Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Crappy performance...though I haven't lost hope
#Trust #Let'sDoThisUnited
 
Kwiiii kwiiii kwiiiiii kaka Carick kachoma woyooooooooooo
Liva 2-0 Manyumbu
Kweli Carrick alichoma nyumba pale...shida ya kumcheza mtu asiye CB kwenye backline...yeye amezoea kupokea mipira na kutuliza...pale si angebutua tu...

Anyway, bado nina matumaini, ingawa kazi itakuwa ngumu sana...
#Believe
 
Shikamooni wakubwa tehteh nawapa Salamu Tu tumetumbua Tu Majipu msijali Sana tunajaribu kuwapasulia Jipu LVG mnaye Sana safari hii! Leo Mignolet nashukuru alikuwa Holiday! Boom Boom jipu.
 
Shikamooni wakubwa tehteh nawapa Salamu Tu tumetumbua Tu Majipu msijali Sana tunajaribu kuwapasulia Jipu LVG mnaye Sana safari hii! Leo Mignolet nashukuru alikuwa Holiday! Boom Boom jipu.
Ha ha! Hadi umeonekana leo? Kweli leo mmetuweza...lakini bado kazi haijaisha shehe!
 
Kweli Carrick alichoma nyumba pale...shida ya kumcheza mtu asiye CB kwenye backline...yeye amezoea kupokea mipira na kutuliza...pale si angebutua tu...

Anyway, bado nina matumaini, ingawa kazi itakuwa ngumu sana...
#Believe
Mkuu kwa Utd hii hakika hamtoboi kati ya perfomance mbovu ya leo ni moja wapo hamkua threat kabisa mfano 1st half nilikua sielewi mnacheza nini,poleni sana na w'end wagonga nyundo wanawasubiri.
 
Mkuu kwa Utd hii hakika hamtoboi kati ya perfomance mbovu ya leo ni moja wapo hamkua threat kabisa mfano 1st half nilikua sielewi mnacheza nini,poleni sana na w'end wagonga nyundo wanawasubiri.
Mbona tumewafunga mara mbili kweli ligi? Lolote laweza kutokea katika soka, kama unafahamu maana ya msemo huo. Mngekuwa mmeshinda 2-0 OT, basi hakika chances za kushinda mechi ya pili, zingekuwa ndogo. Lakini kwa kuwa mnakuja na magoli 2 ugenini, lolote laweza kutokea, mkipigwa 2-0 ina maana mechi ipo even hapo...vile vile mwaweza kufunga goli 1 na kupita.

Ninachosema ni kwamba, usitambe mpaka dakika 90 za mechi ya pili ziishe...
 
Kweli Carrick alichoma nyumba pale...shida ya kumcheza mtu asiye CB kwenye backline...yeye amezoea kupokea mipira na kutuliza...pale si angebutua tu...

Anyway, bado nina matumaini, ingawa kazi itakuwa ngumu sana...
#Believe
Why kocha anachezesha 3-5-2 with Fellaini as CM and Carick as CB badala ya 4-4-2
 
Daah aisee hawa vijana wa lvg bila ya huyu de gea walaih wangeshuka daraja msimu huu......so far de gea is the best in the world......anyhow none of my business....thanks kops....u made my night....#YNWA
 
Why kocha anachezesha 3-5-2 with Fellaini as CM and Carick as CB badala ya 4-4-2
Hata mimi sikuelewa kabisa...katika jambo ambalo namchukia LvG ni hilo la kutumia 3-5-2...kipindi alitumia na kutoa excuse ya kukosa mabeki...sasa leo sijui atasema nini...sijaangalia post-match interview...halafu hii game nilikuwa nimetingwa kweli hata sijaifuatilia vizuri...

Anyway, ngoja tuone marudio yatakuwaje
 
Ulishasikia msiba kuhama????!

Yani mwombolezaji kafia msibani...

Khe khe khe khe kheeeeeeee
Duh nimecheka kinoma mkuu asante mbavu zangu zimefanya mazoezi tosha,Etiiiii mmwombolezaji kafia wapi haaaa haaa...!
Everlenk yuko wapi jamani nasikia vilio vya wababa tu au marehemu hana ndugu wa kike?
 
Naona unajifariji kwa kipigo cha jana

Kalenda na saa yangu vinaniambia jana ilikuwa 10/03/2016, Alhamisi, siku ambayo Man Utd alifungwa bila aibu. 78% kwa 22% possession.

Duh nimecheka kinoma mkuu asante mbavu zangu zimefanya mazoezi tosha,Etiiiii mmwombolezaji kafia wapi haaaa haaa...!
Everlenk yuko wapi jamani nasikia vilio vya wababa tu au marehemu hana ndugu wa kike?

Hahahahaha eti marehemu hakuwa na ndugu wa kike!??

Haaaha hata wa mama wa jirani hakuna. Marehemu alikuwa mchoyo yaonesha maana hata wadoeaji wa pilau hakuna!!!
 
Kalenda na saa yangu vinaniambia jana ilikuwa 10/03/2016, Alhamisi, siku ambayo Man Utd alifungwa bila aibu. 78% kwa 22% possession.!!
Kwa hiyo macho na akili yako inaishia Kiluvya tu?!? Dunia kubwa hii, wewe unalala, wengine wanaamka, wengine wapo kazini, wengine wanatoka kazini n.k.
 
Mourinho ananafasi kubwa thana kuja man...na hvyo kwasababu man inatafuta kocha mwny careers nzuri na pia unataka mafanikio wamelazimika kumchukua morinho lkn kwa wale washaniki nguli wa man utd utakumbuka mwaka 2008 morinho alivyoibeza man baada ya kumfunga kwny fainali.ya uefa pamoja na wachezaji wa man utd akiwemo ronardo kwa kumwita ni mchezaji wa kawaida tu
 
Tupo vibaya ndugu zangu mabadiliko ya mwalimu yanatuhusu huyu JK hakufanya usajiri lakini unaona kuna kitu kimebadilika penye timu sasa huyu wetu hapana ni mocha mwenye history lakini akae pembeni.
 
Back
Top Bottom