jose must go.
 
Arsenal walipotoa draw vs Man Utd, Mourinho alisema alitamani angekuwa na a tall player on the bench hasa Fellaini angesaidia kulinda ushindi. Leo Fellaini aliletwa kulinda ushindi badala yake ameua ushindi.
 
Sijui mou anang'ang'ania mchezaji kama yule wa nini..

Na sijui kama atakaa arudie tena!
 
Kesho tutawasikia Mourinho na Hererra wakidai kuwa Man Utd deserve 10 pts. Hahahaha yeah mtapewa 10pts on the table kama FAT ilivyokuwa inawapa Yanga Enzi za Mwinyi
 
upload_2016-12-4_18-12-36.png


Poleni wakuu nachikia Felaini ametoa bonge la goli khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
upload_2016-12-4_18-13-19.png


upload_2016-12-4_18-13-45.png


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie
kaboom! kh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Yani siamini leo narudi nyumbani kwa kuvizia!! Maana haya ma aseno na chelsii sitaki yanione maana nna hasira sana nisije nikaamkia jela kesho!!!

Daaaah siamini kama tume draw!!!
bora hata wewe sasa na mimi hayo machelsea ni ubavu wangu yaani anavyonizomea hapa natamani nimpige bonge la kofi .... yaani very bad weekend ... nawaza tu safari ya kurudi nyumbani nitakavyotaniwa ,bora ningeangalizia nyumbani tu.
 
bora hata wewe sasa na mimi hayo machelsea ni ubavu wangu yaani anavyonizomea hapa natamani nimpige bonge la kofi .... yaani very bad weekend ... nawaza tu safari ya kurudi nyumbani nitakavyotaniwa ,bora ningeangalizia nyumbani tu.

Pole na maumivu wengine wote Manure walie tu. Hama timu chacha njoo Gunners ... ... .Ding ... Dong
 
Timu sio kabila mnawezajisogeza darajani pale mpunguze stress
 
Zlatan,pogba,martial wamepoteza mipira sana!mikhitaryan kwangu ndo mchezaji pekee aliekua anaonesha uhai mbele,na ndo huyohuyo mou anaenda kumtoa!
Sub za Leo sijazielewa kabisa....... yaani Mimi hasa kipindi cha pili kimeniumiza sana tukawaacha Everton watuchezeshe wanavyotaka,kukawa no connection Ni kutibua tibua tu mpira ,mpira haushuki zaidi ni kujilinda tu,kabla ya sub angalau Hata kaukuta kalikuwa kanaeleweka after sub tukawapa mwanya zaidi ingawaje na sisi tulishambulia dakika fulani lakini kukawa hakuna connection kabisa.
 
upload_2016-12-4_18-20-26.png


Tinaomba Daktari wa JF aje kuwaangalia hawa dugu zetu hali chiyo njuri khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee gonjwa iko mbaya ... ....

upload_2016-12-4_18-22-47.png


defend ... .. defend ..... ..

upload_2016-12-4_18-23-16.png


Oh my god ... ... khe khe kheeeeeeeeee snuf f. ... snuff ... . ..
 
Back
Top Bottom