Taratibu chifu...appreciate basi hata kidogo kuwa timu imecheza vizuri kwa ujumla...tulikuwa ugenini kwenye uwanja ambao hata SAF alikuwa hashindi...Chel$kis ndiyo timu iliyoshinda mechi nyingi dhidi ya Man United katika EPL. Hivyo, pamoja na kuumia na droo, lakini timu imefanya vizuri. Kama alivyosema Belo, cha muhimu ni kuendelea na momentum hii...Yale ya liverfools shiiit!!!
Mkuu nimesikitika bao lilivorudi dk za mwisho kama yale ya liverpool jana si kwamba nimeiponda timu.....Taratibu chifu...appreciate basi hata kidogo kuwa timu imecheza vizuri kwa ujumla...tulikuwa ugenini kwenye uwanja ambao hata SAF alikuwa hashindi...Chel$kis ndiyo timu iliyoshinda mechi nyingi dhidi ya Man United katika EPL. Hivyo, pamoja na kuumia na droo, lakini timu imefanya vizuri. Kama alivyosema Belo, cha muhimu ni kuendelea na momentum hii...
Sasa hivi timu inacheza more dynamic kuliko kuwa rigid kwa ku-stick kwenye positions.
Kabisa. Tutakaa poa tu...bado tuna nafasi ya kucheza UCL msimu ujao...kwa sababu timu zilizo juu zitaanza kukutana kuanzia wiki ijayo...hivyo lazima zita-drop points tu...Pamoja na matatizo ya LVG still namkubali jinsi anavyowapa nafasi chipukizi (Lindgard,Bothword-Jackson,Valera,Perreira) na kuwapa confidence,ni ngumu sana timu kubwa kuwapa nafasi kwenye huu ushindani wa siku hizi .Martial,Shaw,Valera,Lindgard,Perreira baada ya miaka 2/3 timu itakuwa nzuri sana Januzaj na Depay wanahitaji kuongeza bidii otherwise wanaweza wasiwepo
The bar has been raised, hata Spurs ndani ya miaka 2 watakuwa poa sana bila kusahau Mancity na chelsea na Arsenal.Pamoja na matatizo ya LVG still namkubali jinsi anavyowapa nafasi chipukizi (Lindgard,Bothword-Jackson,Valera,Perreira) na kuwapa confidence,ni ngumu sana timu kubwa kuwapa nafasi kwenye huu ushindani wa siku hizi .Martial,Shaw,Valera,Lindgard,Perreira baada ya miaka 2/3 timu itakuwa nzuri sana Januzaj na Depay wanahitaji kuongeza bidii otherwise wanaweza wasiwepo
Depay tangu Shaw alivyoumia naye akapotea leo ni game ya pili anasabaisha goli,inabidi akaze sana akija kocha mwingine anaweza akauzwawe have paid for Depay's sub, naungana na Lingard najisikia kama tumefungwa. Goli la kizembe dk ya 91 linauma sana.
Mayanja alitaka kuishusha daraja Coast,alivyoondoka tu wameanza kushinda na wakamfunga Yanga ambaye alikuwa hajafungwa game 14Bora mayanja apewe man u kulko van gal
Ni vizuri kwa ligi na mashabiki...siyo kama La UEFIGA ambako ni timu 2/3 tu ndizo zinashindana.The bar has been raised, hata Spurs ndani ya miaka 2 watakuwa poa sana bila kusahau Mancity na chelsea na Arsenal.
Depay tangu Shaw alivyoumia naye akapotea leo ni game ya pili anasabaisha goli,inabidi akaze sana akija kocha mwingine anaweza akauzwa
Arsenal haitakaa kuja kuwa sawa, labda aondoke yule kipuliloThe bar has been raised, hata Spurs ndani ya miaka 2 watakuwa poa sana bila kusahau Mancity na chelsea na Arsenal.