Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Consoling you...

Leo nimejua ushabiki wako uko wapi...hahahahahahahahaha
Wewe hauna tofauti na al-marhum Sheikh Yahya. Jiliwaze tu. Huwezi kujua ushabiki wangu kwa sababu sina ushabiki. Unabahatisha kama Laisi wangu, wachumi wanasema uchumi unakuwa kwa kasi, wadanganyika wanaomba miaka 5 iishe ili waondoke na viwanda vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…