Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Moyes alipewa timu kipindi kigumu sana (SAF ndio alikuwa kastaafu) watu waliamini timu bado ni bora sababu ni bingwa mtetezi na kilichomwangusha zaidi hakuwa na influence kwenye kusajili wachezaji wakubwa(Fabregas,Baines,Herrera,Kroos) wangeweza kusajiliwa fedha ilikuwepo na wachezaji walikuwa available.Kama angemaliza top 4 asingefukuzwa

imagine sasa....unadhani kwa TREND HII mourinho ataipata TOP 4?

Confidence ya timu inakuwa chini kadiri mnavyopata matokeo HASI

nikwambie tu NEXT WEEK na SPURS hiyo ni big TEST kwenu japokuwa mtakuwa OT

mnaweza mkaambulia sare ingine au mkafungwa jambo ambalo litawamaliza kabisa

daah hali sio shwari mazee
 
Its frustrating na inauma lkn inabidi tusubiri tu mou ajibadlishe mbinu maana nguvu kazi anayo ni jinsi ya kuitumia ndio shida tumebdlisha 2 managers na wala hakuna tofauti kubwa huyu apewe muda aijenge tuone but inauma
 
Hasipopata UCL spot wanaweza mfukuza maana mpira ushakuwa biashara....na hilo jambo baya kabisa fukuza fukuza itawagharimu

may be wamejifunza....kufukuza ma manager sio kila mara huzaa matunda
 
nikwambie tu NEXT WEEK na SPURS hiyo ni big TEST kwenu japokuwa mtakuwa OT

mnaweza mkaambulia sare ingine au mkafungwa jambo ambalo litawamaliza kabisa
Hapa sasa unaendekeza unazi...umesahau katika soka kuna matokeo matatu: kufungwa, kutoa sare ama kushinda. Sasa naona wewe umeamua kujivisha upofu na kuacha kwa makusudi tokeo la tatu.

Despite our recent form, the three possibilities are always there...
 
may be wamejifunza....kufukuza ma manager sio kila mara huzaa matunda
Hivi braza, nini mtazamo wako wa 10 years without an EPL championship under the same manager?! Pengine una sababu ya kutufundisha kuepuka fukuza fukuza!
 
afu kaka Fellain naona kama fans wengi wanamfanya scape goat.....mambo ya witch hunt

MOJA :everton walikuwa ovyo kabisa walikuwa hawana uwezo wa kucheza hata pasi 3 washabutua na mpira wanawaletea ilifaa game mumalize 1st half kwa kufanya build ups za maana

PILI: mmliingia kwenye TRAP ya kucheza mpira wao ghafla mlipanic second half mkawa MNABUTUA BUTUA kama wao

TATU: ukitizama kwa makini IBRA mnambebesha mzigo kubwa sana....wings na AMD wanafaa wamsaidie sana, kuna wakati anakuwa ISOLATED pale mbele, jambo la hatari ni kuwa IBRA akipata injury mta struggle mara dufu kupata magoli

maana kama naona TIMU imejengwa kumzunguka yeye na KUMBUKA ni 35 year old umri huo ni DELICATE kila game huyo huyo ni kama BUBBLE ambayo yaweza BUST mda wowote

Wewe ni mmoja ya watu wanaojua matatizo ya United
Nakubaliana nawe 100% Ibra leo hasa second half alikuwa isolated sana ikabidi awe anarudi sana katikati,na tatizo kubwa la United tunashindwa kumaliza game tukifunga goli moja timu inarelax

Pogba na Mkhitaryan kipindi cha pili walikuwa mzigo sana na Martial hakupaswa kutolewa either Pogba/Mkhitaryan ndio walipaswa kutolewa aingie Mata

Fellaini anapaswa kuingia timu ikiwa inaongoza goli 3+
 
imagine sasa....unadhani kwa TREND HII mourinho ataipata TOP 4?

