Huyu ni mchezaji ambae man u haitakiwi kumkosa uwanjani..uwepo wake tu unawapa nguvu wengine..Mpira bana sometime fumbo sana mmesema Rooney hafai ndo kapachika goli km vile amewasikia![]()
![]()
![]()




















Kwa mpira kama huu mtauwa wengi. Mnatishaaa vs Gozigozilatary
Kwa mpira kama huu mtauwa wengi. Mnatishaaa vs Gozigozilatary
Mkuu..naona..unatufuatilia...kwa..ukaribu....sana.Hivi hawa Galatasay wapo katika Europa League au Champions League msimu huu?
Wenger ndo naniUsisahau Wenger hajawahi kumfunga Mourinho

Safiiii GGMU....Asanteni wote kwa ushirikiano wenu nimeinjoi my weekend......haya waleteeeeeeeeeeeee haoooooooo Leicester![]()
![]()
![]()
......nice weekend bora August iingie tuanze ligi
![]()
![]()
![]()
![]()