Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United boss Jose Mourinho charged by FA over touchline antics against West Ham | Daily Mail Online

Manchester United boss Jose Mourinho charged by FA over touchline antics against West Ham

Jose Mourinho has been charged with improper conduct by the FA after he was sent to the stands during Manchester United’s draw with West Ham at Old Trafford on Sunday.

Mourinho was dismissed from the touchline by referee Jon Moss for the second time in six games when he angrily kicked a water bottle in protest at Paul Pogba being booked in the first half.

The United manager has until 6pm on Thursday to respond to the charge – his third FA rap in the space of a month – and now faces being banned from the touchline for the second time this season.

3ACDA46000000578-0-image-a-110_1480279374632.jpg
Things are going helter-skelter for this man. Aache tu kui-coach hiyo timu ya wauza sura before the situation gets messy!
 
Mh....hili jukwaa watu wananunua viewers. Sahivi mnaelekea kufikisha viewer 30,000!!
 
Naomba niwe mkweli timu kama iko hovyo tuseme na ndio ilivo, wasiopenda ushindi ni tim gan!!? Hata Arsenal walio kaa a decade au Liver wamekaa almost 3 decades hawaja chukua ubingwa wana penda washinde, tujifunze kukosoa na kuisapot timu na ku kubali reality.

Glory hunters huwa wana switch tim ikishindwa, ila tunao kosoa bila kuhama lazima tuwepo, ni historia ya kujikosoa ndio ilifanya kina Scott Duncan wakaondoka akapatikana Matt Busby, tabia yakujikosoa ndio iliyo fanya kina Mc Guiness wakatolewa akarudishwa Sir Matt Busby, ndio kujikosoa kuliko fanya kina Rowan Atkinson wakatolewa akaja Sir Alex, kila kocha alivumiliwa kwa muda wake na alikosolewa kwa namna yake Mourinho naye hata kosa hapo.
Klabu yetu ina historia ndefu ya ups and downs, but when we were down sidhan kama mashabiki walikuwa kimya tuu wakisubiri kurudi juu.

Lazima tujikosoe because that's who we are and that is our history.

Cc All who thinks they are genuine fans and others are fake
Kukosoa ni muhimu sana but kosoa in a positive way...... sisi kama Man United hatuna negatives....... kuna wakati uvumilivu hutushinda and we shouted but all done in a positive way....... kuna wakati tulikuwa wavumilivu kwa Moyes lakini tukashindwa tukashout,akaja LVG tukashout lakini for good for our team, Hata Mournhio siyo kwamba hana madhaifu yake yapo mengi sana Hata wengine ilikuwa shida sana kumkubali kny Timu yetu as long as ni boss wetu hatuna budi kumpa ushirikiano wetu akishindwa kudeliver kilichomleta tutashout for good for our team........ my dear Iceman 3D Wewe ni mchambuaji mzuri sana wa soka na unajitahidi sana kuifatilia Timu yetu kwa uKaribu zaidi lakini yaani totally umekata tamaa mno yaani huoni lolote jema tena yaani kuna wakati unaongea as wasagasumu ndo maana unaona Man United wenzako wengi wanakupinga ......... anyway relax my dear yote tu tunachangamshana hapa jukwaani maisha ya hapa duniani yawe safi pengine Hata sauti Zetu hazifiki popote....... Let's enjoy life....GGMU
 
kuna wakati uvumilivu hutushinda and we shouted but all done in a positive way....... kuna wakati tulikuwa wavumilivu kwa Moyes lakini tukashindwa tukashout,akaja LVG tukashout lakini for good for our team, Hata Mournhio siyo kwamba hana madhaifu yake yapo mengi sana Hata wengine ilikuwa shida sana kumkubali kny Timu yetu as long as ni boss wetu hatuna budi kumpa ushirikiano wetu akishindwa kudeliver kilichomleta tutashout for good for our team........
Teehee teeehe naona muda wa kumuandikia barua Mou unakaribia vipi utatumie ile lugha kama uliyomuandikia LVG ama utabadili?

