Timu kwa sasa inacheza vizuri sema hatuna bahati ya kufungaKweli kabisa maana ilikuwa butua ila kwa sasa inacheza vizuri
Mkuu ukiangalia statistics kihivyo conclusion yako inakua biased.. Huyo huyo moyes alikabidhiwa team ikiwa bingwa mtetezi wa epl! Binafsi naangalia uchezaji wa team kwa ujumla. I can see something in the futuremanchester fans mnasema mmekuwa IMPROVED???
I am afraid its just you. Wenzako washausoma mchezo na wanaelewa the status quo ya timu yenu. [HASHTAG]#Povu[/HASHTAG]
Manchester United boss Jose Mourinho charged by FA over touchline antics against West Ham | Daily Mail Online
Manchester United boss Jose Mourinho charged by FA over touchline antics against West Ham
- Manchester United news: All the latest from Old Trafford
- Jose Mourinho was again sent off during Sunday's 1-1 draw with West Ham
- Portuguese has been charged by the FA for alleged improper conduct
- Former Chelsea boss was also sent to stands in October clash vs Burnley
- Manchester United will not challenge to the new boss over his behaviour
- Mourinho has until 6pm on 1 December 2016 to respond to the charge
- Manchester United news: Jose Mourinho looks as if mood has barely improved after West Ham dismissal
Jose Mourinho has been charged with improper conduct by the FA after he was sent to the stands during Manchester United’s draw with West Ham at Old Trafford on Sunday.
Mourinho was dismissed from the touchline by referee Jon Moss for the second time in six games when he angrily kicked a water bottle in protest at Paul Pogba being booked in the first half.
The United manager has until 6pm on Thursday to respond to the charge – his third FA rap in the space of a month – and now faces being banned from the touchline for the second time this season.
![]()
Kwa kweli na mimi naanza kuamini kuwa jamaa kama ndio karate ana anza kuvua black belt ana rudi kwenye mkanda wa kijani sasa.tatizo la mashabiki hawataki kuambiwa ukweli" morihno zama zake zimeisha.......... nilishalisema hili tokea akiwa chelsea na nilitofautiana na mashabiki wenzangu wa chelsea, anahaha tu ataanza kuwalaumu marefa mpaka wachezaji wkt yeye ndio tatizo.
hamkupewa penalt sawa, je kwa nini msingeshinda magoli mengine kama timu ipo vizuri.
manyau mkimaliza nafasi 10 mungu yupo upanfe wenu.
Mourinho nilimkataa mapema sana. Bali kwa sabb sina nguvu ndani ya united basi, naona tu anapewa timu
Anapendeza sifa hafanyikaz Yake, wachezaji hawamuogopi.....Kochi itishe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwani wewe ni mjumbe wa bodi!!?
Naskia mli mkataa wewe ba Sir Boby Charton tuu
Bas ngoja twende naye weee akishindwa ata ondoka naye, ila ndege ndio inatua so funga mkandaAnapendeza sifa hafanyikaz Yake, wachezaji hawamuogopi.....Kochi itishe
Habari humu Mjengoni!!! Nimewamiss sana ubize tu ila tupo pamoja,Poleni wote kwa kipindi hiki kigumu ila heri nusu Shari kuliko Shari Kamili, tutafika tu mdogo mdogo........ Haya mashabiki wenzangu waleee uzalendo ni kitu bora, we are the United doesn't matter what, but let us unite......... thanks to all wasagasumu ninyi ni watu muhimu sana Kwetu, you make us strong!!!......... we don't stop when we are tired we stop when we done ..... GLORY GLORY MANCHESTER UNITED.
Boss Mimi nipo sana tu siwezi ishiwa pumzi ukiniona tu Mimi sipo ujue ubize wa maisha tu umebana,na hichoNaona mashabiki wa manchester wakongwe na tunaowafahamu hapa jukwaani wanakimbizwa na vijana fan boys, glory hunters wanaotaka umaarufu kwa nguvu,
Mfarisayo
Dondonald
Nzi
Herrera
Teknology
RRONDO
Belo
Everlenk
JOAQUEM
Cathode rays, et al pumzi imewaisha?
ndicho nilichokipost leo, plastic fans huwa hawakosekanagi so usipate shida nao.....pumzi hatujaishiwa ila kila jambo na majira yake, kuna majira ya kukaa kimya na kuna majira ya kupiga kelele.....Iceman 3D,ningekuwa upande wako kama performance ya timu ingekuwa stagnant kiasi hicho,kila siku kuna kitu katika uchezaji na nafasi za kufunga zinatengenezwa za kutosha na shots on target ni wastani wa 5 kila game. Mou bado hastahili kunyooshewa vidole maana amekuwa akionyesha mabadiliko kila game. October ilikuwa mbaya lakini Nov tumepiga mpira mzuri,na attempts za kutosha. Huwezi kuifananisha man ya mou na ya lvg yenye back pass kibao ili kuongeza umiliki wa mpira. Let the man breath,Naomba niwe mkweli timu kama iko hovyo tuseme na ndio ilivo, wasiopenda ushindi ni tim gan!!? Hata Arsenal walio kaa a decade au Liver wamekaa almost 3 decades hawaja chukua ubingwa wana penda washinde, tujifunze kukosoa na kuisapot timu na ku kubali reality.
