Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Solution sio kununua wachezaji tu ni jinsi ya kuwatumia wachezaji ulionao LVG aliwanunua DiMaria,Depay,Darmian,Rojo,Schneiderlen,Falcao na wote wamechemsha

Mourinho ameongeza mengi kwenye defence na midfield tatizo lililobaki ni kufunga magoli tu.LVG aliongeza nini ndani ya miezi 4 ?
LVG alijitahidi sana ndio msimu wa mwaka jana kuna miezi tulikuwa disastrous ila siku zote alianza vyema na kumaliza kidogo alikuwa sawa, aliondoka ana Kombe la FA kidogo hata ka momentum kalikuwepo we never know mwaka huu angeanzaje.

Ila Mou interms of results karudi nyuma, interms of tempo kaongeza tempo na bahat mbaya mwaka huu de gea ana kosa consistency hapo ndio shda ilipo. Ila ikitokea Mou akawa na mwezi mbaya mmoja tuu, tuko hatarini though van gaal mwaka jana mwezi wa 12 mpaka wa pili alikuwa na kipindi kibovu ali manage ku fikisha point sawa na City though magoli ndio yali muumiza.
Looking back ,LVG was that bad hata hivo.
 
Unalinganisha miezi 4 ya Mourinho na miaka 2 ya LVG,LVG msimu wa kwanza alichemsha lakini tulimuelewa msimu wa pili licha ya kuchukua FA timu ilikuwa inazidi kudidimia na last season Chelsea na Liverpool walikuwa vibonde tofauti na msimu huu,kombe la FA hata Mourinho anaweza chukua.Ni mapema sana kuanza kusema Mourinho hafai
 
Tangu SAF ameondoka timu haijawahi kuwa vizuri but now timu inacheza vizuri ukilinganisha na msimu uliopita the problem ni kwamba haipati matokeo

Points zipi ?
Timu ikishinda mechi nyingi inapata point nyingi finally inachukua ubingwa

Hivi matokeo si yanatokana na points? Ulisema mnacheza vizuri hampati matokeo. Matokeo yatatokanaje bila kushinda na kupata points katika mechi mliyocheza.

Stats za msimu uliopita after 13 games ni kuwa mlikuwa nafasi ya pili(1point difference from the leader) katika ligi, leo mpo nafasi ya 6 (11points difference from the leader)
Stats za Chelsea msimu uliopita after 13 games walikuwa nafasi ya 15 (13points difference from the leader)... Unajua common ground mliyonayo na waliyokuwa nayo Chelsea msimu uliopita?
 
Kwa mtizamo wangu binafsi tunaitaji 4-4-2....beki km shaw awepo uwanjani na juu yake awepo winger km depay au matrial....rashford naisi atusaidi kwa sana tukimtumia km winger...kwa mtazamo wangu rashford tumtumie zaid km mshambuliaji wa kati atatusaidia zaid
 
Who are you to tell me how to be?! Gosh!! How are old you?

NB: is it just me or what? I have seen an increased trend of really dumb comments! Excuse my French guys, but, I seem to have failed to tolerate such a trend!
I am afraid its just you. Wenzako washausoma mchezo na wanaelewa the status quo ya timu yenu. [HASHTAG]#Povu[/HASHTAG]
 
Ligi bado mbichi hii,we'll bounce back we're United nawaonea huruma Everton maana tutawafanya kitu mbaya.
GGMU....
 
mie kikosi changu kingekuwa hivi

1- De Gea
2- Valencia
3- Shaw
4- Jones
5- Blind
6- Herrera
7- matta
8- Pogba
9- Zlatan
10- Rooney
11- Mikhitariyan
 
Unalinganisha miezi 4 ya Mourinho na miaka 2 ya LVG,LVG msimu wa kwanza alichemsha lakini tulimuelewa msimu wa pili licha ya kuchukua FA timu ilikuwa inazidi kudidimia na last season Chelsea na Liverpool walikuwa vibonde tofauti na msimu huu,kombe la FA hata Mourinho anaweza chukua.Ni mapema sana kuanza kusema Mourinho hafai
Kumbuka chelsea walikuwa vibonde na walikuwa under Mourinho, tha issue ni je uwezo wa Mourinho bado uko sawa!!?,jibu ni hapana.
Je tufanyeje sasa!!? Tumuache amalize msimu lakini tuwe na mategemeo kidogo sanaa ya kuwepo hata top 6 hiyo. May be mwakani atakaa vizuri but we have a very long and turbulant season bro jiandae kwa yote
 
timu ikiwa na hali mbaya huvuta mijadala na kujaza pages.....!!!!

jana almanusra westham wawamalize kabisa iwe 2-1 jukwaa ili lingejaa MAPOVU ya kufa mtu

zamu yenu kujaza pages dadeki.....na bado mtaandika sana, nimewambia start counting msimu huu wa nne....ifike mpaka 10 then ndo mtachukua EPL ....

siko serious sana wadau msije kuniua bure utani jama......