Confidence ya timu inakuwa chini kadiri mnavyopata matokeo HASI

nikwambie tu NEXT WEEK na SPURS hiyo ni big TEST kwenu japokuwa mtakuwa OT

mnaweza mkaambulia sare ingine au mkafungwa jambo ambalo litawamaliza kabisa

daah hali sio shwari mazee
Naifahamu sana EPL
Kwangu top 4 hata ubingwa bado uko available so far Chelsea ndio timu iliyo stable naipa nafasi ya ubingwa na kutokuwa na mshindano mengi kumewapa,sana faida.Bado kuna fixture ya December/January i hope kuna timu zinateleza tu

Liverpool-Defence yao bado mbovu na mfumo wao unawategemea some players(Lalana,Coutinho,Firmino) wanapata sana taabu wasipokuwepo

Arsenal-Sijaona walichobadilika miaka yote

Man City-Hawana tofauti sana na United ingawa wao foward wao wanafanya vizuri
 
Hapa sasa unaendekeza unazi...umesahau katika soka kuna matokeo matatu: kufungwa, kutoa sare ama kushinda. Sasa naona wewe umeamua kujivisha upofu na kuacha kwa makusudi tokeo la tatu.

Despite our recent form, the three possibilities are always there...

sijasema hamuwezi kushinda....nimesema SPURS ni Big test, maana nachomaanisha wao kuwa wame loose game moja tu tena kwa CHELSEA ambayo iko ONFIRE sio kazi rahisi na wanacheza mpira wa Bullying na wako Technical

issue ni kuwa Hiyo ni must win game ili mrejee katika ''BASICS'' haitowasaidia ikiwa mtapata sare au defeat bali itaacha DAMAGE mbaya hili ndo nililosema!!

Nzi husije waa underestimate spurs ndugu yangu!! game hiyo ni ngumu
 
Mourinho alifungiwa kwa sababu ya previous history. Mourinho ukikumbuka alikuwa na suspension bans, fines kabla ya last incidents ni kama vile mchezaji anavyopata yellow cards kadhaa (5)then anafungiwa mechi 1. Wenger aliombwa msamaha sababu alikosa sehemu ya kukaa(ktk stand ) baada ya kutoka nje Lakin refa akazidi kung'ang'ania atoke nje . Ukiangalia ile picha utaona akiashiria there's no more further places he can go

Marefa wa England wanazidi kuwa vimeo nafikifiri umeona hata game za leo madudu waliyofanya

1.Rojo alipaswa kupewa straight red card

2.Barry alipaswa kupewa red card

3.Bournamouth walinyimwa penalt ya halali
 
Naifahamu sana EPL
Kwangu top 4 hata ubingwa bado uko available so far Chelsea ndio timu iliyo stable naipa nafasi ya ubingwa na kutokuwa na mshindano mengi kumewapa,sana faida.Bado kuna fixture ya December/January i hope kuna timu zinateleza tu

Liverpool-Defence yao bado mbovu na mfumo wao unawategemea some players(Lalana,Coutinho,Firmino) wanapata sana taabu wasipokuwepo

Arsenal-Sijaona walichobadilika miaka yote

Man City-Hawana tofauti sana na United ingawa wao foward wao wanafanya vizuri

ofcourse mathematically every EPL team can become champion as we speak .........!!!! but realistically it is a different story
 
ofcourse mathematically every EPL team can become champion as we speak .........!!!! but realistically it is a different story

Last season hakuna aliyeamini Leicester atakuwa bingwa,hakuna aliyeamini Mourinho angechemka vile

Tatizo la United sio timu pinzani,tatizo la United ni United yenyewe kama litaisha upepo utabadilika
 
Kaka, jibu maswali yangu.

BTW, unajua kwamba katika soka, magoli siku zote utokana na kosa lililofanywa na timu pinzani? Sasa nakushangaa unapodharau goli la Zlatan kwa kusema lilitokana kosa la kipa, as if it ain't normal in football.

What's your way forward? As a football analyst (as you try to make yourself, one) what should United do?
Sija li discredit goli, ninacho sema lilikuwa ni kosa la kipa na si ufundi wa Ibra ulio sababisha goli. Tuna option mbili tuu
1.Mourinho afukuzwe.
Yeah najua mtasema mapema mnoo lakini mapema ndio vizuri, mou mpaka sasa hana kikosi cha kwanza, haja weza kufanya sub za maana, kashinda mechi chache sana, pia kumbuka chelsea walichelewa kumfukuza lakini haku improve, nadhan Mou wa kuanzia mwaka 2013, mpira ulisha anza kumpotea.

Mechi 11 za mwisho za Mou hizi

1-1, 1-1, 1-1 3-1, 0-0, 0-4, 0-0, 1-1, 4-1, 1-3 na1-2.