Glory hunters huwa wana switch tim ikishindwa, ila tunao kosoa bila kuhama lazima tuwepo, ni historia ya kujikosoa ndio ilifanya kina Scott Duncan wakaondoka akapatikana Matt Busby, tabia yakujikosoa ndio iliyo fanya kina Mc Guiness wakatolewa akarudishwa Sir Matt Busby, ndio kujikosoa kuliko fanya kina Rowan Atkinson wakatolewa akaja Sir Alex, kila kocha alivumiliwa kwa muda wake na alikosolewa kwa namna yake Mourinho naye hata kosa hapo.
Klabu yetu ina historia ndefu ya ups and downs, but when we were down sidhan kama mashabiki walikuwa kimya tuu wakisubiri kurudi juu.
Lazima tujikosoe because that's who we are and that is our history.
Cc All who thinks they are genuine fans and others are fake
Spot on! Tupo wiki ya 13, halafu mtu anakuja kutoa tathmini as if msimu umeisha!Iceman 3D,ningekuwa upande wako kama performance ya timu ingekuwa stagnant kiasi hicho,kila siku kuna kitu katika uchezaji na nafasi za kufunga zinatengenezwa za kutosha na shots on target ni wastani wa 5 kila game. Mou bado hastahili kunyooshewa vidole maana amekuwa akionyesha mabadiliko kila game. October ilikuwa mbaya lakini Nov tumepiga mpira mzuri,na attempts za kutosha. Huwezi kuifananisha man ya mou na ya lvg yenye back pass kibao ili kuongeza umiliki wa mpira. Let the man breath,
Spot on! Tupo wiki ya 13, halafu mtu anakuja kutoa tathmini as if msimu umeisha!
BTW, sielewi kukosoa kwake (hata kama tukikubali mawazo yake) kutabadilisha vipi kile anachokifanya Mourinho!! Au Josè uwa anapitia thread hii nini?!?
Let's stay positive; huwezi mtu ati sasa kusema José hana maana (licha ya mimi kutomkubali José kama kocha wa soka) baada ya mechi 13. Sawa, nini mbadala? Na tutakachokisema kitakuwa na maana gani kwa timu?
Nime acknowledge kuwa napenda Mou apewe muda kama makocha wengine. Na acknowledge kwamba makosa mengine yanatokea kutokana na kurithi kwa makocha ambao hawakufanya vizuri miaka 3 iliyo pita hasa Moyes (LVG hakufanya vibaya ki matokeo, kuna mambo madogo tu alikuwa akikosea) piaIceman 3D,ningekuwa upande wako kama performance ya timu ingekuwa stagnant kiasi hicho,kila siku kuna kitu katika uchezaji na nafasi za kufunga zinatengenezwa za kutosha na shots on target ni wastani wa 5 kila game. Mou bado hastahili kunyooshewa vidole maana amekuwa akionyesha mabadiliko kila game. October ilikuwa mbaya lakini Nov tumepiga mpira mzuri,na attempts za kutosha. Huwezi kuifananisha man ya mou na ya lvg yenye back pass kibao ili kuongeza umiliki wa mpira. Let the man breath,
Waambie ukweli wenzako mkuu. The red devils' boat is sinking . Even though truth hurtsNime acknowledge kuwa napenda Mou apewe muda kama makocha wengine. Na acknowledge kwamba makosa mengine yanatokea kutokana na kurithi kwa makocha ambao hawakufanya vizuri miaka 3 iliyo pita hasa Moyes (LVG hakufanya vibaya ki matokeo, kuna mambo madogo tu alikuwa akikosea) pia
Huwa sipendi kumlaum kocha kwa kosa la mchezaji kukosa goli. Nalaumu ana react vipi akigundua kuna tatizo kama hilo.
Najua utasema, tunacheza vizuri ila bahat mbaya, nooo siyo bahat mbaya imetokea mara nyingi kias kwamba haitakiwi iwe bahat mbaya, tume draw na stoke, burnley, arsenal na west ham katika point 12 tumechukua 4 kwa mtindo huo huo. Tuna anza mpira slow, tumefungwa magoli ya mapema mengi kuliko timu nyingine kubwa yoyote, imetokea na chelsea, na Wale waturuki na juz.
Je kocha amefanya nn baada ya kuona hayo mambo yametokea ili kuimprove!!? Maana ndio kazi yake
Mpira wetu una lack quality kabsa ndio maana tuko hapa tulipo, na kama tutaendelea hivi bila kuchange, nyie wenyewe mtakuja kuongea huko mbeleni.
Unless wenzangu labda hamuangalii mpira, ila mara ya mwisho Mou kufanya sub ya maana kwenye ligi iliyo leta matokeo pale yalipo hitajika ni sub ya Rashford mechi na hull miezi almost mi 3 iliyo pita. Are watching different games guys!!?.
Kinacho tupa hope inatakiwa iwe ni utamaduni wetu wa kuwavumilia makocha na ushabiki wetu kwa timu yetu, ila currently mambo yanavyo enda ther z little or no hope. Wachezaji hawakosi kwenye lawama lakini Mou kama kocha namuweka mbele.
May be hapa kwenye uzi kulikuwa hakuna watu kama mimi enzi hizo you were all happy whether tumefungwa or not, but nimekuja i will be very critical as much as i can and when we win ntafurahia as much as i can, tuzoeane na tuvumiliane, na tupendane huku tukifurahia tofaut zetu za kimawazo sote ni wa timu moja.
*hakuna shabiki bora, sote ni mashabiki sawa, sote ni wana man utd bila kujali tuna toa maoni gani.