Only MAJOGOO yanaweza kushinda wakiwa pungufu,nyie uozo tu hapa naona

Enzi za Babu Ferguson hazipo tena dada yangu!Nyie sasa kama Norwich tu hamna guarantee ya kushinda popote pale hasa ugenini!!We are The United .....let the Glory come ......
Mhhhh nipo Ila sipoo,asante dear tutaongea ngoja mechi iishe.Wewe unapotea sn
Yani mpk moyo wauma
All the best my dear
Mbona tuliwafunga Anifield, naona leo mmebebwa ndio umefufukaEnzi za Babu Ferguson hazipo tena dada yangu!Nyie sasa kama Norwich tu hamna guarantee ya kushinda popote pale hasa ugenini!!
Tulikuwa points 10+ nyuma ya Man U mwezi Dec tu!Lkn sasa statistically tupo sawaMbona tuliwafunga Anifield, naona leo mmebebwa ndio umefufuka
Mwakani Liverpool anachukua ndoo mapema sanaTajaribu mwakani jamani labda furaha itarudi
Hongera Naona Leo umepata kwa kushusha hasira zako za vipigo.......Wimbo wa LVG out unaanza tena kunoga baada ya kuonja Asali kwa wiki moja
hizi fixture mlizonazo next three weeks lazima mkubali tu...
tough tough fixture kama mnaonewa vile
Glory glory glory manure
Hongera Naona Leo umepata kwa kushusha hasira zako za vipigo.......

iwezi kumlaumu LVG hata kidigo JUAN MATA katuyeyusha.......LVG out
Ndo inavyokuwa kama Fransic Coqulin alivyoniyeyusha janaLeo s
iwezi kumlaumu LVG hata kidigo JUAN MATA katuyeyusha.......
i hope so...Ndo inavyokuwa kama Fransic Coqulin alivyoniyeyusha jana
Spurs alikuwa kashalegea kbs yule
ila mta bounce back