Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hawa blues fake ni sheedah....watabeba ndoo kimzahamzaha tu
 
Leicester City wamejenga uzio wa kubakia kule ndani na kwa balaa hili naiona top 4 itakavyoleta utata kwiiii kwiiiiii lazima watu washikane uchawi.
 
Mayooo hawa leicester ndo kusema wanasafiria nyota gani???? Ebu wataalam wa nyota mtujuze manake naona wataandika historia soon....
 
nyota ya chelsea, zote za blue na ranieri anaijua vizuri sababu ameshawahi kuiendesha
 
#NeverForgotten
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    66.7 KB · Views: 16
Ilikuwaje jamani.......
Mkuu Inzi picha kwangu zimegoma kufunguka,

Kwa maelezo kidgo tu sister ni kwamba ilikua tar kama ya leo Feb 6 1958 wakati kikosi cha Manchester kikiongozwa na matt busby kikitoka kucheza mechi ya marudio na timu ya Red Star Belgrade, mechi ya kwanza tulishinda 2-1 na katika mechi ya marudio Feb 5 tulitoka droo ya 3-3 hivo kupita kuenda kucheza nusu fainali ya European cup na Ac millan,

Wakati wakirudi England walilazimika kutua ujeruman ( ujerumani magharibi)ili kuongeza mafuta kwenye ndege lakini Siku hiyo hali ya hewa ilikua mbaya sana, hivo ndege kushindwa kuruka, wakajaribu kuruka Mara ya kwanza na pili ikashindikana, ila Mara ya tatu ndio ndege ikapoteza direction na kuanguka.

Watu 23 walikufa wakiwemo wachezaji nane wa kikosi cha kwanza

Roger Byrne (28),
Eddie Colman (21),
Mark Jones (24),
David Pegg (22),
Tommy Taylor (26),
Geoff Bent (25),
Liam Whelan (22), na
Duncan Edwards (21), ( Huyu alikufa baada ya Siku 15 toka ajali ilipotokea)

Pia walikuwepo waandishi wa habari nane,

Alf Clarke,
Tom jackson,
Don Davies,
George Fellows,
Archie Ledbrook,
Eric Thompson,
Henry Rose, na
Frank Swift
Na wengineo,

Baada ya hilo tukio wengi walidhani huo ndio ungekua mwisho wa utd, lakini haikua hivo maana licha ya wachezaji nyota nane kupotea na timu kulazimika kuchezesha watoto wa academy kwa muda uliokua umebaki kumaliza msimu lakini tulifika fainali ya FA Mwaka huo na miaka saba mbele tukaja kubeba ubingwa 1965 na 67' na Mwaka 1968 tukachukua European cup, ndio maana kuna kale kamsemo wanasema MANCHESTER UNITED WILL NEVER DIE. in short ndio ilikua hivo, kama kuna sehemu nipo wrong nirekebishwe,

cc Inzi, bello, RRONDO, chief mkwawa, the name, everlenk, bitoz, mbekyyy, McDonaldy ngongo et al
Ilikuwa hivi:
 
Oooh asante sana ubarikiwe.....kwa kushabikia kwangu kote man utd hili nilikuwa silijui........
 
We would rather hire Pochettino of Tottenham, he is the right fit for United
It probably wouldn't last five years,
It would probably end badly,
It would probably involve some boring football,

But it could well involve multiple titles so I'd be happy to have him here, sio kama van gaal he failed in everything here, boring football, boring philosophy (may be I don't know his philosophy), failed to deliver, i would 100% choose mourinho here than giggs, forget about van gaal.
 
We would rather hire Pochettino of Tottenham, he is the right fit for United
Pochettino ni kocha mzuri saana kwa club kam Tottenham au everton,ila kwa team kam man u pressure yake kubwa itamshinda kam moyes..zile zama za kujaribu zshapita soka la sas..pale tunamuhitaji mtu kam mourinho anaweza cope pressure ukizngatia guardiola yupo city..czani kam Pochettino ataweza pressure na kina guardiola
 
We would rather hire Pochettino of Tottenham, he is the right fit for United
I like what he is doing, much like I like Rodgers did at Swansea, moyes at everton,but they've won absolutely nothing in their careers. A club like United shouldn't have to gamble on managers.

Tumeona kilichotokea kwa Moyes, tumeona kilichotokea kwa vile vibabu kule walivomchukua Rodgers although he looked so promising when he was at Swansea, there is no reason to play an attractive football and finish fourth on the table or below that, failed to win even FA cup by the time he was at soton or CDR with Espanyol,

Sorry mate for me what I want now is a manager with Proven trophy winning experience I don't think I will be ready to stay for 3 to 5 years without any trophy.
 
Leo Chelsea apokee kipigo it is nothing personal. We just to close the mgao with EOL leaders who have now opened a mouthwatering thirteen points. EA draw or loss is totally unacceptable.
 
Ni kweli Rodgers na Moyes walifeli vibaya sana walipokuja ktk klabu kubwa za Manchester utd na Liverpool but Pochettino is a very different breed of manager. He has South American footballing roots, he is not typical English manager who can't work with skillful players. Moyes and Rodgers are typical English managers who can't bring out the best in talented and skillful players.They're used to coach players who are less skillful but more stronger and athletic.

Back
Top Bottom