everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Karibu sana tena sanaaaaaaaa.....Mamy acha tu.....nilibanwa nikabanika nikapotea ila sasa kidogo nina nafuu......sasa hivi sitaadimika tena tuzidi kuishangilia timu yetu......
Karibu sana tena sanaaaaaaaa.....Mamy acha tu.....nilibanwa nikabanika nikapotea ila sasa kidogo nina nafuu......sasa hivi sitaadimika tena tuzidi kuishangilia timu yetu......
Watu wanataka mafanikio ya haraka ni vitu vya kawaida kuwa na kipindi cha mpito kwa mambo mengi SAF muda wote alomaliza pale falsafa alijenga inachukua muda kuijenga tena na uzoefu unatakiwa kwa gigs hapana bado sana.Kwingineko,
Media za Spain zinasema G Neville kapewa mechi moja ijayo dhidi ya R. Betis ashinde ili aendelee kubaki mestalla,
[ Superdeporte & Plaza Deportiva]
Hili Liwe onyo kwetu tunaotaka giggs apewe timu saizi.
It probably wouldn't last five years,News about imminent arrival of José Mourinho at Manchester united could be the worse news ever.I have never fancied Mourinho's football brand.I won't take it seeing my club play ugly and negative football, let alone the manager's childish antics in the media.
Ed Woodward alikuwa sawa hapo,Barca hawana pesa kwa sasa na wana mtihani mkubwa wa ku-renew mikataba ya Neymar,Messi na Suarez.Hilo dau ndio release clause kwenye mkataba wa Neymar na baba yake alikubali sema Neymar mwenyewe alikataa na Neymar ndio next super star baada ya Messi na CR7,Kwenye biashara Woodward yuko vizuriIt probably wouldn't last five years,
It would probably end badly,
It would probably involve some boring football,
But it could well involve multiple titles so I'd be happy to have him here, sio kama van gaal he failed in everything here, boring football, boring philosophy (may be I don't know his philosophy), failed to deliver, i would 100% choose mourinho here than giggs, forget about van gaal.
Ilikuwaje jamani.......Darkest Day in United's History Febuary 6,1958
![]()
![]()
God bless Man utd.......I hope we gonna win tomorrow and dedicate the win to our heroes......GGMU
![]()
#We'llNeverDieDarkest Day in United's History Febuary 6,1958
![]()
![]()
Kabisa aisee.......wako vizuri......na kipa wao pia anasaidia sana kama hili goa alilookoa sasa hivi....amaizingKwa wanachokifanya Leicester, hata uwe shabiki wa timu gani huwezi kuwachukia.
Hawa jama ni shida kwa sasa.Kwa wanachokifanya Leicester, hata uwe shabiki wa timu gani huwezi kuwachukia.