everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Tukiendelea hiv hiv naona tutaliwa bila ky
acha maneno makali, wacha tufungwe tuone madhaifu yetu.Tukiendelea hiv hiv naona tutaliwa bila ky
acha maneno makali, wacha tufungwe tuone madhaifu yetu.
Nimefuta kauli... Ila kiukwel sijajiskia aman kwa mpira huu tunaocheza... Ngoja tuone second half![]()
![]()
acha maneno makali, wacha tufungwe tuone madhaifu yetu.
Aisee huo ndo ukweli ndugu, nahic nimepoteza iman nae kabisani wakat was Rooney kuachia namba sasa.
ni wakat was Rooney kuachia namba sasa.
Sijapenda kabisa tunavyocheza......bado tunacheza na golikipa sana ....na hamna midfielder kabisa.....
Roonnnnnneeeeeey... Man u 3-gala 2Mpira bana sometime fumbo sana mmesema Rooney hafai ndo kapachika goli km vile amewasikia![]()
![]()
![]()
Wahaoooo naona kina Fellain na Morgan wameleta uhaiRoonnnnnneeeeeey... Man u 3-gala 2