Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duh!yaani tumekuwa kama watoto mchana kanacheza uzuri tu ikifika usiku kanachemka kweli inabidi mkapeleke dispensary.Ila tutakaa uzuri hawa vijana ikipatikana chemistry kitaeleweka groly groly man United.
 
Baada ya msimu uliopita hata Man United walianza vizuri sana kwenye game 10 za mwanzo kabla ya kufungwa na Arsenal 3-0 hata mi nilikuwa na matumaini ya ubingwa,sababu ziko nyingi

1.Majeruhi-hii ni sababu kubwa iliyosababisha haya ,tulivyoanza ligi Shaw alikuwa anacheza vizuri na walikuwa wanaelewana sana na Depay tangu alivyoumia Depay nae akapotea.Shaw,Darmian,Rojo,Smalling,Jones,Carick,Martial,Rooney,Fellaini,Young,Valencia wote wanapokezana majeruhi

2.Kutosajili striker,msimu huu tatizo kubwa la timu ni kutotengeneza nafasi na kufunga magoli,LVG alipaswa kusajili striker.Martial anacheza vizuri winga ni mzigo mkubwa kumuachia Rooney kufunga while umri ushamtupa

3.Mfumo wa kocha na substution zake, tatizo la makocha wageni na EPL ni kushindwa kuwa na mifumo ya kubalance kushambulia na ku-defence(Pelegrini,LVG,Klopp).Moja ya weakness kubwa ya LVG ni kufanya sub huwa anachemka sana

4.Wachezaji pia wamekuwa wakicheza chini ya kiwango Rooney,Mata,Fellaini,Herrera,Depay,Lingard ,Scheiderlin wamekuwa wanacheza chini ya kiwango muda mrefu.De Gea,Smalling,Blind ndio wachezaji waliokuwa na consistency msimu huu

Asante Mkuu kwa mchango wako mzuri.

Labda nikuulize tena. Ivi ktk hawa wachezaji wa sasa wa Utd kuna wenye uchungu na Manyu kweli km walivyokua kina Schols???? Kwa mfano Depay au Bastian S.

Karibu
 
Sina hamu wala mengi ya kusema mechi ya jana. Van Gaal needs a sack ASAP. Agrrrrr!
Hello..How are you? Mentor

Nikajua ubize utakutinga tena...poleni mwaego!

Marehemu alikuwa mzima tena wa afya sijui nini kilimpata. Mchana niliongea naye na alikuwa mzima. Alikuwa akinieleza ndoto zake na mipango yake baada ya kupata ahueni kuwa anashangaa yeye na hali yake bado alikuwa juu yangu mie ambaye muda mrefu sasa nimeonesha dalili njema za kupona.

Haya bana...kazi yake Rondo haina makosa!!!!
 
Kinachoniuma mgonjwa alianza kupata nafuu na leo amekula vizuri tu ila ndio nashangaa ghafla MAUTI yamemkuta msiba wa namna hii unauma sanaaaaaaaa...!
Ila it doesnt MATA what RONDON did to us kwiiii kwiiiii top four inasakwa kwa kibatari sijui kama tutaiona uwiiii.
View attachment 327824
Hahahahahaa yaani Leo umefufuka kuona Man U kafungwa nimekutafuta last week nimeweka hadi tangazo hujatokea Leo ghafla bin vuu umeibuka karibu tena dimbani......
 
Hahahahahaa yaani Leo umefufuka kuona Man U kafungwa nimekutafuta last week nimeweka hadi tangazo hujatokea Leo ghafla bin vuu umeibuka karibu tena dimbani......
Hauwezi kua uko siriazi aseee lini umenisaka au unataka kukumbusha misiba ya kale enheeeeee.
 
Poleni kwa kipigo.....
Niliwahi kusema hapa kuwa nyie mtamaliza ligi mkiwa chini ya westham. Hali yenu c nzuri na mna tough fixture inawasuburi.

Pole dada yangu everlenk ingawa kule kwa mchepuko wako mambo ni mazuri. 12 point dhidi ya mahasimu wenu wakuu. Kwa hivi vitoto mnavyochezesha mjiandae kwa vipigo zaidi.
Asante sana my kaka Ila ni vijimambo tu na vina kera kweli kweli lakini naamini tutakaa sawa na tutamaliza salama with a good position.....

Mchepuko kawa mtaaaam Haki ya nani hadi raha treble nyingine tena nje nje!!!
 
Hauwezi kua uko siriazi aseee lini umenisaka au unataka kukumbusha misiba ya kale enheeeeee.
Hahahaha wee nipotezee tu Ila najua matangazo yangu uliyapata usiwe unakimbia waombelezaji wenzako wanapokuja kukupa pole si unaona mi najitahidi kupokea tu pole zako japo chungu next week usinikimbie bana!!!
 
Hahahaha wee nipotezee tu Ila najua matangazo yangu uliyapata usiwe unakimbia waombelezaji wenzako wanapokuja kukupa pole si unaona mi najitahidi kupokea tu pole zako japo chungu next week usinikimbie bana!!!
Mungu fundi aseeee game ya Swansea ile mchana kila nikiingia JF naambiwa sina access ya ku-log in duh nilimaind mbaya duh baada ya matokeo nikasema Asante Mungu niamini mimi JF inakera na ni chungu ukifungwa aseee natamani izingue tu,nitakuwepo mimi siendi mapangoni.
 
sisi chelsea tulishatoka huko tumewaachia manyuuu wanatamani nafasi ya 17 sisi haoooo top 4
 
Back
Top Bottom