sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,852
Tukiwa connected tunapata nini?Fanya ku follow ktk instagram "manutz_fans" tuwe connected mashabik wa man u
Tukiwa connected tunapata nini?Fanya ku follow ktk instagram "manutz_fans" tuwe connected mashabik wa man u
wengine JF inatoshaFanya ku follow ktk instagram "manutz_fans" tuwe connected mashabik wa man u
asante wengine JF inatosha.Fanya ku follow ktk instagram "manutz_fans" tuwe connected mashabik wa man u
Hivi Pogba saga limenasia wapi?
Tunazungumzia mechi na Everton mambo ya Pogba hayakuhusu.
Hawa tunawasikiaga kila mwanzoni mwa ligi. Ligi ikifikia mwishoni mwishoni utawasikia kwa nini hawamfukuzi LVG,Mourinho blah blah. Unakumbuka LVG alipochukuwa usukani mlikuwa mnachongaje hapa?
Hawa tunawasikiaga kila mwanzoni mwa ligi. Ligi ikifikia mwishoni mwishoni utawasikia kwa nini hawamfukuzi LVG,Mourinho blah blah. Unakumbuka LVG alipochukuwa usukani mlikuwa mnachongaje hapa?
kuanzia wiki ijayo tutaona nani mwenye hopes ya kucheza kila J4 na J5...Keep stalking on United as you see Arsenal's side has no hopes for tommorow.
Around...saa..21:30 EAT.Hivi game sangapi wadau?
Ahsante mkuuAround...saa..21:30 EAT.
Ndio naandikaje huko fb ili kuipata page yake halisiWanaotaka kuangalia mechi wapitie kwenye account ya facebook ya wayne rooney.