Inner victory
Member
- Nov 13, 2013
- 48
- 10
Pogba ana white bleach sasa hivi. So hiyo ni ya zamani.
zitabaki kuwa tetesi tu hadi dirisha linafungwa. haji man u.Ipe maneno hii picha.
![]()
zitabaki kuwa tetesi tu hadi dirisha linafungwa. haji man u.
Uliona wapi kibaya kinafuatwa wanaugua sana na mambo yetu kuliko timu zao.Walete walete, wasaga sumu hamkauki jukwaani kwetu. si muende kwenu mkawaongelee akina Takuma wenu
UsiniambieUliona wapi kibaya kinafuatwa wanaugua sana na mambo yetu kuliko timu zao.
Hivi guys, game yetu na gara ni saa ngapi leo?.
BACK TANGANYIKA
Ndo khabari hiyo.Usiniambie
Kwamba mmesanda kumng'oa pogbaNdo khabari hiyo.
Nahic kukipenda hicho kikosi ghafla.. Tukutane muda muafak
Nahic kukipenda hicho kikosi ghafla.. Tukutane muda muafak
Kikosi kizuri, naamin huyu mzee akipeww muda na mipesa tu , man u inarudi enzi zake...kikosi kizuri sana
Kikosi kizuri, naamin huyu mzee akipeww muda na mipesa tu , man u inarudi enzi zake...
Naomba uninunulie moja tuHii Jersey ni matata sana
![]()
