Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpira bana sometime fumbo sana mmesema Rooney hafai ndo kapachika goli km vile amewasikia
Mpira bana sometimes unamfanya mtu kuwa kigeugeu ... umefurahi mkishinda mkifungwa unakuja kutoa sababu zako zile teeeehe teeehe
Safiiii GGMU....Asanteni wote kwa ushirikiano wenu nimeinjoi my weekend......haya waleteeeeeeeeeeeee haoooooooo Leicester ......nice weekend bora August iingie tuanze ligi
 
1470025286498.jpg
 
Hello ma fans wenzang wa manchester united ...kuna account ya instagram imefunguliwa mahususi kwa ajili ya mashabiki wa man utd tanzania njooni tukutane hapa tujenge umoja ambao tutaufurahia, tu commentkwa wingi na siku za usoni tunaweza kufanya mambo mazuri ikiwemo kwenda hata uwanja wa old traford. Tunataka wajue kua tanzania kuna mashabiki wengi wa timu yao wanayoipenda. Account ya instagram inaitwa ....manutz_fans
karibuni. Na karibu paul pogba
 
Back
Top Bottom