Nipo Ndugu yangu ,watoto wa mjini walinichapa kiwezeshaji changu cha kujidai humu.
Pole sana si ungeniambia Mimi nikuletee kitu kipya cha mchina tuweke kigodoro humuNipo Ndugu yangu ,watoto wa mjini walinichapa kiwezeshaji changu cha kujidai humu.
Nilichojifunza kumbe katikati ya machozi lipo tabasamu,tuko na Hali mbaya lakini tunasonga mbele ,Hata katika hili tushukuru.
Tutafika tu in Nzi's voice................... #GGMU.

Polee sana mkuu! Karibu tena...Nipo Ndugu yangu ,watoto wa mjini walinichapa kiwezeshaji changu cha kujidai humu.
Nilichojifunza kumbe katikati ya machozi lipo tabasamu,tuko na Hali mbaya lakini tunasonga mbele ,Hata katika hili tushukuru.
Tutafika tu in Nzi's voice................... #GGMU.
Hongera zake sana , tunafurahi kazidi kuendeleza kipaji chake vyema.Bundesliga Player of the Month:
Nov: Javier Hernandez
Dec: Javier Hernandez
Jan: Javier Hernandez
Namaliza ligi juu yako,take my words!
EPL top scorer.....JAMIE VARDY.......Bundesliga Player of the Month:
Nov: Javier Hernandez
Dec: Javier Hernandez
Jan: Javier Hernandez
Mamy acha tu.....nilibanwa nikabanika nikapotea ila sasa kidogo nina nafuu......sasa hivi sitaadimika tena tuzidi kuishangilia timu yetu......Aiseeee yaani tumekumiss sanaaaa,yaani apettizer mmeniacha mwenyewe