9 points out of a possible 33 ..... 27.3%
For now yeye ndio kocha mbovu kuliko wote tangu babu Alex astaafu.
.Au
2.Mou abaki lakin afanye yafuatayo.
-Pogba haja fiti kwenye timu atafute namna ya kumfanya afit ambayo ni kutafuta mfumo utakao muwezesha Pogba acheze na ma mido wa 2, ambao kati ya hao lazima mmoja awe na kasi mfano angalia alipo kuwa akicheza yeye, vidal na pirlo, mechi nyingi anazo cheza yuko slow si lazima acheze kama hafit kwenye mfumo au badilisha mfumo
-awatumie Basti na Schneiderlin, mechi nyingi tuu zimeonesha umuhim wao. Pia kuna madogo kama kina Tuanzebe na TFM awatumie, uzuri wa LvG tulikuwa tunafeli lakin at least unaona anatumia vijana. Huyu wa sasa hawatumii hao madogo na ana zidi kuboronga kuloko Sir LvG
-timu haina discpline na morali, ni kazi yake hiyo kufanya morali na nidhamu viwepo mfano. Angalia jinsi tulivyo fungwa magoli msimu huu kwa dakika.
Watford (83'+90'), Arsenal (89'), Everton (89'), Fenerbache (83'), Stoke (82') and Feyenoord (79').

Chelsea (1'), Fenerbache (2') and West Ham (2').
Timu ina onesha hapo ni no self-control, no discipline, no awareness, hili ni kosa lake awaande wachezaji wakabiliane nalo yeye ndio kiongozi.
-aache kuwapendelea Pogba na Ibra, anaweka matabaka, hasa Ibra hata leo ilitakiwa ibra apigwe sub, pia asiwa treat hao kama ndio wana stahili kupata game time kuliko wengine, kama ameweza kumuacha Blind na kuanza na Darmian alishindweje ku msub Ibra ambaye kuna Tym alichoka kabsa!? Matabaka yanavunja umoja.
-Mikhi ni mchezaj muhim amtumie vzuri kwa sasa hafanyi hivo bado.

Yako Mengi sana lakin hayo ni baadhi ya mambo ya kufanya la si hivo tutakuwa tunafungwa mpaka tuzoee.
 
Since Mourinho amekuja United hujawahi kuona anything positive so utaendelea kumlaumu kila siku kibaya zaidi hata mengine hajafanya unamsingizia kila kitu,kibaya zaidi unasema bora LVG angebaki
Ntamjaji kidogo kidogo mpaka msimu unaisha, mpaka sasa kitu positive sijakiona ndio maana nasema hivo. Niki kiona ntasema.

Utetezi wangu kwa LvG ni kuwa hakuwa mbaya kuliko Mou na ukumbuke alikuwa na less talent kuliko Mourinho. Mpaka sasa data zinaonesha LvG alikuwa na afadhali katika kipindi kama hiki kiliko Mou, heck even Moyes anaonekana ana data zenye na matokeo mazuri kuliko Mou.

Women lie, men lie but numbers dont lie. Angalia hapa

- 9 points from 4th place in the P.L..

- 13 points from 1st place in the P.L..

- 9 points above relegation in the P.L..

There is almost no hope
 
Naifahamu sana EPL
Kwangu top 4 hata ubingwa bado uko available so far

Ubingwa haupo
Top 4 ni asilimia 10%, ambayo ita require Mourinho abadilike kwa asilimia 90%
Mambo kama haya.
Points ..... 21 kati ya possible 42 = 50.0%.

Wins ...... 5 kati ya possible 14 = 35.7%.

Hivi uliona wali bingwa ana patikana kwa trend ya kupata asilimia 50%, ya possible points!?

Kwa mwendo huu tuta ishia 7-8, morali iko chini na kadir tunavo endelea kutopata matokeo itashuka zaid.

Mathematicaly hata west brom wanaweza kuwa mabingwa kwani wametuzidi magoli ya kufunga. Ila ki uhalisia nafas ya ubingwa si ioni hapo.
 