Khe khe khe khe kheeeeee!!!!!!
 
Sasa kama tulikuwa na zero shots tulishindaje mechi nyingi kuliko za Mou!? Nenda kacheki msimamo wa mwaka jana tukiwa tumecheza mwch 13 uone.

Halafu haiwezekani Makipa wa nne wote wanajihidi wakiwa Old Trafford tuu, ila sisi hatujui kushambulia, jambo ambalo ni bora u create chance chche uzitumie kuliko tunavo crate nyingii halafu hatutumii
Mkuu ulikua unaangalia mechi zetu lakini? Bila De gea mwaka jana hata hiyo Europa ligi tusingecheza... Hiyo europa De gea ndio katupeleka!
 
Mkuu ulikua unaangalia mechi zetu lakini? Bila De gea mwaka jana hata hiyo Europa ligi tusingecheza... Hiyo europa De gea ndio katupeleka!
Tukubali kuwa de gea wa mwaka jana si wa mwaka huu, kwa kweli alituokoa
Lakini pia nasi tulifunga magoli, inakuwaje now timu yetu ina piga shot nyingi na bado hazina magoli!!?
Je kocha kachukua uamuzi gani mpaka sasa!!?
Je de gea hatuokoi tena!!?
Je hatuna wachezaji wazuri!!?

Je timu yetu ina first eleven!!?

Wenzetu timu zao unajua kabisa kikosi ana anza fulan na fulan unaujua kabsa mfumo kiwa wenzetu wanacheza mfumo huu unao accommodate wachezaj hawa hapa.Sisi hatuna, Mou bado hata hajui kuwa nan ni first eleven.

LvG hakuwa na first eleven pia kilicho muokoa yeye alikuwa na falsafa yaan kila mchezaji aki ingia ana jua akafanyaje japo saa nyingine ili m cost mechi, ali manage kuwa wa Nne, na wa tano(huku akiachwa na wanne kwa magoli tu) na kombe la FA, nilitegemea Mou angebadilika ila naona anaendelea kumfuata lakin yeye bila kuwa na first eleven, na stail inayo eleweka hawezi toboa. Jiandae kaka msimu huu hautakiwa rahisi kwetu labda mou abadilike sanaa.
 
Kumbuka chelsea walikuwa vibonde na walikuwa under Mourinho, tha issue ni je uwezo wa Mourinho bado uko sawa!!?,jibu ni hapana.
Je tufanyeje sasa!!? Tumuache amalize msimu lakini tuwe na mategemeo kidogo sanaa ya kuwepo hata top 6 hiyo. May be mwakani atakaa vizuri but we have a very long and turbulant season bro jiandae kwa yote

Baada ya SAF kustaafu nilijua United itapata sana taabu hakuna kocha ambaye angeweza kufanikiwa kama yeye so yanayotokea sishangai sana although nilitegemea makubwa sana kutoka kwa LVG hasa msimu wa pili lakini alizidi kunidisapoint,Bado kuna fixture ya December tukishinda tutakuwa kwenye nafasi nzuri

Misimu ya mwisho ya SAF tulikuwa na tatizo la kiungo ambalo Moyes na LVG liliwashinda kutatua na mechi nyingi timu ilikuwa inashambuliwa sana De Gea akawa anatuokoa.

Since Jose amekuja na kumleta Pogba na kumrudisha Herrera kucheza kama DM/Holding now timu inacheza vizuri na muda mwingi tunacheza kwenye half ya wapinzani tofauti na enzi ya LVG muda mwingi tulikuwa tunacheza kwenye half yetu

Matatizo yaliyopo so far

1.Jose ametengeneza mfumo ambao unamtegemea sana Ibra kufunga so akibanwa inakuwa ngumu timu kushinda

2.Mfumo uliopo unategemea fullback kwenda kushambulia na kwa sasa Valencia tu ndio anaweza,upande wa kushoto umekuwa tatizo kutengeneza nafasi,tunalazimisha sana kupita upande mmoja

3.Kumrudisha Herera kucheza nyuma kumepunguza idadi ya magoli,Herrera misimu iliyopita ukiacha Mata yeye ndio alikuwa kiungo aliyefunga magoli mengi ni mfungaji mzuri sana akicheza advanced role ukimlinganisha na Pogba

4.Martial/Rooney hawako kwenye form

Mapendekezo

1. Jose ajaribu kuwa flexible na formation sio lazima kucheza 4-2-3-1/4-3-3 sometimes apange 4-4-2 Zlatan acheze na Rashford

2.Kuliko kuanza na Darmian kushoto ni bora aanze Young/Blind ni mzuri kwenye kushambulia kuliko Darmian

3.Rashford asicheze winger pembeni sio mzuri na sio mzuri kurudi kukaba ,Mikhtarian/Martial ndio wanaweza kucheza
 
timu ikiwa na hali mbaya huvuta mijadala na kujaza pages.....!!!!

jana almanusra westham wawamalize kabisa iwe 2-1 jukwaa ili lingejaa MAPOVU ya kufa mtu

zamu yenu kujaza pages dadeki.....na bado mtaandika sana, nimewambia start counting msimu huu wa nne....ifike mpaka 10 then ndo mtachukua EPL ....

siko serious sana wadau msije kuniua bure utani jama......