Btw I miss you, na poleni kwa kwa kukosa furaha
 
Tumeshindwa kufunga timu kadhaa lakini ukiweka kando jicho la ushabiki naona kuna improvement kubwa sana.Tatizo pekee naona ni kumpanga Rashford pembeni na kumweka bench Mikh.
Niliisubiri kwa hamu sana post yako mkuu, hadi nikajiuliza labda utakua umebadili ID ndio unaejiita ice man,

Nashukuru kwakua umekua muwazi kwamba kuna improvement, japo humpendi jose
 
Teehee teeehe naona muda wa kumuandikia barua Mou unakaribia vipi utatumie ile lugha kama uliyomuandikia LVG ama utabadili?

Btw I miss you, na poleni kwa kwa kukosa furaha
Hahahaha Time will tell...... yaani hunishindi kwa jinsi nilivyokumiss, Jana nilitamani sana kuja kukupa hi kule nyumbani kwenu ila ikabidi mtu mzima nife kikondoo, siku hizi mnajidai mno mko mashauzi classic,tusikae Hata kibarazani kwenu tu mshatushitaki kelele mingiii!!!!!........ heheheeee rafiki pole kwa vijembe ..... karibu sana kwetu Asante bana ni kaupepo tu kanapita haka tutakaa sawa tu...... Hongera sana yaani siku hizi full shangwe mko vizuri kwakwelii
 
Hahahaha Time will tell...... yaani hunishindi kwa jinsi nilivyokumiss, Jana nilitamani sana kuja kukupa hi kule nyumbani kwenu ila ikabidi mtu mzima nife kikondoo,

Usinifanyie hivyo nyumba bila mgeni hainogi mtani hata mara moja kwa wiki siyo mbaya

siku hizi mnajidai mno mko mashauzi classic,tusikae Hata kibarazani kwenu tu mshatushitaki kelele mingiii!!!!!........ heheheeee rafiki pole kwa vijembe ..... karibu sana kwetu Asante bana ni kaupepo tu kanapita haka tutakaa sawa tu...... Hongera sana yaani siku hizi full shangwe mko vizuri kwakwelii

Asante.... Raha ya ushindi lazima ionekane mtani
 
Niliisubiri kwa hamu sana post yako mkuu, hadi nikajiuliza labda utakua umebadili ID ndio unaejiita ice man,

Nashukuru kwakua umekua muwazi kwamba kuna improvement, japo humpendi jose

Mkuu nimetazama mechi tano nyumbani ili kuongeza umakini kidogo,unajua unapokuwa na mashabiki wengi unapoteza umakini kwasababu ya kelele na ghasia za hapa na pale.

Mosi,tumekosa bahati kama team,mara nyingi unashangaa tunamiliki mpira vizuri,tunashambulia sana,tunacheza mpira final third na kosa kosa kibao.

Lazima tukubali tena bila ubishi Zlatan umri umemkamata sana,laiti tungempata miaka mitano au saba iliyopita tungezungumza mengine.Man ni chama kubwa haiwezi kubebwa na mshambuliaji mwenye umri wa miaka 36 ingekuwa kipa sawa lakini si mshambuliaji tena katika EPL.

Mikh ni mchezaji mzuri sana ana uwezo wa kupunguza mabeki,ana uwezo wa kufunga ana nguvu na ana akili kubwa ya mpira.Kuendelea kumweka bench nadhani ni kosa kubwa sana hasa kipindi hiki kuelekea mwisho wa mwaka.

Rashford ni mchezaji mzuri sana anastahili kuwepo kikosini lakini si pembeni.Huyu ni mshambuliaji wa kati sioni mantiki ya kumweka pembeni nafasi ya winger wakati uwezo wake wa kukaba timu inaposhambuliwa ni mdogo sana.Nina uhakika mechi yetu na Arsenal angekuwepo Young Chamberlain asingeweza kupiga cross iliyozaa goli la kusawazisha.

Mwisho ningependa kocha abadili mbinu (formation) pale kati badala ya kumtegemea Zlantan pengine Rashford angongezwa kwasababu team nyingi zimeshajua namna ya kucheza na Man wakimkaba vizuri Zlatan tunakosa ujanja wa kushinda.
 
Usinifanyie hivyo nyumba bila mgeni hainogi mtani hata mara moja kwa wiki siyo mbaya

Asante.... Raha ya ushindi lazima ionekane mtani
Nitatafuta njia mbadala ya kukusalimu ....... Haya Enjoy life majira kama Haya nilikuwa nakufutaga machozi wewe kweli kila jambo na majira yake ........
 
