Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kadi ya Mata haikuiathiri United mpaka alipokuja kuingia Schneiderlin,huyu ndio sababu ya United kupoteza gemu ya leo,kabla hajaingia kulikuwa na kila dalili ya Manchester united kupata goli.He is the worst signing ever, kila anapocheza Manchester united lazima ipate wakati mgumu sana.Simpendi kama nini huyu mchezaji,he is not Manchester united type.
 
Mwee!!!! yamekuwa hayo tena?

Cheel man and Watch DVD of your past Glories and sleep....

GGG utd
 
Wimbo wa LVG out unaanza tena kunoga baada ya kuonja Asali kwa wiki moja

hizi fixture mlizonazo next three weeks lazima mkubali tu...

tough tough fixture kama mnaonewa vile

Glory glory glory manure

Fixture zipi ,tunacheza na Barca,Bayern,PSG ?

Kabla hatujacheza na nyie ulikuwa unaimba hizo nyimbo,tulipowafunga ukakimbilia uvunguni,

Kama unazijua hizi timu kwa sasa ni rahisi kutabiri,ni ngumu sana kwa Chelsea,Man United,Arsenal,Liverpool,Man City kushinda game 3 mfululizo.
 
Wake up Mzee wa Ikwiriri
Imefika miaka 26 now mnaendelea kusindikiza
Tatizo ni nini hasa linaloisumbua Man Utd?

Je ni kocha? Au ni wachezaji?

Au hakuna wachezaji wenye mapenzi na timu ya Man Utd km ilivyokua kwa kina Giggs, Kean, Schols, Neville, Becks Carrick na Fletcher ????

Maana Mimi nashindwa kuelewa tatizo ni nini hasa? Au ata lvg hana mapenzi na timu?

Naomba uchambuzi wako wa kitalaam maana mi nilizani msimu huu man u huenda wakachukua kombe lkn kadri siku zinavyoenda mnazidi kushuka chini tu.
 
Hakuna zaidi,sub ya Schneiderlin ndiyo iliyotuua.Schneiderlin hatakiwi kuwepo sehemu yoyote uwanjani zaidi ya bench. Nilidhani Van Gaal angemtoa Rushford na kumwingiza kiungo Fosu Mensah halafu Carrick akasogea mbele kidogo.Schneiderlin ni wa kuuza,worst signing indeed.

Kuingia kwa Schneiderlin haikuwa tatizo ,tatizo ilikuwa kumtoa Herera ambaye kabla hajatoka ndio alikuwa mchezaji bora wa timu,Kocha alipaswa kumtoa Rushford au Lingard
 
Tatizo ni nini hasa linaloisumbua Man Utd?

Je ni kocha? Au ni wachezaji?

Au hakuna wachezaji wenye mapenzi na timu ya Man Utd km ilivyokua kwa kina Giggs, Kean, Schols, Neville, Becks Carrick na Fletcher ????

Maana Mimi nashindwa kuelewa tatizo ni nini hasa? Au ata lvg hana mapenzi na timu?

Naomba uchambuzi wako wa kitalaam maana mi nilizani msimu huu man u huenda wakachukua kombe lkn kadri siku zinavyoenda mnazidi kushuka chini tu.

Baada ya msimu uliopita hata Man United walianza vizuri sana kwenye game 10 za mwanzo kabla ya kufungwa na Arsenal 3-0 hata mi nilikuwa na matumaini ya ubingwa,sababu ziko nyingi

1.Majeruhi-hii ni sababu kubwa iliyosababisha haya ,tulivyoanza ligi Shaw alikuwa anacheza vizuri na walikuwa wanaelewana sana na Depay tangu alivyoumia Depay nae akapotea.Shaw,Darmian,Rojo,Smalling,Jones,Carick,Martial,Rooney,Fellaini,Young,Valencia wote wanapokezana majeruhi

2.Kutosajili striker,msimu huu tatizo kubwa la timu ni kutotengeneza nafasi na kufunga magoli,LVG alipaswa kusajili striker.Martial anacheza vizuri winga ni mzigo mkubwa kumuachia Rooney kufunga while umri ushamtupa

3.Mfumo wa kocha na substution zake, tatizo la makocha wageni na EPL ni kushindwa kuwa na mifumo ya kubalance kushambulia na ku-defence(Pelegrini,LVG,Klopp).Moja ya weakness kubwa ya LVG ni kufanya sub huwa anachemka sana

4.Wachezaji pia wamekuwa wakicheza chini ya kiwango Rooney,Mata,Fellaini,Herrera,Depay,Lingard ,Scheiderlin wamekuwa wanacheza chini ya kiwango muda mrefu.De Gea,Smalling,Blind ndio wachezaji waliokuwa na consistency msimu huu
 
Kinachoniuma mgonjwa alianza kupata nafuu na leo amekula vizuri tu ila ndio nashangaa ghafla MAUTI yamemkuta msiba wa namna hii unauma sanaaaaaaaa...!
Ila it doesnt MATA what RONDON did to us kwiiii kwiiiii top four inasakwa kwa kibatari sijui kama tutaiona uwiiii.
View attachment 327824
T
RRONDO hebu tuelezee huyu mgonjwa nini kilimpata!

Alikuwa anaendelea vizuri halafj ghafla kafariki.
 
Good morning Man Utd fans,napenda kuwakumbusha kua jana mmepigwa na WBA mfungajia alikua RONDON msije mkadhani mko ndotoni naomba niwathibitishie hili bila shaka kabisa kua ni kweli.
Naambatanisha na picha ya goli+mfungaji kwa uthibitisho.
ImageUploadedByJamiiForums1457331117.689223.jpg
 
Back
Top Bottom