This is not fair, hope you are matured enough unaweza kuchuja pumba na isiyo pumba, tania uwezavyo lakini siyo mambo ya kutaniana Jinsia, Hili jukwaa la soka kumbukeni hamko wanaume peke yenu mpo na wanawake na wanawake pia wanapenda soka na sikuhizi wamekuwa wajumbe wazuri wa soka. ......huu ni udhalilishaji wa wanawake,kwahiyo mwanamke ni kidudu gani ambacho hakifai kikafananishwa na Man U??? ........bila hizo MPs mngekuwepo duniani nyie!!!, mngeitwa wanaume nyie!!

......jiongeze siyo kila kitu ukionacho ni cha kucopy na kupaste.