Una personal problem na Mourinho so huwezi kuona improvement hii ndio game ambayo naweza kumlaumu Mourinho 100%
Sawa see you mechi zinazo fuata
Utaendelea kuona Mourinho ni yule yule.
Akibadilika ntampa credit zake pia
 
Naifahamu sana EPL
Kwangu top 4 hata ubingwa bado uko available so far Chelsea ndio timu iliyo stable naipa nafasi ya ubingwa na kutokuwa na mshindano mengi kumewapa,sana faida.Bado kuna fixture ya December/January i hope kuna timu zinateleza tu

Liverpool-Defence yao bado mbovu na mfumo wao unawategemea some players(Lalana,Coutinho,Firmino) wanapata sana taabu wasipokuwepo

Arsenal-Sijaona walichobadilika miaka yote

Man City-Hawana tofauti sana na United ingawa wao foward wao wanafanya vizuri

Word.....
 
si

Nzi husije waa underestimate spurs ndugu yangu!! game hiyo ni ngumu
Doh! Wapi nimesema nimewa-underestimate Spuds? Mimi nilichofanya ni kusema lolote kati ya: kushinda, kifungwa, kutoa sare, linawezekana. Na siyo kusema possible results ni kwa United kufungwa au kutoa sare. Hili ndilo nimelipinga.
 
Ubingwa haupo
Top 4 ni asilimia 10%, ambayo ita require Mourinho abadilike kwa asilimia 90%
Mambo kama haya.
Points ..... 21 kati ya possible 42 = 50.0%.

Wins ...... 5 kati ya possible 14 = 35.7%.

Hivi uliona wali bingwa ana patikana kwa trend ya kupata asilimia 50%, ya possible points!?

Kwa mwendo huu tuta ishia 7-8, morali iko chini na kadir tunavo endelea kutopata matokeo itashuka zaid.

Mathematicaly hata west brom wanaweza kuwa mabingwa kwani wametuzidi magoli ya kufunga. Ila ki uhalisia nafas ya ubingwa si ioni hapo.
Mou kwa msimu huu ame-target ubingwa wa "kikombe cha mbuzi". Fainali itakuwa baina ya Mou na Klopp.
Kocha wa sasa wa Sunderland anajitayarisha kurudi Man. United pale Mou atakapooneshwa mlango wa kutokea.
 
Sija li discredit goli, ninacho sema lilikuwa ni kosa la kipa na si ufundi wa Ibra ulio sababisha goli.

Kwa hiyo unachotaka ni goli la ufundi ama? Goli la ufundi na lisilo na ufundi lina effect vipi matokeo? BTW, Ibra alitumia akili, baada ya kuona kipa yupo mbali na goli. Siyo wachezaji wengi wanaweza kufanya hivyo.

Maan, don't be so bitter and negative to the point of making a fool of yourself...maana kwa kung'ang'ania kusema goli la Ibra ni kosa la kipa, unasahau nilichokisema kwamba soka ni mchezo wa makosa: make ma mistake, opponents wana-capitalise kwa kufunga. Sasa kama unachokifanya siyo ku-discreti goli, basi nakuwa na mashaka na uelewa wako wa mpira.

Ebu nitajie goli 1 tu katika historia ya soka ambalo halikutokana na kosa la mchezaji au wachezaji wa timu iliyofungwa.

1.Mourinho afukuzwe.
Yeah najua mtasema mapema mnoo lakini mapema ndio vizuri, mou mpaka sasa hana kikosi cha kwanza, haja weza kufanya sub za maana, kashinda mechi chache sana, pia kumbuka chelsea walichelewa kumfukuza lakini haku improve, nadhan Mou wa kuanzia mwaka 2013, mpira ulisha anza kumpotea.

Mechi 11 za mwisho za Mou hizi

1-1, 1-1, 1-1 3-1, 0-0, 0-4, 0-0, 1-1, 4-1, 1-3 na1-2.

9 points out of a possible 33 ..... 27.3%
For now yeye ndio kocha mbovu kuliko wote tangu babu Alex astaafu.

Okay, nifanye kukubaliana na hili. Akifukuzwa, what next? Who should take over?

