Kuchukua ubingwa...kwenda wapi mtani .....
Utapata wewe mtani sisi tupo vizuri top four yetu amini usiamini.nafasi ya 17 inawaita teeeeeehe teeehe
Hodiii hodiiii...!waungwana nimepita kuwajulia hali nimetoka hapo kwa jirani mtaa wa darajani kuna msiba nasikia na hapa kuna mgonjwa ivyo ningependa kujua,tulete mchango wa jeneza kwa kua hawezi kupona au tuwahi duka la dawa kumnunulia mgonjwa panadol.?
Haaaaa haaaaa yangu macho ila ambako nitasikia kilio usiku wa leo basi nitakuja kwa kasi kuhani.Umepotea nyumba mkuu,mgonjwa mahututi yupo kule mtaa wa saba unaoitwa Anfield, Anapumulia mipira sasa hivi,akipona leo usiku basi asali sana, kifupi jeneza lake lishaandaliwa tayari.
Raniel na Pochettino Wameacha kazi Kwani?Kuchukua ubingwa...
Kweli ukihesabu tokea 20 kurudi 1 teeeh TeeeeeheUtapata wewe mtani sisi tupo vizuri top four yetu amini usiamini.

Kuna button ya edit baadaye uirudie kuitumiaUmepotea nyumba mkuu,mgonjwa mahututi yupo kule mtaa wa saba unaoitwa Anfield, Anapumulia mipira sasa hivi,akipona leo usiku basi asali sana, kifupi jeneza lake lishaandaliwa tayari.
Kuna button ya edit baadaye uirudie kuitumia
Ikifika Saa Sita na dakika Sita uwepo humuNdio najiandaa hivyo kwenda kumwona mgonjwa kwa mara ya mwisho ,tutarajie kupata habari za msiba usiku huu.
Hahaaaaaa hii post utaikataa baadayeleo tunaenda kuchukua ushindi hakika. Ed n Edd nEddy uko poa ndugu yangu?
Haaaa haaaa wenyewe wako mapangoni hawaamini wanachokiona so far Liva kawaziba matundu yote ya kupumulia ngoja tuone 2nd half kama watafufuka maana kipa wa Liva alikua likizo,ila Liva kama wamasai usiwawekee dhamana.Kulivyopoa utadhan hakuna kinachotokea vileee!!!
Kosa limeanzia kwa De Gea amedaka mpira na kupiga mpira mrefu bila malengo. Mie hapa ndio huwa nawaona barca wapo tofauti na timu nyingine. Kipa hutakiwi kupiga mpira tu eti uende mbele wakati chance ya kuupoteza ni kubw a kuliko kuupata.Kwiiii kwiiii kwiiiiii kaka Carick kachoma woyooooooooooo
Liva 2-0 Manyumbu