Mgonga Mawe
Member
- Dec 29, 2015
- 63
- 30
Hivyo City nayo inamashabiki bongo wa kiwango cha kuajiliwa...? Timu za juzijuzi hizi nikafkl zinashabikiwa na watoto tu....Mkuu niko ofisini hapa na shabiki Wa man city.....hataki hata salamu
Hivyo City nayo inamashabiki bongo wa kiwango cha kuajiliwa...? Timu za juzijuzi hizi nikafkl zinashabikiwa na watoto tu....Mkuu niko ofisini hapa na shabiki Wa man city.....hataki hata salamu
Mkuu unaishi wapi wewe? Wapo kibao tuuuuHivyo City nayo inamashabiki bongo wa kiwango cha kuajiliwa...? Timu za juzijuzi hizi nikafkl zinashabikiwa na watoto tu....
Duh!hii kauli ya misfortune never come single inawahusu sana nyumba ya jiraniiiii.Wale wenzetu wa mtaa wa pili hali c shwali jaman, tujtaid kuwatia Moyo maana yale matumain yao ya kupona lile gonjwa lao la Mende kujaa kwny kabat limekosa tiba..
It's my hope tutavuka salama.......tutafika tu Nchi ya ahadi!!!!
LVG kama angekuwa flexible kukubali kukubadilika angefanikiwa sana naelewa ndio maana huko kwingine alifanikiwa but kwenye EPL lazima abadilike,Idea yake ya kuwapa nafasi chipukizi ndio inawafanya kina Woodward wanashindwa kumfukuza kazi kingine pamoja na kutofanya vizuri still kwenye mapato klabu inafanya vizuri sanaMkuu Belo umesahau jambo moja na Van Gaal anastahili kuendelea na kazi aliyoianza.
Basi bora amekuwa na akili sasa kaacha usharobaro. Narudisha mapenzi na nitamuombea awe anatupiamo.Pacha Jana nilikuwa naangalia kny youtube game tatu hizi za mwisho za Man U,Depay aiseeee Shemeji alisakata kabumbu acha kabisa kuanzia Ile Mityjland dooohh Depay kabadilika sana akiendeleza hii spirit na zaidi kila siku tutacheka.....shem Ana comeover......lol
Rashford uwiiiiii hii ni hazina sana haka kababy katuzwe sana kata tufa sana kanajua kutumia vizuri opportunity.......
Mata is anything that occupies a space kwa Norwich alinibariki sana.
Yaani ukitaka uinjoi game na ujue mambo vizuri uje ufanye replay aiseee unainjoi sana,siku ya game yenyewe presha ya Magoli inakuwa juu sana kiasi huoni utamu na ubaya uko wapi zaidi.
Pale mbele tu LVG apafanyie kazi tutacheka sana,halafu sasahivi defense yetu siyo tena kiviiile km kipindi fulani hapo Juzi Kati DDG alikuwa anapumzika,aiseeeee DDG anafanya kazi kubwa sana jamani acheni tu RM washindwe na walegee wasimsumbue tena.
Damn..TWEET OF THE DAY...
![]()

Liverpool tumeshinda tukiwa pungufu leo,kadi nyekundu siyo excuse anymore!Mmmmmmhhh majanga
Miss you sn my dearWe must win