Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbona dogo first half alikua yuko poa ila alionesha kama kupaniki maana alikua anafanya faulo sana na kurudisha ovyo kwa jones, kipindi cha pili mwanzoni ndio alipotea but akaja kujirudi,
So far timu inacheza vizuri mara 1000 zaidi ya van gaal, tatzo ni umaliziaji tu na special one lazima atakua analitafutia ufumbuzi, hajawahi kushindwa.

All the best. For as long as sio tishio kwa uwepo wetu kileleni kila la kheri kwenu!

I still love Jose sometimes huwa napata shida kuwatania.

I love Jose and Mata...ila mara mojamoja vijembe muhimu na martial artist wenu Zlatan!!!

Hahaha ila very funny...Jose (coach) has more red cards than Lahm (defender)!!!! [HASHTAG]#think[/HASHTAG]
 
Tangu SAF ameondoka timu haijawahi kuwa vizuri but now timu inacheza vizuri ukilinganisha na msimu uliopita the problem ni kwamba haipati matokeo
Kweli kabisa maana ilikuwa butua ila kwa sasa inacheza vizuri
 
All the best. For as long as sio tishio kwa uwepo wetu kileleni kila la kheri kwenu!

I still love Jose sometimes huwa napata shida kuwatania.

I love Jose and Mata...ila mara mojamoja vijembe muhimu na martial artist wenu Zlatan!!!

Hahaha ila very funny...Jose (coach) has more red cards than Lahm (defender)!!!! [HASHTAG]#think[/HASHTAG]
Hahahaaa I would rather have Mourinho suspended in every match than LVG sitting and taking notes in every match,
 
Nakuelewa Jose alishasema ni ngumu kufuta historia yake pale Chelsea
 
Una Blind moja kati ya mabeki bora wa pembeni wenye kujua kupiga krosi zenye macho, unamng'ang'ania Darmian.

Nimeanza kukosa imani na mbinu za Mourinho.

Ubingwa tushakosa hata nafasi ya Uefa tunaelekea kuikosa.

Hili ni moja ya kosa kubwa sana Jose analifanya,mfumo anaotumia unategemea fullback wanaoshambulia lakini Darmian hawezi hiyo kazi ni bora hata acheze Young/Blind.Game ya jana tulikuwa tunashambulia kupitia upande mmoja tu (kulia)
 
Hahahaaa I would rather have Mourinho suspended in every match than LVG sitting and taking notes in every match,

Ukiangalia statistics mpaka sasa mou yuko nyuma ya van gaal kwa goals scored, chances created na pissession nadhani LvG tatizo lake lilikuwa side passes tu
 
Pia waungwana naona hata gem za Europa zina tu cost kwa ligi, maana kila tukitoka Europa tukicheza ligi ni majanga labda tubadili malengo tukamie Europa kama Liva walivo fanya last year
 
24c8904ecd3db1893761daf85aa84e3b.jpg
kikosi cha leo
Uyu rashford ndio anatia gundu man u

Mourinho ni mpuuzi sana anapanga kikosi cha kipuuzi puuzi sana.nadhani katumwa aje kuivuruga untd
 
Ukiangalia statistics mpaka sasa mou yuko nyuma ya van gaal kwa goals scored, chances created na pissession nadhani LvG tatizo lake lilikuwa side passes tu

Hapana kipindi cha LVG kutengeneza chances ilikua ngumu sana. Timu inacheza dakika 90 inatoka na 1 shot on target. Sasa hivi tunauwezo wakutengeneza chances za kufunga na shots on target nyingi sana. Tatizo ni umaliziaji tu.
 
Ni kweli i meant more shots per game
Wachezaji wa van gaal waliuwa wana funga sana kuliko wa Mourinho.
Na Mou kaiptwa point 7 na van gaal mpaka sasa
 
Ukiangalia statistics mpaka sasa mou yuko nyuma ya van gaal kwa goals scored, chances created na pissession nadhani LvG tatizo lake lilikuwa side passes tu
Statistics za wapi hizo mkuu.. Enzi za lvg tuliongoza kwa pass huku tukiwa na zero shot/attempt! Sasa hivi tunacreate chances ni vile bahati haijawa kwetu tu.. Ukiangalia mechi za burnley, arsenal, stoke na hata ya jana unaona ni jinsi gani makipa wao wamecheza vizuri, tutatisha tu mi naamini mou ndio kocha sahihi. Niliachaga kuangalia mechi zetu enzi za moyes na van gaal ila kwa sasa naangalia mechi vizuri kabisa pamoja na kwamba matokeo hayajawa mazuri...
 
Dah! Yaani unatumia Liverpool kama mfano wa kuigwa na Man United?!? Wewe ni shabiki wa United kabisa?!?
Ee ni shabiki wa Man Utd lazima tuwaige wao, au tutoke Europa tukamie ligi.
 
Statistics za wapi hizo mkuu.. Enzi za lvg tuliongoza kwa pass huku tukiwa na zero shot/attempt! Sasa hivi tunacreate chances ni vile bahati haijawa kwetu tu.. Ukiangalia mechi za burnley, arsenal, stoke na hata ya jana unaona ni jinsi gani makipa wao wamecheza vizuri, tutatisha tu mi naamini mou ndio kocha sahihi. Niliachaga kuangalia mechi zetu enzi za moyes na van gaal ila kwa sasa naangalia mechi vizuri kabisa pamoja na kwamba matokeo hayajawa mazuri...
Sasa kama tulikuwa na zero shots tulishindaje mechi nyingi kuliko za Mou!? Nenda kacheki msimamo wa mwaka jana tukiwa tumecheza mwch 13 uone.

Halafu haiwezekani Makipa wa nne wote wanajihidi wakiwa Old Trafford tuu, ila sisi hatujui kushambulia, jambo ambalo ni bora u create chance chche uzitumie kuliko tunavo crate nyingii halafu hatutumii
 
Back
Top Bottom