Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu yenu kweli majanga yaani hadi dakika ya 26 hamjafungwa wala kufunga goli?
 
Timu yenu kweli majanga yaani hadi dakika ya 26 hamjafungwa wala kufunga goli?
Kwendraaaaaaa kwani wewe mwenyewe ushindi si umeupata dakika za lala salama, mpira bado unadundwa...... Hongera bingwa mtetezi
 
Yaani Fellain na Rooney wamekuwa ni mizigo isiyobebeka yaani hawa madogo wanataka kututoa nishai duh!!!....
 
Ukiona timu kubwa kama utd anayelaumiwa ni mmoja tu tena dhidi ya timu dhaifu kama Sheffield ujue wachovu ni wengi humo
 
Mimi naona leo ni kama vile LvG amerudia tabia yake ya kuwafunga wachezaji kwenye positions zao! Maana naona movements za Martial ni kama vile kaambiwa asitoke kwenye left wing....ama ni macho yangu tu?
 
Ndivyo ilivyo wala hujakosea, mimi sasahivi siangalii tena nitaomba updates zenu.....
 
united inajengwa kwajili ya badae ila hawa Sheffield leo watapgwa tu
 
Yaani anamtoa herrera anabaki Manywele.. kweli van gaal ana mahaba
 
Back
Top Bottom