Sa kwani man u si timu ya wabovuMpira bana sometime fumbo sana mmesema Rooney hafai ndo kapachika goli km vile amewasikia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Arsenal tenaFelainiiiiii.... Ha ha ha.. Nishaanza kuongea jeuri hapa nilipokaa maana nilivozungukwa na majitu ya arsenal...
Utakimbia hapa hahahaSafiiii GGMU....Asanteni wote kwa ushirikiano wenu nimeinjoi my weekend......haya waleteeeeeeeeeeeee haoooooooo Leicester[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ......nice weekend bora August iingie tuanze ligi[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
Mkuu nilikua nimewekwa kati na washabiki wa arsenal, nilisemwa sana tulivopigwa goli la pili, nikataka kukimbia wakanikamata, baada ya goli kurud na ushndi juu wakaanza kutafutana..Arsenal tena
Walikuwepo wote, ila c unajua mkubwa mkubwa tu...Hivi kwani akina Brumas na mathias hawakuwepo..make wana midfilder wao brumas..namkubali...au hakucheza nin...GAL mliwapiga kweli au naota
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 duuuuuh...nasikia lecister city walipewa onyo kali 4:0 wasirudie tena...Walikuwepo wote, ila c unajua mkubwa mkubwa tu...
Ila kwa mziki waliotuchezesha kipindi cha kwanza mbona jasho lilitoka kwenye kiyoyozi..
Mkuu watu wanfundishwa kuuwa sio mpira, hawana huruma , ni kipigo tu...😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 duuuuuh...nasikia lecister city walipewa onyo kali 4:0 wasirudie tena...
😎 😎 😎 😎Mkuu watu wanfundishwa kuuwa sio mpira, hawana huruma , ni kipigo tu...View attachment 373819
Yaani mi nipogo hapa never escape, Wewe utakuwa mtu wa kwanza kunikimbia kule kwenu.!![emoji3]Utakimbia hapa hahaha
Wapi tena nasubiri kwa hamuYaani mi nipogo hapa never escape, Wewe utakuwa mtu wa kwanza kunikimbia kule kwenu.!![emoji3]