Usinifanyie hivyo nyumba bila mgeni hainogi mtani hata mara moja kwa wiki siyo mbaya

Asante.... Raha ya ushindi lazima ionekane mtani
Mweeeeeeeh.......
Nitatafuta njia mbadala ya kukusalimu ....... Haya Enjoy life majira kama Haya nilikuwa nakufutaga machozi wewe kweli kila jambo na majira yake ........
Aiiiiiiiiih....
 
Sikuwezi kwa uwivu Ntuzu wangu!!!...... Jana niliwatembelea huko kwenu hujaniona.... mzima lakini sweet?
Mahaba bila ya wifu(wivu) hayo sio mahaba.

Aisee mi Niko pouwa tu. Nimeona umetutembelea. Naona pia baba aangu José bado anajaribu kuweka timu sawa! Mvumilieni timu itakaa sawa tu. Pia naona anataka kumchukua Obi km DM wenu.
 
Mkuu nimetazama mechi tano nyumbani ili kuongeza umakini kidogo,unajua unapokuwa na mashabiki wengi unapoteza umakini kwasababu ya kelele na ghasia za hapa na pale.

Mosi,tumekosa bahati kama team,mara nyingi unashangaa tunamiliki mpira vizuri,tunashambulia sana,tunacheza mpira final third na kosa kosa kibao.

Lazima tukubali tena bila ubishi Zlatan umri umemkamata sana,laiti tungempata miaka mitano au saba iliyopita tungezungumza mengine.Man ni chama kubwa haiwezi kubebwa na mshambuliaji mwenye umri wa miaka 36 ingekuwa kipa sawa lakini si mshambuliaji tena katika EPL.

Mikh ni mchezaji mzuri sana ana uwezo wa kupunguza mabeki,ana uwezo wa kufunga ana nguvu na ana akili kubwa ya mpira.Kuendelea kumweka bench nadhani ni kosa kubwa sana hasa kipindi hiki kuelekea mwisho wa mwaka.

Rashford ni mchezaji mzuri sana anastahili kuwepo kikosini lakini si pembeni.Huyu ni mshambuliaji wa kati sioni mantiki ya kumweka pembeni nafasi ya winger wakati uwezo wake wa kukaba timu inaposhambuliwa ni mdogo sana.Nina uhakika mechi yetu na Arsenal angekuwepo Young Chamberlain asingeweza kupiga cross iliyozaa goli la kusawazisha.

Mwisho ningependa kocha abadili mbinu (formation) pale kati badala ya kumtegemea Zlantan pengine Rashford angongezwa kwasababu team nyingi zimeshajua namna ya kucheza na Man wakimkaba vizuri Zlatan tunakosa ujanja wa kushinda.
Mimi maoni yangu Zlatan apunguziwe muda,Mou arudishe confidence ya Martial na Rashford acheze nafasi yake km Mshambuliaji asikabe ,Darmian kwa kweli Hapana bora Blind,Valencia azidi kuimarishwa,Herrera asirudi nyuma acheze nafasi yake,Mata is mattered kwakweli apewe naye nafasi zaidi......
 
Mahaba bila ya wifu(wivu) hayo sio mahaba.

Aisee mi Niko pouwa tu. Nimeona umetutembelea. Naona pia baba aangu José bado anajaribu kuweka timu sawa! Mvumilieni timu itakaa sawa tu. Pia naona anataka kumchukua Obi km DM wenu.
Mhhhh!!! Tetesi sijui sana ila si unajua tena kila mchezaji lazima ahusishwe na Man U .....
 
One win in Sept
One win in October
One win in November

Man Utd's wins Becoming once in a Month like Menstrual Cycle.

Call them [HASHTAG]#WomanUnited[/HASHTAG]
If they will not win in December we will know Man U is pregnant

ROBERT MUGABE..
 
Nitatafuta njia mbadala ya kukusalimu ....... Haya Enjoy life majira kama Haya nilikuwa nakufutaga machozi wewe kweli kila jambo na majira yake ........
Hiyo njia mbadala ... hahaha nilikwambia kuwa mmechukua 'the cursed cup' ukanikatalia nadhani unaona mwenyewe. .. pole sana mtani
 
Back
Top Bottom