Khe khe khe khe kheeeeee!!!!!!

Tutakapofika wa 10 nyie mtakuwa wa 20,au msimu huu mnachukua maana mlishajenga uwanja ?
 
Baada ya SAF kustaafu nilijua United itapata sana taabu hakuna kocha ambaye angeweza kufanikiwa kama yeye so yanayotokea sishangai sana although nilitegemea makubwa sana kutoka kwa LVG hasa msimu wa pili lakini alizidi kunidisapoint,Bado kuna fixture ya December tukishinda tutakuwa kwenye nafasi nzuri

Misimu ya mwisho ya SAF tulikuwa na tatizo la kiungo ambalo Moyes na LVG liliwashinda kutatua na mechi nyingi timu ilikuwa inashambuliwa sana De Gea akawa anatuokoa.

Since Jose amekuja na kumleta Pogba na kumrudisha Herrera kucheza kama DM/Holding now timu inacheza vizuri na muda mwingi tunacheza kwenye half ya wapinzani tofauti na enzi ya LVG muda mwingi tulikuwa tunacheza kwenye half yetu

Matatizo yaliyopo so far

1.Jose ametengeneza mfumo ambao unamtegemea sana Ibra kufunga so akibanwa inakuwa ngumu timu kushinda

2.Mfumo uliopo unategemea fullback kwenda kushambulia na kwa sasa Valencia tu ndio anaweza,upande wa kushoto umekuwa tatizo kutengeneza nafasi,tunalazimisha sana kupita upande mmoja

3.Kumrudisha Herera kucheza nyuma kumepunguza idadi ya magoli,Herrera misimu iliyopita ukiacha Mata yeye ndio alikuwa kiungo aliyefunga magoli mengi ni mfungaji mzuri sana akicheza advanced role ukimlinganisha na Pogba

4.Martial/Rooney hawako kwenye form

Mapendekezo

1. Jose ajaribu kuwa flexible na formation sio lazima kucheza 4-2-3-1/4-3-3 sometimes apange 4-4-2 Zlatan acheze na Rashford

2.Kuliko kuanza na Darmian kushoto ni bora aanze Young/Blind ni mzuri kwenye kushambulia kuliko Darmian

3.Rashford asicheze winger pembeni sio mzuri na sio mzuri kurudi kukaba ,Mikhtarian/Martial ndio wanaweza kucheza
Ngoja tuone ila mwenzio hapa tim yetu sidhani kama inaelekea kwema, naombea timu ifanikiwe kwani ni furaha yetu sote mashabiki ngoja tusubiri.
 
Ila mkuu hivi ukimuangalia Mou unahisi ameongeza nn zaid ya kuwa na high tempo tuu.
Hana style maalum, hana wachezaj maalum, ukizingatia alipata chance ya ku spend kuliko Van Gaal, naona tumerudi nyuma kuliko alipo tuacha Van Gaal. Kumbuka sasa tuko wa sita kwa sabu tu everton na Watford hawapati matokeo mazuri.

Siamini katika kubadilisha hovyo makocha, lakini namuona Mou ni kama anapotea kwa sasa
tatizo la mashabiki hawataki kuambiwa ukweli" morihno zama zake zimeisha.......... nilishalisema hili tokea akiwa chelsea na nilitofautiana na mashabiki wenzangu wa chelsea, anahaha tu ataanza kuwalaumu marefa mpaka wachezaji wkt yeye ndio tatizo.

hamkupewa penalt sawa, je kwa nini msingeshinda magoli mengine kama timu ipo vizuri.

manyau mkimaliza nafasi 10 mungu yupo upanfe wenu.
 
Manchester United boss Jose Mourinho charged by FA over touchline antics against West Ham | Daily Mail Online

Manchester United boss Jose Mourinho charged by FA over touchline antics against West Ham

Jose Mourinho has been charged with improper conduct by the FA after he was sent to the stands during Manchester United’s draw with West Ham at Old Trafford on Sunday.

Mourinho was dismissed from the touchline by referee Jon Moss for the second time in six games when he angrily kicked a water bottle in protest at Paul Pogba being booked in the first half.

The United manager has until 6pm on Thursday to respond to the charge – his third FA rap in the space of a month – and now faces being banned from the touchline for the second time this season.

3ACDA46000000578-0-image-a-110_1480279374632.jpg
 
Back
Top Bottom