2.Mou abaki lakin afanye yafuatayo.
-Pogba haja fiti kwenye timu atafute namna ya kumfanya afit ambayo ni kutafuta mfumo utakao muwezesha Pogba acheze na ma mido wa 2, ambao kati ya hao lazima mmoja awe na kasi mfano angalia alipo kuwa akicheza yeye, vidal na pirlo, mechi nyingi anazo cheza yuko slow si lazima acheze kama hafit kwenye mfumo au badilisha mfumo
-awatumie Basti na Schneiderlin, mechi nyingi tuu zimeonesha umuhim wao. Pia kuna madogo kama kina Tuanzebe na TFM awatumie, uzuri wa LvG tulikuwa tunafeli lakin at least unaona anatumia vijana. Huyu wa sasa hawatumii hao madogo na ana zidi kuboronga kuloko Sir LvG
-timu haina discpline na morali, ni kazi yake hiyo kufanya morali na nidhamu viwepo mfano. Angalia jinsi tulivyo fungwa magoli msimu huu kwa dakika.
Watford (83'+90'), Arsenal (89'), Everton (89'), Fenerbache (83'), Stoke (82') and Feyenoord (79').

Chelsea (1'), Fenerbache (2') and West Ham (2').
Timu ina onesha hapo ni no self-control, no discipline, no awareness, hili ni kosa lake awaande wachezaji wakabiliane nalo yeye ndio kiongozi.
-aache kuwapendelea Pogba na Ibra, anaweka matabaka, hasa Ibra hata leo ilitakiwa ibra apigwe sub, pia asiwa treat hao kama ndio wana stahili kupata game time kuliko wengine, kama ameweza kumuacha Blind na kuanza na Darmian alishindweje ku msub Ibra ambaye kuna Tym alichoka kabsa!? Matabaka yanavunja umoja.
-Mikhi ni mchezaj muhim amtumie vzuri kwa sasa hafanyi hivo bado.

1. José amfanyaje ili Pogba a-fit? Kwa United ya sasa, ni mido gani huyo aliye na kasi ili u-slowness wake usiathiri timu? Ni combination ipi ya midfielders ambayo itamfanya Pogba a-fit?

NB: unapotoa mfano wa Vidal na Pirlo, nani hapo alikuwa na kasi?

2. Bastian na Morgan: kwa hiyo unataka kusema hawa ndiyo wawe starting midfielders? Really? And you criticise José's tactics by bringing this? Unasema mechi nyingi wameonyesha umuhimu wao: kwa kuwa unapenda numbers, ebu thibitisha kauli yako kwa kuonyesha statistics zinazoonyesha umuhimu wa hao wawili walipocheza pamoja (na wala sikumbuki kama ilishatokea, I might be wrong though).

NB: unavyotaja hao madogo, unamaanisha watumiwe kama midfield combo na Pogba ama watumiwe kama midfielders kwenye starting eleven?

3. Morali na nidhamu ya timu: José afanyaje ili morali na nidhamu iwepo? What more should he do? Awaandaaje wachezaji? What if, amewafanya hayo, lakini wachezaji hawabadiliki? Ni wakati gani lawama zinapaswa kwenda kwa wachezaji pia? Maana ni rahisi kumlaumu kocha, huku ukisahau wachezaji nao wana-play a bigger role on the results.

4. Matabaka: you seem to know about what happens in United's changing room. Ebu tusaidie hayo matabaka yanayojengwa? Licha ya kukubaliana na wewe juu ya kutoweka mzigo mkubwa kwa Ibra (sababu kubwa ni umri wake), hilo la matabaka ni baloney, unless you prove it. Unasahau kwamba unaongelea professional players, ambao kila mmoja anafahamu nafasi yake kwenye timu. Kila timu lazima kuwe na superstar(s) ambaye anakuwa treated tofauti na wenzake! Hili haliwezi kuwa tatizo kwa professional players, hata kama kweli José anawapendelea Ibra na Pogba.

5. Henrik: unataka José amtumiaje zaidi? Toka amefika, muda mrefu amekuwa majeruhi! Games 2 zilizopita, Henrik kapewa playing time ya kutosha, na he didn't disappoint! Sasa unataka utumiweje zaidi?

tutakuwa tunafungwa mpaka tuzoee.
I have never seen a football club's fan this bitter, negative and pessimistic about his/her team. Honestly, you are just hurting yourself, especially knowing that no matter how bitter and pissed you are, you will have no IMPACT on what happens at United! The best thing you can do, is to enjoy the moment, feel sorrow for bad days in the office, and MOST IMPORTANTLY, be rational.
 
Back
Top Bottom